h
bei ya fweza dhidi ya madafu leo. angalia dola inavyozidi kupanda kila siku...wataalamu wanasema hii ni kawaida ifikapo mwezi januari. wadau wataalamu tuelezeni kama ni kweli na kwa nini. ama kulikoni kwa ujumla. najua kaka amlima hapo bot hutoniangusha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. pesa za kigeni ambayo nchi inapata kutoka kwa watali au export ni kidogo ikilinganishwa na matumizi kwa maana ya import of goods and servises,ndio maana kila kukicha bei ya dollar inakwenda juu.biashara nyingi za watanzania ni cash transaction hivyo sio rahisi kwa bot kujua zinaingia ngapi au zinatoka ngapi.michuzi umesafiri na wafanyabiashara wengi utakubaliana nami wengiwao wanatumia zaidi cash kuliko travellars cheque.jiulize kulikoni

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...