nyota ndogo alifanya mambo makubwa na kibao chake 'watu na viatu' ambacho
kinachengua sana watu bongo kwa sauti na maudhui yake

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Baaab kubwa! Hilo pozi linanikumbusha upigaji picha wa miaka ya themanini
    Kheeeee heeeee heeee!

    ReplyDelete
  2. Tuwekeeni basi nyimbo zake au websit yake tusikilizeee maana tunamsikia tu Nyota ila wa mbali tunabaki kuduwaaa nyimbo zake hatuna nafasi ya kuzipata kirahisi kulikoni ???? michuzi turahisisie basi japo website yake !!!

    ReplyDelete
  3. Guys its not the end of the world,you could also visit www.ngomamotovibes.com for other choices. Michuzi knows this station

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...