kipanya aki...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Siku zote huwa naamini Kipanya Unakipaji kikali.Siku zote unatumia maneno machache yenye ujumbe mpana.Michuzi nakupa tano kwa kumkaribisha Kipanya ndani ya blog yako.

    ReplyDelete
  2. mtumeeee! sasa kipanya unawatekenya boyz 2 men......

    ReplyDelete
  3. Mzee Ngoyai yuko mbele ya baba J.Manyika,mheshimiwa Manyika ndo mmiliki wa sheria za bongo.ukibishana nae bar aweza kukumwaga segedansi saa hiyo hiyo.Ngoyai usibishane na huyo dingi unaweza jikuta Segadansi.

    ReplyDelete
  4. Michuzi kaka!

    nimepeda iyo collabo yako na kipanya, naona blogu hii itakuwa yenye kuvutia sana zaidi na zaidi!

    KiNyoka hapa
    web:www.kinyoka.com
    blog:www.kinyoka.com/wordpress

    ReplyDelete
  5. Hii katuni ya kisomi kabisaaaaa... huyu PM kila baada ya wiki mbili anakwenda Moshi/Arusha. Hata mwenziye Sumaye hivyo hivyo. Majukumu yake ni ya taifa!!!!1

    ReplyDelete
  6. Mie naona jibu alilotoa mthumiwa aliyeko kizimbani ni sahihi kabisa kulingana na utaratibu wetu wa kiutawala. Waziri Mkuu, pamoja na kuwa na majukumu ya kitaifa, bado anawajibika kwa watu wake waliomchagua kwenye jimbo lake. Bila ya kuwa mbunge (tena wa Jimbo) sidhani kama unaweza kuwa Waziri Mkuu. Sasa watu wanaomshangaa kwa kwenda jimboni kwake walitaka nani akafanye kazi ya mbunge badala yake? Hii ni sambamba na suala la mtu kuwa Waziri halimuondolei jukumu lake la kuwatumikia wananchi waliomchagua kwawakilisha bungeni. Na katika kuwatumikia huko, shurti afike jimboni. Sidhani kama baada ya miaka mitano, mbunge wako anakuja kuomba kura halafu ukimuuliza mbona sijakuona kipindi chote kinachoisha yeye akakujibu kuwa eti alikuwa na majukumu ya Taifa,utumuelewa...

    Cha msingi labda watu wajadili suala la kama hawa viongozi wa Kitaifa waendelee kuwa wawakilishi (wabunge). Hii ni kwa Waziri Mkuu, Spika, Mawaziri, etc. Lakini kwa utaratibu wa sasa, mimi naona hakuna mushkeli wowote kwa hawa watu kuwatumikia na kuwajulia hali wapiga kura wao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...