mambo haya nimetoka kuyaona sasa hivi msasani nje ya duka karibu na lango kuu la nyumba ya mwalimu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. kwa nini wasiweke midoli ya kiafrika na kuachana na wazungu?

    ReplyDelete
  2. Mbona hayo ma-women fashion mannequins ni mazungu?

    ReplyDelete
  3. HILO NI DUKA LA MTOTO WA KIKE WA RITHA MLAKI. HUYU MWENYE DUKA NILI NI MLOKOLE!

    ReplyDelete
  4. Trio Kaka utamaduni wetu upi huo? Wale wacheza ngoma za kienyeji huwa wanavaa vinguo vya nyasi vyenye kufunika sehemu nyeti tu. Wanawake wa kimasai huwa wanaanika matiti nje. Au umesahau nguo ambazo wewe na mimi tunavaa zililetwa na wageni? Mara nyingi watu wenye kelele sana in public kuhusu mavazi kuwa mabaya, ndiyo wabaya wakiwa gizani(no offense). Tunapeana mawazo tu.

    ReplyDelete
  5. wewe ndugu yangu hapo juu trio mimi naona kama unamatatizo furani ya kuelewa kwani sanam kuliweka nje ya duka linavunja utamaduni gani kama siyo kuwawagumu wa kuelewa nini maana ya utamaduni wa mtnzn, huyo si binadam wala si kiumbe sifikiri kama hayo masanam yamevunja utamaduni wetu ninavyo kuona hiko siku utasema hata n,gombe wavywike chupi kusudi wasitembee uchi jaribu kutifautisha binadam na masanam

    ReplyDelete
  6. trio wewe mimi naona kama hata maana ya utamaduni hujui ndio maana umesema hivyo hila mimi nataka kukufahamisha kuwa hakuna hutamaduni mabaya kama wewe hulivyo mtoto wa kiume alafu umetoga masikia alafu tena nasikia umesuka nywere hilo mbona umeliacha ambaro kwetu sisi watanzania ni kitu chaaibu tena watu ni rahisi kukuisi wewe uliesuka kuwa una mshkeri kidogo ebu nenda kafumue hizo nywere haraka sana na hivyo vihereni vyako alafu ukimaliza ndio uje useme utamaduni

    ReplyDelete
  7. Sasa ole wako mamsapu wako akuone ukiingia kwenye hili duka kwa kuibia wakati wa mchana alafu baadaye ukirudi nyumbani usiku umechelewa uje mikono mitupu! Hilo songombingo lake kulaleki itabidi wamwera waje kuamulia aisee ...

    ReplyDelete
  8. Ni kweli bwana wangeweka midoli mweusi........

    ReplyDelete
  9. Madoli si madoli tu, ewe Trio Kaka!!! Hayo madoli yangefaa yawe meusi ti kama mti wa mpingo! CHEKENI)!

    Naona wengine wana ugumu wa kuelewa. Jielemisheni kwa kusoma soma majambo ya sosio saikoloji na propaganda!

    Mwenye duka kaona kafika! Tunaiga iga mno. Sio madoli mazungu tu, kayaweka nje! Yangewekwa ndani madirishani, at least! Lakini nje???? Kunguru watatua juu yake na kuyanyea, phrw! (CHEKENI)!

    ReplyDelete
  10. mie namsapoti trio kaka. msilete za kuleta hapa. na kasumba za kupenda wazungu maana hata wakinadada na kinakaka wengi wanajichubua sikuhizi kwa kuwa wanataka waonekane maafkasti. kasumba hii wachache bongo wanayo hasa familia ya kahama mkewe kwao kila mtu ni hafkasti. Ah! tokeni hapa, black is beauty na kuna madoli ya brauni kwa nini asijivunie rangi ya kiafrika hata kama midoli ilikuja ya kizungu angepaka rangi kidogo.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...