wakereketwa wa hapa huvaa hivi...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. Yaani huvaa hivi kila siku, hawabadilishi?

    ReplyDelete
  2. Yaani huvaa hivi kila siku, hawabadilishi?

    ReplyDelete
  3. Aibu tupu, wanafikiri watapata vyeo kwa kuvaa jezi za CCM? Njaa inawaponza.

    Badala ya kuchapa kazi na kuwekeza/kusaidia nyumbani wao wanataka kupanda kwa kuvaa mavazi ya CCM Ulaya.

    Aibu tupu mkuu

    ReplyDelete
  4. Hiyo yote ni kkujikomba kwa Mwenyekiti wa CCM ili awaone kuwa ni wakereketwa wa CCM kumbe ni wanafiki wakubwa !!! Bila shaka hata Profesa Lipumba angekuwa madaraka na CUF yake basi wangejitahidi kutafuta viwalo vya CUF !!!! Acheni UZANDIKI wenu ninyi WANAFIKI. Nami namuunga mkono huyo anony wa saa 8:50:26 AM kwa kuwauuliza kama wanabadilisha hivyo viwalo ama laaah !!! Kweli kama ni hiyo hiyo t-shirt hata kama huko kuna baridi kiasi gani LAZIMA itanuka JASHO !!! ACHENI HIZO NINYI WANA CCM FEKI AMBAO HATA KADI HAI SIJUI KAMA MNAZO !!!

    ReplyDelete
  5. Kwani nyinyi kinawauma nini kama mtu akivaa jezi ya timu aipendayo? kama yeye amevaa ya yanga na wewe ni simba basi katafute ya simba uvae!! na kama huna uwezo wa kuipata basi lakini usikasirike na kumtukana mwacheni mtu afanye akipendacho!!, elimu ni muhimu sana tupeleke watoto wetu mashuleni yasiwakumbe yaliyotukumba!!.

    ReplyDelete
  6. Anon 5;32;;10
    Suala sio jezi ya timu,suala ni la ITIKADI.Huwezi kulinganisha jezi ya Yanga/Simba na jezi ya CCM.Unapovaa jezi ya CCM unawakumbusha watu sera za CCM Vs matendo ya baadhi ya viongozi wa CCM hasa RUSHWAaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete
  7. wewe anon wa 2:02:10 mtu huvaa au hupigia debe chama chake kama wewe huipendi CCM basi vaa za chama ukipendacho ambacho katika fikra zako kwamba kikichukua madaraka rushwa haitakuepo!!, mimi nilitolea mfano wa yanga nilifikiri utaelewa lakini ni zero maana hukuelewa, chama ni kama timu za mipira kama ni mpenzi hatakama itafungwa vipi bado utaipendelea tu sasa hawa jamaa ni ccm unataka wavae za cuf au chadema? haiwezekani usiwatukane waacheni wafanye wanavyofanya na wewe fanya unachotaka.

    ReplyDelete
  8. Wewe Anonymous 2.40.47 AM hapo juu ina onyesha jinsi gani usivyo na upeo baada ya kuelimishwa na Anonymous 2.02.24 AM hapo juu unakuwa mkali kama makalio ya NYANI yale mekundu. jaribu kutofautisha kati ya ITIKADI na MAPENZI kama vile ya timu za mpira kama YAnaga, Simba n.k. Naomba unipe anuani yako ikiwezekana nijitolee kukupa msaada hata wa fedha ukapanue mawazo yako hata kama ni kwenda shule za chekechea basi niko tayari kukusaidi mpaka ufike ngazi ya Chuo Kikuu. kwani inaonyesha uanelekezwa lakini hauelekezeki !!! tuma anuani yako hapa ukumbini nitakusaidia au mtumie MICHUZI nami najua jinsi nitakavyowasiliana naye halafu nitakupata MASKINI MKUBWA WEEH WA UFAHAMU !!!! Tembea uone hata watasha wana msemo wao usemao, nanukuu"...... travel broaden your scope" mwisho wa kunukuu. Usipende kungángánia maisha ya hapo ulipo sijui nasikia panaitwa UWANJA WA FISI !!!

    ReplyDelete
  9. Yeah!!!! me too I smell junior college kwa FROM TEXAS. Anipe anuani yake hata mimi nitamsaidia aongeze knowledge. Mapenzi ya hobby[entertainment] huwezi kulingalisha na siasa. Kuvaa sare za chama wakati raisi yuko kwenye ziara ya kiseri ni kuonyesha kuwa bado hatuna democrasy. Wangevaa bendera ya Tanzania basi. Kwasababu nadhani kuwa kama kuna mtu angevaa sare ya CUF au chadema sidhani kama angeruhusiwa kuingia kwenye mkutano

    ReplyDelete
  10. Anon 2:11:14 PM & 11:28:42 PM hongera sana,tena sana kwa kumwelewesha MKEREKETWA anon 5:32:10PM.Unajua tena,blog kama hii inatusaidia sana kupanua vichwa vyetu,tatizo ni pale mhusika anapojifanya anajua kumbe... Nijuavyo mimi moja ya malengo ya chama cha siasa ni kuendesha serikali - na hii ni agenda kubwa kwa vyama vyote vya siasa duniani.Ndo maana hapo Bongo kuna msajili wa vyama vya siasa,ambapo kwenye daftari lake Simba/Yanga hazimo.
    Kwa taarifa yako naona uko Texas ya Mbagala sio ya States.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...