beki steji wakati wa shoo ya mustafa hassanali jana royal palm hotel

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. huyu Mustafa anajua kudesign nimependa hizi nguo za Hawa wadada especially mwenye shati jeupe na belt ya draft. Kina Hadija Mwanamboka mnaona design hizo? Sasa huyu ana kipaji sio wewe unajilazimisha hujawahi hata siku moja kudesign nguo nikaipenda.Sikuchukii Khadija Mwa. nasema tu ukweli.

    ReplyDelete
  2. Usimafananishe Khadija Mwanamboka na Hassanali hawalingani. Hassanali ni Designer, mwanamboka ni mtu tu anayetafuta kujulikana wala hajawahi kudesign chochote nguo zake zote anachukua kanga na kuzishona mishono ya watu mitaani. She never design anything on her own. Shoo zake mi' nshaenda nguo zote za kawaida ambazo tunaziona kila siku mitaani sio za kusema zimebuniwa mitindo mipya.

    ReplyDelete
  3. we misoup huku baki steji kwa akina dada ulikuwa unatafuta nini kama si utovu wa nidhamu kwa dada zako. unawachungulia wakati wanavaa

    shauri zako, siku nyingine watakupa ina na poda!!!!....

    ReplyDelete
  4. michuzi, hivi hiyo hotel siku hizi tena imebadili jina? nilisikia inaitwa moven pick, na sasa unaiita royal palm!!! sheraton--royal palm--moven pick--royal palm-- next time michuzi hotel!

    ReplyDelete
  5. MH! MBONA TAKE LIKO NJE JAMANI? ACHENI MAMBO YA KUIGA.

    ReplyDelete
  6. hebu konfemu jina la hii hotel, azawaiz unatuchanganya mzee michuzi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...