Katika kitabu chake cha "The life and Times of Abdulwahid Sykes (1924-1968): The untold story of the Muslim Struggle against British Colonialism in Tanganyika" mwandishi historian Mohamed Said anaangalia mchango wa waislam katika harakati za kuleta uhuru wa Tanganyika. Je ni kweli waislam ndio walioanzisha TAA na TANU? Je ni kweli Mwalimu Nyerere alinyakua TANU toka kwa waislam na kukifanya kuwa chombo cha kanisa? Je Kanisa Katoliki lilisaidia vipi kuwakandamiza waislam? Nani alisaidia sana kuleta uhuru wa Tanganyika kati ya Mwalimu Nyerere na Abdul Sykes? Sikiliza zaidi.

http://www.radiobutiama.com/

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. KAKA MICHUZI NAOMBA NIKUTAKE RADHI KABLA SIJAANZA KUIANDIKA HII NASAHA YANGU. HUYU SHOGA ALIYETOA KITABU NDIYO WALE WANAOPENDEKEZA KUJILIPUA NCHI MBALI MBALI. ANATAKA KULETA MGAWANYO WA KIDINI KATI YETU NA NYIE AKINA KAKA MICHUZI. KIKWETE AMESOMESHWA NA WAKRISTU NA AMELELEWA NA CHAMA, MWINYI AMEPEWA MADARAKA NA NYERERE SASA HUO UDINI AMEUTOA WAPI? KITU KILICHO RUDISHA ELIMU KWA WAISLAMU NI MADRASI HAKUNA KINGINE. WAZAZI WENGI WALIDIRIKI KUPEREKA WATOTO WAO MADRASI KULIKO SHULE NA IMPACT YAKE NDIYO SASA MNAIONA BABY BOOMERS WENGI HAWAKUPATA ELIMU, SASA HUYU SHOGA AMEENDA KUONGEA NA MAMBUMBUMBU ANATULETEA STORY ZA AKINA BUNWASI SIJUI WAKINA MSHATA KIATU, HATA ELIMU HANA UNATEGEMEA STORY ZIPI ATAKUPA KAMA SIYO UMBEYA? MWINYI ALIWAMBIA NENDENI SHULE ACHENI POLOJO, HAKUNA UISLAMU WALA UKRISTU CHA MSINGI NI SHULE NA FACTS.LAKINI HUYU SHAGA ANAPOTEZA MUDA KWANZA MICHUZI TUPE ELIMU YA HUYU SHOGA ILI TUANZE KUMCHAMBUA, KWA NINI ASIENDE IRAN KUISHI?

    ReplyDelete
  2. AMA KWELI MGEMA UKIMSIFIA TEMBO ULITIA MAJI. HIYO HISTORIA IMEANZA LEO NINI? SIKU ZOTE WALIKUWA WAPI KUTUAMBIA HIVYO. NAONA SASA MICHUZI MNATAKA KULETA ZA KULETA UMEONA COMMENTS ZIMEPUNGUA UNAANZA ZA UDINI SASA!UTAZIPATA SANA HAPA SISI YETU MACHO.

    ReplyDelete
  3. wewe khaji na anonymous hapo juu ndio nyinyi msiotaka kujua ukweli kazi kutafuniwa nyie mnameza fanyeni uchunguzi kwanza kabla ya kuandika ujinga wenu sio kila kisemwacho ni sawa chunguzeni kwanza mimi huyu jamaa aliyeandika kitabu hiki namfahamu na ana elimu yake bomba na kimewekwa hadharani kabla hata huyo nyerere a so called baba wa taifa hajafa mbona yeye wala familia yake haikuwahi kujibu hizo shutuma?that means kuna ukweli ndani yake

    ReplyDelete
  4. anony wa kwanza hapo juu hujakisoma hiki kitabu kwa hiyo nadhani unachoongea ni utumbo tuu,wataalam wanasema kama hujalifanyia utafiti jambo huna haki ya kuoongea,nadhani wewe ni mmojawao ambaye huna uhakika na unchoongea,waislamu walitaka kujenga chuo chao kikuu kupitia EAMWS ambayo mwalimu aliivunja ili kuwadhoofisha waislam.kuna vitu ambavyo mwlim alivifanya kuudhoofish uislam maksudi,jambo watu wengi hawapendi kuliongelea wakisingizia kwamba tunaingiza udini.Let us call a spade a spade not otherwise kwa hiyo tuliache hilo hata kudhoofika kwa waislam kumetokana na hiyo BAKWATA iliyoanzishwa na mwalimu,kulikuwa kuna umuhimu gani serikali kusimamia uanzishaji wa Bakwata wakati hicho ni chombo cha dini kama siyo kuuharibu uislam?kuna mambo mengi yapo ambayo mtu akikisoma hicho kitabu bila kuingiza ushabiki ,unajua kama unataka kusoma kitu weka ushabiki pembeni fuata ukweli,Tunakiri kwamba kweli.

    ReplyDelete
  5. Sasa na nyie mnakuwa kama watoto, je mmeshasoma kitabu hicho na unafikiri kilichosemwa ndani ya kitabu ni uislamu tuu. Hebu fanyeni research kwanza halafu mtoe maoni yenu. Mnakuja na maoni kama hamjakwenda shule. Don't put trashy comments for the sake of it, think before you write!

    ReplyDelete
  6. Huu MJADALA UNANIKERA najisikia KUTAPIKA nyongo! Michuzi hebu ondoa TAKATAKA hii na wote wanaofagilia kitabu hicho na wale wanaopinga!! Hebu ACHENI kujadili nani alikuwa TAA nani alikuwa TANU nani alimbeba nani?? Hebu Jaribuni Kujadili nani ATAKAYEIONDOA nchi yetu hii kutoka kwenye hili Janga la umasikini na GIZA la Richmond na IPTL na Songas na Tanesco. Ahaaaaa na Dhahabu na Almasi na Tanzanite. Eheeeeee, na Twiga na Tembo na Sangara. Eheeeeee, na madawa ya kulevya na ujambazi na kadhalika.

    ReplyDelete
  7. well muandishi anahistoria yake but the main point still remains as in who was the most active at the time... Mfano: there are so many businesses of photography but your advertising and aggresiveness makes you an historian or the most known....
    So the point is`what did one do to get the point home?

    ReplyDelete
  8. HUYO SHOGA ALIYEANDIKA HIZI HABARI ANATAKA KUCHANGANYA WATU HAPA. ATOKE ZAKE, NASHUKURU WATU WAMEJITOKEZA KUSEMA UKWELI ESPECIALLY WA KWANZA NDUGU- KHAJI PETER- MICHUZI TAFADHALI USIENDEKEZE ANAYELETA HADITHI ZA ABUNUWASI HAPA. HEBU TULETEE C.V YAKE KWANZA TUICHAMBUE TUONE EDUCATION LEVEL YAKE. NI KWELI KUWA AMEENDA NCHI MBALIMBALI KUJILIPUWA HUYU.
    MZEE MICHUZI NAOMBA UTUTAFUTIE MUUNGWANA MMOJA AMBAYE MIEZI MICHACHE ILIYOPITA ALITOA C.V ZA WATU HAPA BULOGUNI KWAKO AMBAZO ZILIKUWA ZA UHAKIKA. ANAWEZA KUTUSAIDIA KULETA C.V. YA HUYU MKORA PIA. TUNATAKA AMANI JAMANI TANZANIA, NA NAOMBA SANA MUSOME MAONI ALIYOTOA NDUGU WA KWANZA KABISA HAPO JUU MAANA AMEONGEA POINT TUPU. ASANTENI.

    ReplyDelete
  9. kabla hatujalaani mambo jamani tusome kitabu chenyewe kwanza.kwa bahati kitabu hiki kilipita mbele ya macho yangu na kwa kweli nilikipenda.mwandishi wa kitabu hiki alikiandika sio kwa kuchochea udini ila ni baada ya kwenda chuo kikuu cha dar es salaam na kukuta habari nyingi za historia wanazofundishwa ni tofauti na alivyosimulia na baba yake ambaye ni sehemu ya historia ya tanganyika,ndio akaaamua kufanya utafiti.kwa kifupi hiki kitabu ni kama research report!kisomeni nanyi halafu tujadili.

    ReplyDelete
  10. HUU NI USHAMBA MTUPU. TUNATAKA FACTS KAMA NI HISTORIA INA MAANA HIYO HISTORIA ANAIJUA YEYE PEKE YAKE TUU?? KAMA NI KWELI NYERERE ALIWAIBIA TANU WAISLAMU BASI NADHANI YEYE ALIKUWA SMART SANA, KWANI WALIO WENGI WALIKUBALI WAKATULIA??
    TANU ILIFANYWA CHOMBO CHA KANISA..!!?? INA MAANA BASI WAISLAMU WOTE WA TANU WANGEKUWA CONVERTED BASI..KAMA WEWE HUSALI KANISANI HUFAI KUWA TANU? HAKUNA MTU ALIYEBISHA KUWA HAKUKUWA NA WAISLAMU WAPIGANIA UHURU, WAKO WENGI TUU AKINA KAWAWA,BIBI TITI NA WENGINE WENGI. HAPA HAKUNA ANYTHING NEW AU TUU ALITAKA WAO WAWE MARAISI WA KWANZA NDIO ANGERIDHIKA!! TATIZO LILILOWAWEKA NYUMA WAISLAMU KIELIMU LINAELEWEKA WAZI. NI WAO WENYEWE NA UOGA WAO KUOGOPA SHULE ZA MISHENI. I HANE NEVER HEARD OF THIS MOHAMED SAID AS A REKNOWN HISTORIAN IN TANZANIA. LABDA 'ANACHIPUKIA'.

    ReplyDelete
  11. Ukitaka kujua kusomesha waislamu ni kupoteza hela soma hicho kitabu utajua kuwa muislamu hata umsomeshe vipi hana agenda ingine bali ni uislamu tu,hata ukimpa uongozi atawaza uislamu tu na waislamu tu, hatawaza agenda ingine aliyowekewa au aliyosomea.Mwandishi wa kitabu hiki ni ushahidi tosha. Nyerere hakujibu hoja za kitabu hicho sababu alielewa hata akiwajibu hawataelewa akaamua kukaa kimya.Hata mimi sijibu sababu kama kuna watu wenye vichwa vigumu kuelewa duniani ni waislamu.Kwa ufupi uhuru uliletwa na watanzania toka mikoa yote ya Tanzania na si waislamu wachache wa Dar es salaam na Tabora.George Bush aliona kwa sababu hawaelewi hata uwaeleshe vipi vikaoni akamua kuwabonda na makombora kule Afghanstan na Iraq.

    ReplyDelete
  12. jamani sioni sababu ya matusi hapa,maana hata mliokisoma si mueleze kinasemaje watu ambao hatujakisoma tuone?si ndo hayo ya AYA ZA SHETANI!!kuna uhuru wa waandishi kama ilivo uhuru wa kuongea.
    ingawa sidhani kama kuna ukweli kuwa nyerere aliwakandamiza waislamu,kwani kawawa na karume walikua waislamu tena washika dini hasa.maana kama ni kufanya kazi na waislamu mbona kawapa watu u rais kina mwinyi na shule ilikua ndo hivyo?mbona kuna wakristo walikua na shule za maana hakuwaachia u rais huo.waislamu ni kweli msichape watoto hawajaenda madras haitawasaidia in future,wachape waende shule ,kama mnataka mabadiliko.
    we michuzi ungesoma madras tu hii blog tusingekua nayo,usingekua unapiga misele kila nchi na marais wote wa TANZANIA hupangi foleni ya VISA,pass VIP.
    AMKENI JAMANI SHULEEEEEEEEEE

    ReplyDelete
  13. Michuzi kwanza nakupa hongera! unajua kwa nini? wewe una akili sana, maana umeweza kutumia blog yako ku-test fikra na uwezo wa wanablog kuchambua mambo ktk nyakati mbali x2 e.g kuanzia yale ya Chifupa,...., na sasa hili la Sykes. Nilichojifunza ni kwamba watu wengi hatupendi kuangalia vitu kwa undani wake. Ni kukurupuka tu na kuzogoana. Michuzi ame-post habari ya kitabu cha bw Sykes pamoja na maswali kadhaa. Ukisoma kitabu hicho na kukielewa (si kusoma tu!!!) naamini majibu ya hayo maswali yatapatikana. Tukichambue tuone mwandishi aliongozwa na vigezo vipi wakati anaandika halafu tutajua kama kitabu kina angalau chembe ya ukweli.
    Ndg zangu, Uislam/ukristo hauna tatizo. Tatizo liko kwa waislamu/wakristo wanapotumia vivuri vya dini kujenga/kubomoa upande mmoja au mwingine. Waisalamu wanamlaumu nyerere kwa kupendelea wakristo. Kumbukumbu zinaonyesha Mzee Ruksa alipigiwa sana kelele na wakristo (ambao inasemekama wamesoma kuliko waislamu) kwa kupendelea waislam. Hatujui nani mkweli hapa!!! Tusome kitabu ili tuje na hoja za maana tupate kuelimishana.

    ReplyDelete
  14. Tusiokuwa na dini nchi hii yunaonewa sana na wakristo na waislamu na serikali zao.Ona hata makaburi yako ya waislamu na wakristo tu sehemu nyingi.Hivi wapagani tusio na dini tukazikwe wapi? Huu ni uvunjaji wa haki za binadamu.Kitabu kinavunja haki za binadamu pia sababu kinatukuza wakristo na waislamu tu na kuwafanya kama wao pekee ndio walilifikisha taifa hapo lilipo na wanaostahili kupokezana madaraka na utawala wa nchi hii.

    ReplyDelete
  15. waafrika kwa nini tusijivunie uafrika kwanza na uutunganishe badala ya kujigawa kwa misingi ya dini hizi za kuletewa na ambao walituletea hawatupendi mpaka leo,walitutawala,wakatufanya watumwa na wanaendelea kutunyonya na kutubagua sababu ya rangi yetu.hizo dini zinahubiri upendo mbona wazungu na waarabu hawaonyeshi hilo kwa waumini wenzao wenye rangi nyeusi? Dini ilikuwa nyenzo nzuri ya kutupumbaza na kututawala na sisi tulivyo wajinga tunaikumbatia na kuitetea kwa kupigana hata na ndugu zetu huku hao waliotuletea wanastarehe na kutucheka,mf.Nigeria.
    Nyerere alijitahidi kutuweka pamoja kama ndugu na kujivunia utanzania wetu kwanza na suala la udini halikuwepo isipokuwa wanafiki na wapumbavu wachache waliokuwa na kampeni za chini chini kama kigoma malima.Sera yake ilikuwa serikali haina dini,akataifisha shule za misheni ili kujenga utaifa.Huyo mwandishi asitafute legitimacy katika siasa kutokana na kufilisika kwake kimawazo na kisiasa na kiakili.

    ReplyDelete
  16. Huu MJADALA UNANIKERA najisikia KUTAPIKA nyongo! Michuzi hebu ondoa TAKATAKA hii na wote wanaofagilia kitabu hicho na wale wanaopinga!! Hebu ACHENI kujadili nani alikuwa TAA nani alikuwa TANU nani alimbeba nani?? Hebu Jaribuni Kujadili nani ATAKAYEIONDOA nchi yetu hii kutoka kwenye hili Janga la umasikini na GIZA la Richmond na IPTL na Songas na Tanesco. Ahaaaaa na Dhahabu na Almasi na Tanzanite. Eheeeeee, na Twiga na Tembo na Sangara. Eheeeeee, na madawa ya kulevya na ujambazi na kadhalika.

    ReplyDelete
  17. Benki ya Waislamu! Imeletwa na huyu mtu. Kingunge tutetee sisi tuiso na dini basi ....jamani...

    ReplyDelete
  18. Nchi hii ina wapagani wasiotaka shari wakristo na waislamu tunaomba mtulie na vituko vyenu vya udini.Usione kobe kanyamaza anatunga sheria.Wapagani tusio na dini msidhani tumelala tukiamka mtalala nyie.Acheni udini wakristo na waislamu shauri yenu.Msije sema hamkuelezwa mapema.Jifanyeni kichwa ngumu tutaonana mbele ya safari.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...