mkongwe kawelee (kulia) yupo club afrique kwa jesse akiendeleza libeneke

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michuzi naomba nitafutie namba ya huyo mpiga kinanda anaitwa Abel, ni rafiki yangu wa siku nyingi sana.

    ReplyDelete
  2. michuzi get your facts right, club afrique sio ya jesse ana shares tu hapo.

    ReplyDelete
  3. anony.. wa 8.39 acha kuchemsha. Kwani kuwa na share (hisa) maana yake nini? tafsiri rahisi, kama una share = unamiliki kampuni. Nguvu yako ktk kampuni inategemea una hisa kiasi gani.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...