kocha milutin sredojevic ‘micho’ wa serbia, aliyekuwa akisubiriwa kwa hamu kubwa na wanachama na wapenzi wa klabu ya yanga, aliwasili nchini jumatatu tayari kufundisha wana-jangwani.


Micho, ambaye aliongozana na msaidizi wake, Dusan Kondic, pamoja na wakala wao, Ivica Stankovic, tayari ameshamwaga wino leo ofisini kwa mfadhili mkuu wa yanga yusuf manji, na atakuwa kocha mkuu na kuisaidiwa na mmalawi jack chamangwana. shoto ni yusuf mzimba na kulia ni prezoo wa yanga kifukwe

Hatma ya kocha wa simba mbrazil bado kujulikana hadi tunaenda mitamboni….

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hongera Kifukwe,kazi yako tumeikubali!!!!

    ReplyDelete
  2. hapa micho huku kondik hapa chamangwana..... kudadek! yanga mshindwe wenyewe

    ReplyDelete
  3. Hivi huyu mzimba anahusika vipi? au ni 'kamati ya ufundi'

    ReplyDelete
  4. Nasikia atakuwa analipwa milioni 36 za madafu!!!

    ReplyDelete
  5. Hapo hakuna kocha, Yanga wameliwa tu!!! Wa-Serb hawa hawana utaalamu wowote wa soka, bora kina chamangwana na chambua au minziro. tumezoea sana kupapatikia weupe.

    Nimewaona Les Ferdinand na John Barnes wakiwa Tanzania. wote ni wataalamu wa soka. Simba au Yanga wangeweza kuongea nao kwa ajili ya kufundisha timu zao.

    Barnes ni mchambuzi wa masuala ya soka ktk kituo cha TV cha channel Five (dada wa Skynews/sports UK) na Les yuko BBC Match of the day.

    Michuzi tafadhali kumbuka haya maoni yangu...Yanga wameliwa! (Niulize Januari ya mwaka kesho 2008)

    ReplyDelete
  6. Ni kweli hayo maoni yako huyu Barnes kafundisha timu gani ikapata mafanikio? Huyu jamaa CV yake inajiuza, waswahili tukae kimia kama hatuna cha kuongea

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...