Home
Unlabelled
tcc
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
tupe vitu hivyo michuzi,si tuko kiwanja tunafaidi vituzz!!!!!!!!!!!!!!vya kazi yako.
ReplyDeleteKatika masuala ya kumbi, upangaji,upambaji na ukaji bado unakatisha tamaa!
ReplyDeletetizama miafrika kwa ushamba concert gani na miviti yenye magauni kitambaa hicho wangewapa watoto wa mitaani
ReplyDeletekwa kweli rangi ya viti nyeusi haijapendeza kabsia kama misibani uwiiiii jamani wajua kuchagua rangi na ukichanganya na sie weusi basi mchanganyiko wa kachumbari tuuuuu
ReplyDeleteEwe, Mtoa Maoni: Anonymous, Saturday, December 16, 2006 11:48:32 AM, ashibaye hamjui mwenye njaa!
ReplyDeleteJamani mbona kashfa tuuuuu. ukilinganisha na tulikotoka hii ni kali sana. Nyie kila kitu mnataka kama UK au USA. Fanyeni kazi kama hao wakenya michuzi aliowapoint halafu mkafanye mavitu yetu tuone. Mmezidi. Party inaonekana poa tu.
ReplyDeleteSi mliosoma mnajua osmotic forces! A strong solution attracts a weak solution through a permeable or semi-permeable membrane!
ReplyDeleteSi mliosoma mnajua the mirage effect?
Ukweli ni kwamba ki-jamii, tunavutwa na osmology au mirage effects ya vya kisasa ambavyo sisi hatuvitengenezi. Kila siku vinatengenezwa. Vyetu vimekuwa a weak solution na mipaka yetu kuwa so permeable. Vinapenya au sisi wenyewe huvikimbilia in order to keep up with the Joneses au kama wasafiri wenye kiu wakiona mirage. Wakifika mahali pale wanakuta hayo "maji" hayakidhi kiu. Mirage imeishatoweka na kuonekana mbele!
Kazi yetu sisi ni kushindana ni nani aliye na the most modern cha kisasa, kama watoto wadogo na maputo au watoto wa kike na madoli! Ni nani ana latest ya Kofi Olomide, flat screen, silken tie, mercedes benz, range rover, stretch limousine, hummer, rais gani kaja Dar na ndege ya kisasa, nani kawa na mazishi ya kisasa, arusi ya kisasa, suti ya kisasa, mvao wa kisasa ambao wakati mwingine huwezi kutenganisha sidiria na blouzi au mkanda na skati, vitovu vilivotobolewa na kuwekwa vito, na ma-tattoo hata mahali pa siri budi kuonekana.
Zaidi, mvao wa kifungwa (mvao ulioanzishwa na vijana wa nchi moja yenye jumla ya wafungwa milioni saba - wengi wakiwa vijana wa kati ya miaka 20 hadi 30) wa masuruali kuning'inia matakoni kama popo. Vijana wa mitaani walianza kuiga mvao huu unatokana na wafungwa hao kupewa masuruale yasiyowatosha viunoni. Wafungwa hawaruhusiwi mikanda isije ikawa silaha au kutumika kujiua - basi wanapenda kuyavaa namna hiyo na kugeuza mwendo kwa kutambaza miguu.
Zaidi na zaidi, ni nani ana thongs au brazil strings za kisasa, ninyi mlio ugaibuni hata hivi vipo dar, hapa ni mahali gani mkirudi mtapotea, na vingi, vingi tunavoona ki-blog, ikiwa ni pamoja na u-paparazzi wa ki-celebrity ambao umejaa, na kadha wa kadha u kadhalika!
Vya kisasa vinatu-influence na kutu-shape our senses and sensibilities. Vinashindana na vya zamani kwa mbwembwe, kuonekana, time span, prestige na money! Wengine wanafaidi; wengine wanaachwa kwenye mataa!
Vingine ni vizuri; mengine si mazuri. Vingine vinaambatana na tabia mbovu za madawa ya kulevya, vingine vinatufanya tusiende shule – kwenda shule ni kupoteza wakati na hali huku wenzetu wanatengeneza mafwedha mengi thru madawa ya kulevya na ujambazi wa kuiba, na kupora mabenki na magari ya kusafirisha pesa ili waviinjoi hivyo vya kisasa!
Hence, wale ambao watapenda kuwa more informed and disciplined ndio watakaoweza ku-savaivu hivi vya kisasa!
This in Born Again Pagan signing off and saying, bye for now!
mpambaji atafutwe ka kupigwa risasi! Hayo matambara meusi utafikiri wanafunika mashine za kurandia mbao au wanasitiri pikipiki?
ReplyDeleteahasante sana michuzi-naona vitu vizito hivyo, ukumbi safi sana huo. Hao wanaokandia sijawaelewa.
ReplyDeleteMpambaji kachemsha, viti kavipamba kwa kutumia KANIKI!!.....
ReplyDeleteWaganga wao wali waambia watumie kaniki hao, msishangae!!! teteteh. walienda kuangalia life zao!
ReplyDeleteKUSEMA UKWELI UKUMBU UPO MAKINI ILA KAMA WALIVYOSEMA WAZAWA HAPO JUU KWELI INABIDI MPAMBAJI AU WACHAGUA RANGI WAWE MAKINI... INGEPENDEZA KWELI KWELI KAMA NGOZI NYEUPE ZINGEKUWA ZIMEKAA HAPO ILA KWA SISI NA RANGI YETU YA NGOZI OVER WAPO MAFICHONI KWA SANGOMA MANAKE HATA HATUWAONI NA VISUTI VYAO VYENYE LEBO....
ReplyDeleteBWANA MICHUZI.... NAJUA KIINGEREZA SIO KWENU LAKINI HATA KISWAHILI BABU? AU UMEMTUMA YULE MDOGO WAKO ALIEMALIZA DARASA LA SABA MWAKA JUZI AANDIKE "CAPTION" YA PICHA HIYO? "WASANII WA KIKE MAHIRI" SIO MAHILI BABUUU...... LAKINI MAMBO YAKO BOMBAAAA
ReplyDeleteUkumbi umependeza sana, rangi NYEUSI haina tatizo imependezesha sana mandhari. Nadhani aliyepamba amefanikiwa kuonyesha kwamba anakipaji cha ubunifu. Inawezekana kwa watu wengi, na mahali pengine rangi nyeusi mnazitumia vibaya ndiyo maana inawashtua kidogo. Tuache ubaguzi wa rangi, kutumia rangi nyeusi au nyeupe inategemea unataka kuwa na muonekano gani wa kupendeza. Wabunifu zidini kutuletea mambo mapya ikibidi nasi tuigwe.
ReplyDeleteMichuzi hii blog yako ni burudani tupu haaaaaaaaaaaaa
ReplyDelete