picha nyuma yangu ni mtawala wa qatar, emir sheikh hamad bin khalifa al-thani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Mwanangu Michuzi, hiyo picha hapo chini tafadhali iondoe. Siyo kila unachokiona lazima ukipige picha. Hii web site yako imepata umaarufu mkubwa toka kwa Watanzania wengi waishio nchi mbali mbali duniani, hivyo inabidi uwe makini picha zipi za kuweka na zipi hazifai. Sasa baada ya hii picha nini kitafuata sinema za kujamiina?

    Kuteleza si kuanguka, iondoe picha kisha omba samahani then move on, vinginevyo unajidharaulisha na kujishushia hadhi yako mbele ya kadamnasi. Usinitie kapuni kama kawaida yako, pia matusi yanaongezeka katika forum hii, ajiri mtu akusaidie kupitia jumbe zilizoandikwa na zile ambazo zina matusi ya nguoni basi uziweke kapuni. Watu wengine hii dhana ya kuwa anonymous inawapa vichwa ya kuandika upupu wa kila aina. Usiwape nafasi ya kuharibu ukumbi huu na wewe mwenyewe uwe mstari wa mbele kuhakikisha kwamba maadili na utamaduni wetu wa Kitanzania unapewa kipaumbele.

    ReplyDelete
  2. Hi Michuzi mi naitwa Ben " Mzee wa Liverpool Barber Shop, Sinza Mori. Hii picha ya huyu mwarabu nyuma yako si ndio ya yule mwarabu anayelinunua chama let Liverpool? Nasikia ana mkwanja wa kufa mtu na analinunua chama kwa pound 450 M. Hapo sasa ni kusajili wachezaji wa kufa mtu na kupiga bao tu. By the way wapenzi wenzangu wa liverpool mnaionaje mechi ya kesho dhidi ya vijana wa Josephine Moureen? Mi nadhani tutawapiga bao kwani bila J. Terry beki yao ni nyanya sana na pia P. Cech atakuwa na woga mafowad wakimvaa mara mbili tatu lazma ataachia tu.

    ReplyDelete
  3. Angalia sana Michuzi, uko nyuma yake huyu.

    ReplyDelete
  4. Sitashangaa kuona picha mtu yuko chooni akisifia vyoo vya ughaibuni. Pia sitashangaa mtu akipost picha ya kinyesi chake mwenyewe alichokitoa mwilini mwake akiwa ughaibuni. Maana hizi picha nyingine hazina point kabisa humu.........

    ReplyDelete
  5. Waarabu ni washenzi. Wananyanyasa wafanyakazi wa ndani. Soma hapa:

    Claim: Diplomat, wife abused employees, beat them with box of frozen chicken
    McLEAN, Va. (AP) — A Kuwaiti diplomat and his wife regularly beat and abused three domestic workers who were kept under conditions akin to slavery for months before they escaped, according to a civil lawsuit filed Wednesday.

    The lawsuit, filed in U.S. District Court in Washington on behalf of the workers by the American Civil Liberties Union, also names the Kuwaiti government as a defendant for enabling the alleged abuse carried out by its employee.

    The lawsuit claims violations of labor laws, anti-trafficking laws, and the 13th Amendment, which prohibits slavery. It states that the couple used diplomatic immunity to avoid criminal charges.

    The three women, originally from India, said they came to the United States in the summer of 2005 to work as domestic help for Maj. Waleed Al Saleh, an embassy attache, and his wife, Maysaa Al Omar.

    The lawsuit alleges they were subject to physical abuse — including death threats and a beating with a box of frozen chicken — and only given a fraction of their promised monthly wages of $1,280.

    The workers were also only allowed out of the McLean home once a month and had their passports seized, the lawsuit says. The couple also demanded that all their laundry be ironed — including underwear — and that their year-old triplets' diapers be changed every two hours, soiled or not.

    The women said in the lawsuit they were afraid they would be killed if they fled the home. One escaped in October 2005 to the home of a neighbor, who called police. The two other women fled a few months later.

    "I was scared of my employers and believed that if I ran away or sought help they would harm me or maybe even kill me," said Kumari Sabbithi, who fled in October after allegedly being knocked unconscious in a beating.

    Sabbithi and the other plaintiffs, Joaquina Quadros and Tina Fernandes, now live in New York.

    A spokeswoman for Fairfax County Police said Wednesday she could not immediately determine the results of any police investigation. Calls to the Kuwaiti embassy were not returned Wednesday, and efforts to reach Al Saleh by phone were unsuccessful.



    E-mail thisPrint versionNewsletter sign up
    courttv.com
    ET/PT
    TV SCHEDULE






    --------------------------------------------------------------------------------

    ReplyDelete
  6. Huyo anony wa 7:46a.m. katoa ukweli kabisa. Jamani tabia ya kuwalamba waarabu tuiache. Waarabu ni wanyama kabisa. Waarabu hawana utu.

    ReplyDelete
  7. Michusiiiiii????Dogo unaosha sana Rais mwenye elimu zaidi yako hakawii kkukupiga chini,wee mambo ya lifti tu lakini una jina kuliko Lowassa?Sumaye tuko naye hapa U.S.A anakuogopa ile mbaya.

    ReplyDelete
  8. Jamani kuna mwafrica kutoka N.Africa hapa kiwanja ameniambia you rather work for muzungu they will feed atleats ila waarabu ni noma vibaya.They will work you as much as they want and at the end the day they don`t give a fuck who you are.

    ReplyDelete
  9. We mkulugenzi Mijusi sijui nimekosoa au nimepatia mambo mengine yatakuretea matatizo Juzi unaona umesikia radio za magharibi zi hoji juu uhusiano wa tanzania na iraki sasa wewe waleta picha za watu wasiokuwa na mifupa na wasiogopa kufa utaitwa gaidi sasa hivi keaful mzee

    ReplyDelete
  10. Watoa maoni hapo juu mna chuki na waarabu au mna ajenda za siri?. Unyama ni suala la watu binafsi na si Uarabu. Lipo kwa waafrika, wazungu, wayahudi, wahindi, wachina n.k. Msijikombe kwa wazungu, wana upande wao wapili pia kama binaadamu wengine.

    ReplyDelete
  11. huyoo sheikh mbona anaonekana kama kakutolea jiiicho, angalia hao watu kaka...alafu ilo pozi limekaa ki miondoko ya kipapaa papaaa hivi, likipigwa Yenu hapo Michuzi hukamatiki inaonekana!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...