
jk akimpongeza johnson lukaza kwa kuchangia milioni 3 kwenye harambee ya kuchangia elimu ya sekondari wilayani bunda katika hafla ilofanyika usiku huu hoteli ya golden tulip hapa dar. johnson ni mmoja wa wafanyabiashara vijana wanaokuja juu sana bongo. mtembelee hapa ucheki vitu vyake
mipesa bin misupu yale mambo ya mahusiano.com mzee unashea si ndio?naona mmeongeza zilipendwa yaani umenigusa siyo kitoto,naomba tuongezee masongi ya sikinde,msondo hadi bima lee ya akina dede na bushoke,vipi kuhusu vijana jazz ya akina maneti zile enzi za air pamba moto,oss ya marehemu kasheba just to mention few,just bring on bro,and keep ur head up,thax 4 good work and god bless u.
ReplyDeleteHuyu ni bwana Jones Lukaza wa Azania darasa la 1991 (finish form VI) na Mlimani- UDSM Civil engineering class of 1996??? In any case, congrants man and keep it up!!
ReplyDeleteHuyu ni bwana Jones Lukaza wa Azania Secondary Form Six Class of 1991 and UDSM-Mlimani Civil Engineering Class of 1996???? In any case, congrants man and keep it up!!!!!
ReplyDeletekabisa migravy,jamaa hapo juu kasema kweli,nimetembelea mahusiano.com nimekuta zilipendwa nilifurahi sana niko hapa u.s hawa watu wamenikumbusha mbali sana na kuniliwaza,lakini kama jamaa alivyosema tuletee zaidi hayo masongi kama yale ya marijani,jerry nation,nico zengekala ambao wote ni marehemu,mungu awabariki.kazi njema migravy.tchaaaaoo!
ReplyDeleteAnony wa juu Johnson alisoma UK sio mlimani. Ni mmoja kati ya vijana wanaojituma sana hapa bongo kwa kufuata njia zilizo sawa. He knows he can.
ReplyDeleteJones Lukaza wa Azania Secondary ni kaka yake huyu Johnson Lukaza. Johnson alisoma Shaban Robert na baadaye Chuo Kikuu nchini Uingereza.
ReplyDeleteNi mfanyabiashara anayejibidiisha. Na sasa ameanza kujiingiza katika masuala ya kusaidia jamii. Safi sana.
Endeleza moyo huo bwana Johnson.
Michuzi na wadau wengine, huyo Johnson anafanya "shughuli gani haswa halali" maana umesema anakuja juu. Maana kwa line zilivyo tight bongo tusije tukawa tunasifia watu kwa vijisenti wanavyotupa na kuchangia sehemu anuai bila kujua undani wao. Mtu successful shughuli zake zinajulikana kwa uwazi kama ofisi ilipo, ni supplier wa nini, clients wake ni akina nani, ameajiri watu kiasi gani, je analipa kodi, kwa kiasi kipi nk. Kama wewe Michuzi tunajua uko TSN na PhotoPoint likiwa goli lako jingine. Lakini pia kuna watu, vijana kwa watu wa makamo na hata kwa wazee ambao ni "SUCCESSFUL SANA" ila shughuli zao zina UTATA, hazijulikani kwa uwazi. Tusaidie hapo. Pia ukijua mtu anafanya nini anakuwa amejifanyia "free marketing" to prospective clients, suppliers and general public at large, hamna haja ya kuficha siku hizi, hamna kulogana kama zamani.
ReplyDeleteWe Annon hapo juu acha ujinga, Michuzi kakuwekea link usome mwenyewe halafu unauliza maswali ya kijinga. Kama ujaona, click hiyo link Michuzi alipoandika mtembelee hapa utapata kila kitu. Acha ufara lakini.
ReplyDeleteSafi sana Johnson, kwa kusema ukweli mtu kama huyu analeta changamoto nzuri sana kwa vijana wa kitanzania, ni mmoja kati yetu watanzania ambaye utandawazi na mambo haya ya ushirikiano wa nchi mbalimbali ataona matunda yake direct.Kwa kweli i am highly impressed with Johns.Ni kama Erick Shigongo vile, na vijana wengine wenye kujituma na kutopenda kwenda kuzalilika ulaya na hatimaye kuona nyumbani sio.Ninachoomba Johns you have to do something for others too.Mfano jaribu kupata jinsi ya kuwasaidia vijana wenye moyo kutoka,na kujishughulisha,na pia toa elimu kwa wengine on entrepreneurial skills so that we can move on bro.
ReplyDeleteWakati Rais anasema wahisani wasaidie kujenga "Jeshi la Polisi lenye hadhi na imara wakati wote" ana maana gani?
ReplyDeleteJe Wahisani watatua matatizo ya Jeshi la Polisi Tanzania? au ni watanzania wenyewe? Je kama Rais anafahamu jeshi ni dhaifu na siyo imara sasa hiyo ndo hatua anayochukua kulijenga jeshi?
askari wetu wana mapungufu mengi sana,makazi yao ni matatizo,huduma za afya ni matatizo.
Je wanagpi katika serikali wanaiba pesa za serikali amabzo zinaathiri uchumi wa Nchi pesa amabzo zingetumika katika kusaidia kujenga nyumba za askari??!
Matatizo ya ujambazi na mengineyo hayatamlizwa na wahisani.Hakuna mjomba.Tuwahimize watanzania waliofanikiwa kulichangia jeshi hilo,laikini akitokea mjomba tushukuru Mungu!
Jeshi letu likipewa mafunzo bora vifaa na maisha bora wanauwezo wa kufanya kazi vizuri.Aidha kuna vijana wengi katika jeshi wana uwezo mzuri lakini human resources za polisi hazifamu kuwa nani afanye hiki na nai awe pale hili ni tatizo kubwa.
Jeshi pia litumie vyuo vikuu vya kwetu kutoa mafunzo kwa askari wetu sio polisi kujifanya wao wako peke yao.masomo kama Sociology,criminilojia vyuo vikuu vitumike na cyber crime.
Vyuo vikuu viunde mitaala ya makusudi katika kuwasaidia polisi kwa njia moja au nyingine.
Tukifanya yote tutakuwa tunasaidia kujenga jeshi lenye hadhi na imara maana litakuwa limetokana na mawazo yetu na uzoefu wetu.
Jeshi litengeneze watalaam na siyo kuwachukia wanaojitahidi kutafuta utalaam.
wee anonymous hapo juu kichwa chako kiko kama tikiti maji kwani nimzito wa kuelewa na pia inaonekana shida zako na matatizo yako yanakufanya kila mwenyekufanikiwa nilazima atakuwa nanafanya biashara haramu wakati siyo wote wacha roho ya kwanini jitume na wewe unaweza kufanikiwa badara ya kuanza kusema watu wanafanya nini mpaka wanapesa za kusaidia, wacha chuki binafsi najua shida zinakufanya mpaka unakuwa na roho mbaya wee ni mchawi nini, fanya kazi kwa bidii na wewe utafanikiwa
ReplyDeleteMichuzi ungejua tu??
ReplyDeletekaa
ReplyDeletehaya
ReplyDeleteZilipendwa huko mahusiano.com zinanikumbusha mbali sana. Kama ningekuwa jaji wa zilipendwa na Bongo Flava, basi zilipendwa ni bingwa kwa points nyingi sana. Kwani Bongo flava nyingi zimejaa mitusi ya nguoni tu na ni kelele tu hakuna rythm yoyote. Hebu tuwekeeni za akina Tabora jazz, Butiama jazz, Morogoro Jazz na Mzee Madevu, Ochestra Veve na nyinginezo nyingi tu
ReplyDeleteHuyo anonym hapo juu ni kati ya wale makunguru waliokimbia bongo na kuzamia ugaibuni kwa kudhani kuwa 'line za bongo ni tight', watu ambao vichwa vyao havijui nini maana ya ubunifu na kujituma, kutumia kichwa. Na kwa vijana kama Lukaza ambao wanatuonesha kuwa hata bongo mambo yanawekana, ndiyo wenye potential kubwa ya ku impact jamii kuliko wewe anonym, maana watu kama wewe huwa wana focus familia na ndugu tu wa karibu. Ukija sikia miaka 10 ijayo kijana kama huyo amekuwa waziri wako wa ujenzi, unaanza, ah! hivi hatuna watu wengine?? watoke wapi iwapo wewe umetorokea nje?
ReplyDeleteJamani huyu kaka nimemu admire, halafu ni handsome! Hivi ameoa?
ReplyDeleteKama watu wanapata mishahara the average max $1300 kwa mwezi na hizi nyumba naona rent yake ni $1200 je ina maana watu wanafanyia kazi kulipa rent tuuuu au zingine ndio zinatoka wapi? Bongo hiyo....... mradi huibi nazi kariakoo wewe sio mwizi
ReplyDeleteCograts for the efforts and success, we need people like you who are self-driven and interested in community involvement. God bless you.
ReplyDeleteHowever, why charge in US dollars? In my opinion this is promoting and up-value US dollar at the expense of our Tshs. In this case the demand for Tshs will continue to fall while US$ will continue to skyrocket and its value to rise.
Is it legal to operate business in foreign currency? Who is your target market and are you focused on long term or short term profits? I think prices are overstated. Even expatriates want to save when decide to work in developing countries.The reason they go to work in developing countries is to earn good money while saving because they believe living expenses is cheaper than where they come from.
I love the projects, specifically the Plot No. 765 Msasani Beach area. Allow me to contribute my opinion. I think for safety reasons the pool should be fenced to avoid drowning accidents especially to kids. This will protect you from being sued and also protect the lives off our little beings who should always being under adult supervision when go to swim.
Congratulations again and God bless!!!
Anon wa Thursday, January 11, 2007 10:29:24 PM. Ni kweli kabisa kaka ninakubaliana na wewe. Watu wengi bongo hawawezi kupangisha hizi nyumba wala kununua. Kwa namna moja au nyingine bongo watu wengi ni wezi, au wengi wanabiashara haramu au wala rushwa. Ndio maana tofauti ya matajiri na maskini ni kubwa sana. Hongera johnson kwa kazi yako nzuri lakini fikiria watu wa chini pia. Jenga nyumba watanzania wengi wataweza kununua au kukodisha
ReplyDeleteHuyu bwana anatumiwa na watu na serikali. Haya makampuni si yake! Wake up people!!.
ReplyDeleteKuna msemo unasema: THE END DOES NOT/SHOULD NOT JUSTIFY THE MEANS. Kwa watanzania wengi huwa hatutafakari mambo kwa mantiki ya msemo huu. Huwa tunaangalia mtu anafanya nini kwa sasa (the end) na kuanza kutoa misifa kedekede. Nadhani inabidi tujiulize kuwa haya ya sasa yamatokana na nini au ni njia gani ilitumika (the means) ili kufikia hapa ambapo mtu amefika. Mara nyingi utakuta watu wanafanza mambo mazito halafu tunawapongeza bila kujiuliza kama wamefika hapo kihalali au la! Kama njia iliyotumika ni halali basi vilevile ni halali kupongeza matendo ya sasa; Lakini kama njia iliyotumika si halali basi hata matokeo yake na kazi zitokanazo na njia hizo ni haramu na hazistahili pongezi! Tafakari... Haki Elimu!
ReplyDeleteTHE END DOES NOT JUSTIFY THE MEANS... Tafakari!
ReplyDeleteHuyu jamaa namkumbuka sana. Siku za nyuma kama miaka kumi ilyopita hivi alikuwa MUONGO na MPENDA SIFA na mtu wa MADEAL sana. Nafurahi kuona na kusikia kwamba sasa hivi ni mfanyabiashara safi (kama wanablogu walivyosema hapo juu). Ingawa ukipitia kwa makini tovuti yake, utaona kwamba kampuni yake/yao si wamiliki wa hayo majumba, bali ni waendelezaji, washauri, wapimaji na pia wakodishaji na wasimamizi ya uuzaji na ununuaji wa wa hayo majumba, kama sijakosea. Keep it Johnson.....
ReplyDeleteMimi kinachonisikitisha sana kwa nchi yetu ni jinsi wanavyoikunja thamani ya hela yetu. Yaani wako so freely kuadvertise vitu kwa dola siku hizi. Au ndio kujilamba kwa kichaka. Sijaona USA ingawaje hela yao ilishuka sana kulinganisha na pound kuubadili vitu vyao na kuviuza kwa pounds.
ReplyDeleteKwa nini hiyo rent ya nyumba usiandike tshs 1,560,000 kwa mwezi? Why is that? Is it so much to show out? Ni aibu? Yeah ni heri kuweka hivyo na kuonyesha how low is our money kuliko kujifanya hatuoni. Hela inzidi kwenda chini na chini na kila siku tunaambia TZ ndio kati ya nchi Africa uchumi wake unaongezeka kwa kasi kubwa. Je ni kweli kufuatia hali ya maisha ya watu au ni kweli in ukiangalia interms of book values. Kwasababu let us be realisty how many people [ordinary people] can afford to live in those homes. Tunawavuta watu watakao tunyonya tena. Ukoloni uliondoka lakini with this forse tutakua tena indirect slaves in our own country. We should wake up. Hawa wazee walioko huku hawajali who will suffer. Wao wan pension fund already. Na sisi generation ya kesho tutakao clean their messy.
Halafu cha kushangaza ni kuwa 75% ya viongozi wa nchi yetu ndio wana mabiashara au wanashare kwenye biashara fulani. Wakati nchi zilizoendelea kiongozi biashara yake inaweza kumcost uongozi. Watu wanachakua ordinary people, amabao wanaelewa majority of the wanachoongea.
Ni kweli annoy hapo juu. USA ukitaka kuwa kiongozi ni lazima assert zako zote uzionyeshe na uonyeshe ulizipata vipi.
ReplyDeleteTanzania mbunge anachaguliwa mwaka mmoja tu mara anajenga nyumba ya billion. Sasa sijui mishahara wa wabunge ni billion kwa mwaka au hizo zingine zinatoka wapi?
Sukari ikiisha ndani badala ya kwenda dukani kununua anakwenda kutembelea kiwanda cha sukari. Mafuta na sabuni vikiisha no problem anakwenda kutembelea wafanya biashara. Watu wanajiandaa kumpokea na kumpa zawadi pocho pocho. Wafanya biashara wanafurahi kiongozi wetu anatukumbuka kaja kututembelea kumbe kilichompeleka pale ni mafuta tu.
Kwanza huku USA kiongozi ni marufuku kupokea zawadi na pia mambo ya kutoa tenda haruhusiwi kujihusisha.
Huwezi kujua tofauti ya kitu kama hamna kitu kingine cha kulinganisha.
Uchumi wetu unongezeka kwa kasi labda kwenye vitabu vyao huko OAU lakini maisha yanaenda chini tuu. Nimetoka huko juzi kila ukikatisha kona, nyumba ya kiongozi fulani, nyumba ya kiongozi fulani. kwa vile hamna kuonyesha hela unaipataje TZ ndio maana wenye mahla pa kuzichuma wanazichuma tu
YOU CAN TAKE A PERSON FROM THE VILLAGE, BUT YOU CAN NOT TAKE THE VILLAGE OUT OF HIM/HER
ReplyDeleteHii ndio kampuni ya Johnson Lukaza:
ReplyDeletewww.prointz.com
Angalau kuna waloanza kutambua, nini chanzo cha mkusanyiko na uhalali wa vitu hivyo!!! JK anatakiwa kuwa macho, hivi ni viini macho vya wajanja na hasa wa madawa ya kulevya! haya ndio maDEAL yenyewe yalotajwa hapo juu. Hayaa weee.
ReplyDeleteGeoffrey Lukaza yupo wapi? Sijaonana naye miaka!
ReplyDeleteInaelekea kuwa kununua nyumba pale Dar kweli ni ghali sana. Nikilinganisha nyumba ya $300,000 hapa Houston na ile ya $350,000 aliyoorodheshwa na huyu mheshimiwa nakosa uwiano kabisa. Najua kuwa pato la kawaida la Houston ni juu zaidi ya lile la mtanzania wa Dar, kwa hiyo nilitegemea nyumba inayouzwa $200,000 hapa Houston iwe inauzwa kama $70,000 hapo Dar kulingana na pato la nchi lakini kumbe nimeliwa.
ReplyDeleteVile vilo nyumba nyingi za kupanga zinaanza na kodi ya $1500 kwa mwezi ambayo ni juu sana.
Najua kuna wakati nilikodi gari pale Mwanza nikawa nachajiwa $100 kwa siku ! kama mara tatu ya Avis!
annon hapo juu, tapeli unayemwongelea sio johnson ni mdogo wake mwesi mzee wa totos na majigambo, bahati mbaya yeye kaishia form wani.
ReplyDeletekweli jamaa hajatulia, ni MUONGO na MPENDA SIFA na mtu wa MADEAL sana. tena akitumiwa kutafuta wateja hatatumia profesion ataua coy kwa kujilengesha mtu wa usalama.....mjini hapo babu
ReplyDelete