Home
Unlabelled
farida
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hawa wanaoana kumalizia uzee kwa kweli.
ReplyDeleteWa kufa na kuzikana maana umri ndio ushaenda huo. Duh!
ReplyDeletemh hao wazee tena walikuwa wapi jamani miaka yote hiyo wanaoana saa hizi.au kula mmoja ndoa yake imemshinda ndo wanajaribu ten!
ReplyDeleteHongera dada na kaka ndoa na iwe ya kheri!
ReplyDeleteHongera zenu why kufa kiofisa na tai shingoni kama jembe bado lina meno kwanini lisitumike, faidi mdada!
ReplyDeleteHongera farida, ila na shindwa kuelewa , je huyu dada kaolea mara ngapi?, maana Dar aliolewa , Znz aliolewa, Uk miaka ya 90 aliolewa, na sasa tena yuko engaged duh , ndoa ngapi? ni anataka kumrudi Elizabeth Tylor? nime furahi kumuona bado yuko bomba na bado ana jaribu kutafuta penzi kwani penzi ni muhimu na chakula cha roho ...Hongera sana Dada wa Mitindo!
ReplyDeletehaya kila la kheri ila mtaishia kutotoa wajukuu. watoto wenu watawaita bibi na babu
ReplyDeleteWatu mnachonga sana. Kwani yanawahusu nini? Mwenzenu kapata wake wa ubani nyie mnashobokea. Nani kawaambia wana mpango wa kuzaa??? Teh Teh Teh, Watu bwana!!!!Nyie ndio mnaovunjaga ndoa za watu!!!! Nanyori.
ReplyDelete...... sasa dada yangu FARIDA na huyo mchumba wako naona mna mpango wa kuzaa matahaira kwani UMRI wenu umeishafikia magharibi !!!!! Labda niwape USHAURI wa bure kwamba mkishaoana basi nyie ni kupeana starehe tu za kiutu UZIMA mpaka KIFO kitakapo watembelea !! Au mnasemaje kwa USHAURU HUO BURE ?????? But all in all I wish u the best of LUCK in your coming NEW life of MARRIAGE !!!
ReplyDeletewewe anony hapo juu hebu acha ushamba kwani aliyekwambia wanataka mtoto nani mambo ya waswahili bwana kama huyo bw ana watoto na bibie anao wake watawalea kama watoto na hayo ndio mapenzi ya kweli si lazima wazae mwingine ktk ndoa ndo waprove success kwenye ndoa yao washazeeka nawashauri wasijihangaishe walee walio nao kama hawana na wanadhani ni lazima basi nawapa baraka zote na Mungu awajalie.
ReplyDeletewewe anony hapo juu hebu acha ushamba kwani aliyekwambia wanataka mtoto nani mambo ya waswahili bwana kama huyo bw ana watoto na bibie anao wake watawalea kama watoto na hayo ndio mapenzi ya kweli si lazima wazae mwingine ktk ndoa ndo waprove success kwenye ndoa yao washazeeka nawashauri wasijihangaishe walee walio nao kama hawana na wanadhani ni lazima basi nawapa baraka zote na Mungu awajalie.
ReplyDeleteKWAKWELI HUYU FARIDA FASHION, KAMALIZA WANAUME WA KILA AINA. NI KWELI KABISA ALIVYOULIZA MDAU MMOJA HAPA JUU, AMEOLEWA MARA NGAPI, MAANA NI MARA KAMA NNE KAOLEWA, HATA TENA KILA MTU NA MAISHA YAKE. TUMPE TU HONGERA ZAKE.
ReplyDeleteHaya! John na Farida wapi na wapi bwana? Ila kama kweli mmedhamiria kila la kheri!
ReplyDeleteWewe anony hapo juu, huoni hawa "well past their sale-by date" hivyo utotoaji hauko kabsa kwenye ajenda!
ReplyDeleteWewe anony hapo juu, huoni hawa "well past their sale-by date" hivyo utotoaji hauko kabsa kwenye ajenda!
ReplyDeleteNdio. Yanawahusu nini????!!!!!
ReplyDeleteWatu wengine bwana, hawana point kabisa. Kwani wakioana wao wewe inakuuma nini? Besides, hakuna age limit ya kuoa. Mtu wa umri wowote anaweza kuoa, au kuolewa. Panukeni kimawazo jamani.
ReplyDeleteMichuzi hii blog yako ni kiboko,ni kucheka tu kila ukifungua comments za watu haaaaaaa haaa
ReplyDeleteMe nawatakiwa ndoa njema yenye baraka na upendo ndani yake. Wenye wivu na wajinyonge kwa kweli hata kama ni ndoa ya ishirini nyie inawahusu nini kwa mfano????????!!!!!!!!!!!!
ReplyDeleteWewe Farida umeshazeeka hebu mwachie mdogo wako Zaomba labda nay aajaribu bahati yake.
ReplyDeleteINAWAHUSU NINIIIIIIII!!!!!!
ReplyDeleteYAKWENU KIMYAAAA......
KAMUA BABA....ACHANA NAO VIZABIZABINA....