Home
Unlabelled
kopa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Yaani nampenda sana huyu mwimbaji. I wish nyimbo zake ndio ungesiweka kwenye mahusiano.com. Sisi wa mbali tunataka nyimbo zetu original michuzi. PLEASE SIKILIZA KILIO CHETU!!!!!!! JAMANI NI WAPI NITAPATA NYIMBO ZA MATIMILA, DDC MILIMANI PARK, REMI, HUYU COPA ETC.
ReplyDeleteBaba michuzi
ReplyDeleteTunamfurahia sana huyu mama na mwanae lakini kinacho tusikitisha wengi nasikia huyu kijana ni Mwingereza (Shoga) na nukuu 'majibu ya Mugabe kwa blair kwamba watu wa Uk wote mashoga kuanzia mawaziri,askari na wajeshi pia hata viongozi wa Nyumba za ibada' mwisho wa kunukuu pia ndio maana hii philosophy inaitwa kwa jina hilo otherwise he is fine
Mtaji wa masikini siku hizi ni 'nguvu za hoja zako kibiashara'(IDEAS)na huhitaji pesa. Pesa zipo ktk mabenki na wanasubiri hayo 'mawazo yenye nguvu hoja ya kibiashara'. Hivyo watanzania tuanze kuondokana na dhana iliyopitwa na wakati kuwa 'mtaji wa masikini ni nguvu zake za musuli au pesa zake kiduchu mvunguni mwa kitanda '.
ReplyDeleteMichuzi samahani sana kaka yangu ,unajua sisi tunaliwazwa sana na hii webu yako ya Mahusiano.hasa sisi wa huku ughaibuni lkn kaka yangu haifunguki,pamoja na kufuata maelekezo yote tuliyoelekezwa...KULIKONI MICHUZI????????
ReplyDeleteHey mimi hii web imefunguka lakini sitaki miziki ya huhu huhu tena.....you know. tuwekee hata sauti tu ya nyimbo za africa. Please
ReplyDelete