Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Nenda Brunei uncle JK. Labda watatupa mafuta ya msaada. Tehe tehe tehe(kicheko).Alafu uncle JK ukiwa njiani unarudi, simama Tokyo waambie barabara zetu zina mashimo, ili watujengee tena(tehe tehe tehe). Alafu ukirudi mpigie simu baba mkubwa Kichaka kule D.C., mwambie atusaidie ndege za abiria, hata zilizotumika, maana ATC inatia aibu, haina ndege za kutosha. Pia mwambie baba mkubwa Kichaka atusaidie na magari ya polisi yanaitwa Chevy Impala yenye computer ndani. Uncle JK usisahau niliyokwambia kuhusu baba mkubwa Kichaka, maana mwaka ujao muda wake wa kazi unaisha, angalau atusaidie mwisho mwisho, maana uwezo anao.

    ReplyDelete
  2. KIPANYA KIBOKO,KATUNI ZAKO NI BOMBA SIO KIKANGA KAOA AZITUSAIDII ,WALA AZITUONGEZEI UPANA WA KUFIKIRI POA SANAAA

    ReplyDelete
  3. No comment Masoud, You're just MARVELLOUS!!!!!

    ReplyDelete
  4. naona JK anataka avunje rekodi ya baba mtakatifu john paul II kwa kuzunguka nchi nyingi zaidi duniani,,well yeye ni neno la "kujitangaza"...unlike the holly father...aombe tu hazina isikauke...

    ReplyDelete
  5. I LIKE THIS

    ReplyDelete
  6. Night moja nje ya nchi rais analipwa sh. ngapi? + wasaidizi na msafara?

    ReplyDelete
  7. kikwete alizoea uwaziri wa mambo ya nje sasa kawa rais asiposafiri haoni raha maana hajazoea ati kukaa ndani ya nchi muda bila kusafiri

    ReplyDelete
  8. dah mnakemea safari za rais kaka yetu michu atakula wapi?
    unajua safari zikikauka naogopa michuzi anaweza anza kutulipisha kwenye blog yake tafadhalini jamani??chonde chonde mjadala huu ufungwe!!!!

    ReplyDelete
  9. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...