muasisi wa mashindano ya mitindo farida matata akivishwa pete ya uchumba na john anthony hivi majuzi hapa ukerewe. wanatarajia kufunga ndoa dar mwezi ujao... hongera farida fashion!

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. hawa wanaoana kumalizia uzee kwa kweli.

    ReplyDelete
  2. Wa kufa na kuzikana maana umri ndio ushaenda huo. Duh!

    ReplyDelete
  3. mh hao wazee tena walikuwa wapi jamani miaka yote hiyo wanaoana saa hizi.au kula mmoja ndoa yake imemshinda ndo wanajaribu ten!

    ReplyDelete
  4. Hongera dada na kaka ndoa na iwe ya kheri!

    ReplyDelete
  5. Hongera zenu why kufa kiofisa na tai shingoni kama jembe bado lina meno kwanini lisitumike, faidi mdada!

    ReplyDelete
  6. Hongera farida, ila na shindwa kuelewa , je huyu dada kaolea mara ngapi?, maana Dar aliolewa , Znz aliolewa, Uk miaka ya 90 aliolewa, na sasa tena yuko engaged duh , ndoa ngapi? ni anataka kumrudi Elizabeth Tylor? nime furahi kumuona bado yuko bomba na bado ana jaribu kutafuta penzi kwani penzi ni muhimu na chakula cha roho ...Hongera sana Dada wa Mitindo!

    ReplyDelete
  7. haya kila la kheri ila mtaishia kutotoa wajukuu. watoto wenu watawaita bibi na babu

    ReplyDelete
  8. Watu mnachonga sana. Kwani yanawahusu nini? Mwenzenu kapata wake wa ubani nyie mnashobokea. Nani kawaambia wana mpango wa kuzaa??? Teh Teh Teh, Watu bwana!!!!Nyie ndio mnaovunjaga ndoa za watu!!!! Nanyori.

    ReplyDelete
  9. ...... sasa dada yangu FARIDA na huyo mchumba wako naona mna mpango wa kuzaa matahaira kwani UMRI wenu umeishafikia magharibi !!!!! Labda niwape USHAURI wa bure kwamba mkishaoana basi nyie ni kupeana starehe tu za kiutu UZIMA mpaka KIFO kitakapo watembelea !! Au mnasemaje kwa USHAURU HUO BURE ?????? But all in all I wish u the best of LUCK in your coming NEW life of MARRIAGE !!!

    ReplyDelete
  10. wewe anony hapo juu hebu acha ushamba kwani aliyekwambia wanataka mtoto nani mambo ya waswahili bwana kama huyo bw ana watoto na bibie anao wake watawalea kama watoto na hayo ndio mapenzi ya kweli si lazima wazae mwingine ktk ndoa ndo waprove success kwenye ndoa yao washazeeka nawashauri wasijihangaishe walee walio nao kama hawana na wanadhani ni lazima basi nawapa baraka zote na Mungu awajalie.

    ReplyDelete
  11. wewe anony hapo juu hebu acha ushamba kwani aliyekwambia wanataka mtoto nani mambo ya waswahili bwana kama huyo bw ana watoto na bibie anao wake watawalea kama watoto na hayo ndio mapenzi ya kweli si lazima wazae mwingine ktk ndoa ndo waprove success kwenye ndoa yao washazeeka nawashauri wasijihangaishe walee walio nao kama hawana na wanadhani ni lazima basi nawapa baraka zote na Mungu awajalie.

    ReplyDelete
  12. KWAKWELI HUYU FARIDA FASHION, KAMALIZA WANAUME WA KILA AINA. NI KWELI KABISA ALIVYOULIZA MDAU MMOJA HAPA JUU, AMEOLEWA MARA NGAPI, MAANA NI MARA KAMA NNE KAOLEWA, HATA TENA KILA MTU NA MAISHA YAKE. TUMPE TU HONGERA ZAKE.

    ReplyDelete
  13. Haya! John na Farida wapi na wapi bwana? Ila kama kweli mmedhamiria kila la kheri!

    ReplyDelete
  14. Wewe anony hapo juu, huoni hawa "well past their sale-by date" hivyo utotoaji hauko kabsa kwenye ajenda!

    ReplyDelete
  15. Wewe anony hapo juu, huoni hawa "well past their sale-by date" hivyo utotoaji hauko kabsa kwenye ajenda!

    ReplyDelete
  16. Ndio. Yanawahusu nini????!!!!!

    ReplyDelete
  17. Watu wengine bwana, hawana point kabisa. Kwani wakioana wao wewe inakuuma nini? Besides, hakuna age limit ya kuoa. Mtu wa umri wowote anaweza kuoa, au kuolewa. Panukeni kimawazo jamani.

    ReplyDelete
  18. Michuzi hii blog yako ni kiboko,ni kucheka tu kila ukifungua comments za watu haaaaaaa haaa

    ReplyDelete
  19. Me nawatakiwa ndoa njema yenye baraka na upendo ndani yake. Wenye wivu na wajinyonge kwa kweli hata kama ni ndoa ya ishirini nyie inawahusu nini kwa mfano????????!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  20. Wewe Farida umeshazeeka hebu mwachie mdogo wako Zaomba labda nay aajaribu bahati yake.

    ReplyDelete
  21. INAWAHUSU NINIIIIIIII!!!!!!

    YAKWENU KIMYAAAA......

    KAMUA BABA....ACHANA NAO VIZABIZABINA....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...