balozi wetu marekani mh. andrew daraja akipokea katiba ya chama cha watanzania waishio jimbo la tennessee alipokuwa akizindua chama hicho desemba tisa katika kusherehekea uhuru dei. aliyeketi ni joseph ole edward sokoine, afisa wa ubalozi wetu pale washington dc
d

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. poa. lakini hivyo vikaratasi vya picha za kuchora noma hapo ukutani.
    ughaibuni frame za picha bei chee tu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...