hapa ni kwa mjumbe wa nyumba kumi wa ukerewe mtaa wa dauningi namba kumi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. Huyo Askari ni Mwanaume au Mdada??? hebu Michuzi rudi hapo Dauningi striti leo ukamshike kifuani ujue ni wa jinsi ipi??

    ReplyDelete
  2. Michuzi, wewe ni mmojawapo wa maprofesa wetu wa ubingwa wa picha.
    Mimi ni mpigapicha mwanafunzi
    ...lakini hako kapozi kako ka chiizi kanaonekana feki na unprofeshenoo!

    ReplyDelete
  3. This kind of a photo...SO WHAT?

    ReplyDelete
  4. Michuzi watu hawapendi kukukubali tuuu umependeza sana na suti yako dear na unapiga mabao watu ya kisigino sanaa kuna mtu amekaa mamtoni for more than 5yrs hajawahi kumove sehemu nyingine yoyote ama kikazi wala kutembea yeye ni kazi na kulala sehemu hiyohiyo alipofika na ndege toka bongo na mimi nikiwa mmoja wapo ila (nakukubali)maisha nyie acheni tu ni blaaaa...na pia nakupongeza sana kwa picha hii na nashukuru sana kuona sehemu ya blair i wish ungepiga view kubwa anyway inatosha nakutakia maisha mema huko na safari njema nyumbani.

    ReplyDelete
  5. Michuzi some times unajishusha heshima sasa hii inatusaidia nini unakuwa kama msenge.
    Please kua wewe vipi???????????

    ReplyDelete
  6. oh oh Michuzi shukuru kwamba bado ka-visa kako kalikuwa legal, maana mbongo hapa Ukerewe akimwona huyo jamaaa ujanja woote kwisha, hao watu wazuri kama huko kwenye status, lakini ka-status kakiporomoka basi hawa vijana wa INS/uhamiaji aka vijana wa makoti marefu huwa si rafiki tena.....hukawii kukuta leo uko kiwanja kesho yake unajikuta umeingia minazi mirefu aka temeke....

    ReplyDelete
  7. MICHUZI HUJACHACHA MSHKAJI,
    KWELI WEWE MHESHIMIWA, UMEFIKA MPAKA DOWNING STREET? NA UMERUHUSIWA KUPOZI HAPO, MAANA WATU HUWA HAWARUHUSIWI, KUSOGEA TU HAPO ULINZI MKALI.
    SASA KAMA WANAVYOLALAMIKA WADAU WENGI HAPA NAOMBA NICHANGIE, USIZIBE MAONI YA WATU WENGINE, TOA TU YOTE MHESHIMIWA LA MUHIMU YASIWE YA MATUSI. MAANA HII BLOG INAHESHIMIKA KWA KUTULETEA HABARI ZA UHAKIKA.

    ReplyDelete
  8. Jamani wewe anonymous wa saa 6:51:00PM sasa matusi ya nini,mbona wengine mnashindwa kuwa wastaarabu? Hii blogsite ni ya kubadilishana mawazo na kufurahia matukio mbalimbali yanayohusu watanzania na ukiangalia hapo juu kabisa Michuzi ameomba watu tusitumie lugha za kishenzi,lakini mbona wengine hamstaarabiki?
    Kila mtu mwenye akili timamu anayetembelea blogsite hii anafahamu kwamba ni kama kijiweni kwa maana kwamba si wakati wote utatarajia kukuta mambo serious lakini wengine bado hilo hamulielewi.
    Michuzi kutumia majina ya utani kama Ukerewe,Newala,Mjumbe wa Nyumba Kumi,n.k. ni mojawapo tu ya namna aliyochagua blogsite yake iwe.Hakuna anayelazimishwa kuitembelea,hebu tuachieni tunaofurahia "a good sense of humour" tuendelee.
    Keep it rolling Michuzi,usiwasikilize ma-conservative wasio na akili pana.

    ReplyDelete
  9. Washikaji nyie hamjui wabongo wakianda mamtoni lazima wapige picha kwenye majumba na kwenda kwenye ma-mall kununua nguo. Sasa huyo mchuzi kanunua hii suti basi anataka kupiga bao. Nakuambia mzee nenda katishe bongo sio mamtoni. Ukienda huko mzee kula lubenga lango au shati la kitenge. Acha kuuza uhuru na suti hizo bwana. Sisi tunategemea wewe uwe nyota kwa wazungu unawatembelea huko

    ReplyDelete
  10. The President of the United Republic of Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete and the Prime Minister of the United Kingdom of Great Britain and Northern Ireland, the Rt Hon Tony Blair MP, held talks in London on 16 January 2007 during President Kikwete's official visit to the UK.

    During his three day visit President Kikwete also held talks with the Chancellor of the Exchequer, the Rt Hon Gordon Brown MP; the Secretary of State for Foreign Affairs, the Rt Hon Margaret Beckett MP; the Secretary of State for International Development, the Rt Hon Hilary Benn MP, and the Minister for Africa, Lord Triesman.

    The United Kingdom and Tanzania share a common interest in working together on bilateral, multilateral and global issues. Our shared historical partnership has enabled links to flourish in many areas, from investment to education, development to peace-building.

    President Kikwete and the Tanzanian government applaud the deep and persistent commitment of the Prime Minister, Tony Blair, and the British government to African development. The Commission for Africa, the G8 Gleneagles Summit and the Africa Progress Panel all provide crucial impetus.

    Development

    Tanzania has made significant strides in recent years; economic growth has exceeded 5% since 2000 and President Kikwete is committed to sustaining his predecessor's impressive record of economic reform. Britain is one of Tanzania's largest trading partners and its largest source of foreign direct investment. UK companies have invested about £230 million in Tanzania over the last 11 years. Trade between our countries continues to grow year on year.

    Whilst Tanzania is still poor, it is making real progress - for example, increasing primary school enrolment to 96% and reducing infant mortality by a third over the last five years. Tanzania's social stability and cohesion, its track record of constitutional government, its increasingly vigorous democracy, sound macroeconomic framework, reform of the public sector, and economic potential all provide a good basis for further progress. That is why the UK is confident in its significant development partnership with Tanzania.

    In particular, the UK commends Tanzania for the strong progress it has made towards Universal Primary Education, placing it on track to meet the MDG of all children completing primary school by 2015. The Government of Tanzania welcomes UK support in highlighting the importance of achieving education for all and its commitment to help fund developing countries' long term education plans to get every child to school.

    The UK government recognises that Tanzania faces a significant challenge to scale up post-primary education and vocational training in order to cater for the greatly increased numbers of students graduating from primary school. An initiative to expand support for education has been developed by African Finance and Education Ministers, and the UK Chancellor of the Exchequer and other development partners, and was endorsed in Abuja in May 2006. In response, Tanzania, anticipating funding from the initiative, is refining its ten year plan for the sector. The British government is giving its full support to this work.

    The UK announced on 15 January 2007 that it has committed £105 million (TSh 262bn) of general budget support for the Tanzanian government in 2007/8. This is an increase of over 15% from 2006/7 and will take the UK's overall programme of support for Tanzania to around £400 million (TSh 1,000bn) for 2007-10.

    The United Kingdom and the Tanzanian government consider budget support the most effective way to support the Tanzania's National Strategy for Growth and Poverty Reduction (MKUKUTA). Budget support allows the Tanzanian government to decide for itself how best to allocate resources and how best to design, develop and deliver its own programmes in key sectors such as water and health. The Tanzanian and UK governments note the need for massive additional investment in these sectors given the lack of access to clean water and adequate health services, particularly in rural areas.

    In addition, the UK government will continue to provide targeted assistance to enhance public sector reform, public financial management, the deepening of democracy, the strengthening of civil society, the improvement of the environment for private enterprise, and access to financial services. The UK also provides support indirectly, through its contributions to the European Commission, the United Nations, The World Bank and The African Development Bank.

    This UK support will be integrated with the contributions of other development partners as part of the Joint Assistance Strategy for Tanzania (JAST). This strategy, signed with the Tanzanian government last month, will increase the effectiveness of aid in line with the international Paris Declaration of 2005.

    The Tanzanian government is committed to sustain and enhance the reforms required to accelerate and maximise progress.

    Peace and Security

    The UK and Tanzanian governments will continue to work closely together on international peace and security - as they did in the United Nations Security Council in 2005 and 2006.

    The UK welcomes President Kikwete's leadership in Tanzania's facilitation of the peace process in Burundi. He also played a key role in the process which saw the adoption of the Security Pact by the International Conference on the Great Lakes Region in December 2006. Tanzania and the UK are working closely together in the Somalia International Contact Group to build a lasting peace there. President Kikwete's offer of assistance to international peacekeeping in Lebanon and Darfur underscores Tanzania's commitment to working with the UK, the African Union and the wider international community, to support global peace-building. The United Kingdom is ready to provide training, where appropriate, to assist such deployments.

    Both the UK and Tanzania have suffered the appalling effects of international terrorism on their own territory, and we both have important roles to play in international efforts to counter terrorism and violent extremism. Tanzania's record of inter-communal harmony is an important example for others. The UK welcomes the Tanzanian government's plan to establish a Counter-Terrorism Centre, and stands ready to provide advice from its own experience. The UK is also providing forensic intelligence training to the Tanzanian police.

    The wide scope of Tanzania - UK relations reflects our strong strategic partnership and our shared vision to develop our countries and help create a safer, more prosperous and well governed world.

    ReplyDelete
  11. Hey jamani mbona mmefanya hii blog yenu???? Michuzi anaright ya kuweka picha anayoitaka yeye. Kwa hiyo hutaki kuangalia just shut your mouth up. Ndio maana hata commet anaweka anazopenda yeye mwenyewe...remember....Kama alivyosema huyo hapo juu wengine mnaishi UK lakini hamjui popote zaidi ya hapo mnapoishi na kazini kwako. Semeni asante michuzi kwa kuwaonyesha sehemu hizi...

    ReplyDelete
  12. michuzi ana GREEN card jamani achaneni naye.Vipi yule ponjoro aliyeiba pesa za mradi wa RADA,NAOMBA MAELELEZO KIDOGO NI $12MILLION

    ReplyDelete
  13. Hawa waingereza pesa walizotuibia na wanazojaribu kuturuidishia ni kama sifuri tu. Na hasa huu mchezo wa kutoa pesa na halafu kukimbilia kubadilisha kwenye madafu, ndio unatuganganya kweli. Msaada Pound Mill. 230 au kweli madafu Tsh............. Uwongo mtupu, sijui lini tutakuwa. Na huyo msanii baada ya kusikiliza na kufuatilia mambo ya maana, anakimbilia kuangalia mechi ya Arsenal! Afadhali achague moja, Urais au mengineyo ya mitaani.

    ReplyDelete
  14. Michuzi,
    Newala na Ukerewe wapi zaidi?

    ReplyDelete
  15. KWANZA NATAKA NIANZE NA ANONY ALIYEMTUKANA MICHUZI ATI (MSENGE) MATUSI YANINI? MIMI NAONA WEWE NDIO MSENGE, JITAMBULISHE JINA LAKO KAMILI BASI,
    KAMA NDIO NYIE MNAOMPIGA VITA MICHUZI BASI HAMTAFIKA POPOTE, NDIO NYIE NYIE WENYE WIVU.
    JAMANI MBONA WATANZANIA WENGINE HAMUENDELEI? HUU SIO UUNGWANA. INGIA HAPA UTOE POINT, NA ZA HABARI ZA UKWELI, SIO ZUGA NA MATUSI, MKOME.

    ReplyDelete
  16. Michuzi umependeza kwakweli....wenye wivu wajinyonge. Lakini nasikitishwa sana na tabia yako mbaya ya kuchagua maoni ya kuweka sio vizuri hata kidogo,inavyooelekea kuna watu wanakulipa usitoe maoni yao na kama hivyo ndivyo basi hata picha zao usiweke basi. Unatuwekea za nini halafu tukiweka comment hutoi?????kinachonikera mimi tunatoa comment ambazo si za matusi lakini kwa vile ina muhusu mtu fulani basi hutoi. Tabia mbaya hiyo na uiache.
    Mimi niliwahi kucomment kistaarabu kuhusu jamaa mmoja kuhusiana na tabia yake mbaya,hukuitoa. Lakini nilipomsifia kuwa ni mzuri na mambo mengine ya kumsifia uliitoa hiyo comment...Je nikueleweje???!!!.
    Tafadhali sana naomba uitoee hii comment yangu na ningependa sana unijibu,tafadhali.

    ReplyDelete
  17. he kumbe michuzi huwa unaoga na kubadilisha ukienda namba ten tu?Maana picha zako zote umepiga na kasuti kako ka kwenye blog ila kwa blair umetinga suti au ndio tuseme ulikwapua ya suit case ya mzee prezidenti nini maana nasikia wewe ndio unabeba begi lake la nguo.

    ReplyDelete
  18. KWANI UKEREWE NAO HUW WANA GREEN CARD? AU WAO WANAITA JINA LINGINE?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...