wamasai wapo kibao dar siku hizi, wakila dili aidha za ulinzi, ususi ama kuonesha tamaduni zao. hapa ni kempinski kilimanjaro hoteli

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. michuzi si utuambie ukweli jamani..hao hawakuwa wanawapokei wakwe dec, 13?

    ReplyDelete
  2. hapo kempiski wananyanyasa sana na kudharau wageni wanaokwenda wa kitanzania.

    labda uwe kiongozi wa serikali ndio watakuheshimu.

    kwahiyo we michuzi usianze kufagilia hiyo hoteli una mamboya ajabu saa ingine ni kazi yako kuchunguza mambo kama hayo na kuweka wazi.

    ReplyDelete
  3. Once were warriors!

    Rafiki yako.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...