waziri mkuu na wah. wakiangalia madhara ya ajali ndogo iliyotokea wakati wa kwenda kwenye mazishi ya hayati juma akukweti. wengine toka kulia ni bernand membe, mbunge wa namtumbo vita kawawa, mbunge wa mkuranga adam malima, spika samuel sitta, waziri mdogo ofisi ya waziri mkuu (maafa) dk luka siame, waziri mdogo wa habari, michezo na utamaduni joel bendera na waziri mdogo wa sheria na katiba mathias chikawe. mh. membe leo katangazwa kuwa waziri wa mambo ya nje na uhusiano wa kimataifa kuchukua nafasi ya naibu katibu mkuu umoja wa mataifa dk asha-rose migiro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...