mwana fa akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo kuhusu filam yao ya sauti ya manka iliyoandaliwa na kundi la east coast. waliokaa toka shoto ni masteringi wa filamu hiyo inayohusu watoto yatima ni rehema abdalla (manka), emmanuel salewa (dogo janja) prodyuza king crazy gk na msanii ay

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 25 mpaka sasa

  1. AISEE... MICHUZI DUUUH!
    Mie nilikuwa nafikiri huyu mwana FA atakuwa labda ni mtu flani.Kumbe ni kitu cha ajabu ajabu namna hii.
    Kwaheri wahaza salaam.

    ReplyDelete
  2. Kweli Bongo Noma ! Michuzi To be honesty hao ndio ma supa staa wa bongo na ndio wamechoka hivyo je mtu wa kawaida?
    Ila nawapongeza kwa ubunifu wao hio ndio inatakiwa.
    Alafu tokea lini GK kawa producer kasomea au Kamua kuwa producer maana hivi vitu viwili tofauti.
    I can Imanging they type of the film. Bongo tuna vipaji ila watu hawako serious wanafanya shoti kati tuu!

    ReplyDelete
  3. hao mastaa wamekaa kama machokoraa! mastaa gani hao halafu washambawashamba wote si prodyuza si maektaz. Hawajui hata kupozi kwenye picha ndio wanajua kuigiza hao? Movies zenu tazameni wenyewe. Walitakiwa wavae wapendeze kisha wapige picha wakiwa na pozi la nguvu ili watu kama sisi tukiona tujisemee wenyewe lazima niione hii movie. Lakini watu wenyewe kama ndio mko hivi movie yenu mtatazama wenyewe. Ndio maana hamtengenezi hela sababu mmezidi ushamba. Wenzenu nchi zilizoendelea kama Marekani michezo tu hii ya soap opera wanaangalia kama you have the look. Kama umenyata haukubaliwi kuigiza. Wanaamini kama waigizaji ni good looking na wanavaa wanapendeza inawatia watu hamu ya kuangalia. Lakini kama mijitu yenyewe mishamba mibayamibaya nani akae chini kuwaangalieni? Nyinyi hamjiulizi michezo kama Days of our lives, Passion au the young and the restless watu wote wanavutia na wanavalishwa vizuri hata kama sio nguo zao lakini kwenye mchezo wamependeza sababu wanaelewa.Msifikiri kuwa huku marekani hakuna wabaya yapo mabaya kibao tena manene kama mlima kilimanjaro lakini huyaoni kwenye michezo yao kulaleki.
    Ukiwa Staa jaribu at least kuwa unavaa unapendeza hata kama ustaa wenyewe ni bongo. Hata kupozi kwenye picha hamjui kweli, kwani kupozi pia si ni sawa na kuigiza. Sasa mkiigiza mnapiga picha hivyo ndio mnavyopozi? Huyo producer kakaa kama mbuzi anataka kuchinjwa kwa ajili ya unyago sekese!

    ReplyDelete
  4. Watu wengine bwana. Sometimes nasoma hizi comments najaribu kumfikiria mtu aliyeandika alikua na maana gani au anamaisha gani.

    Acheni wivu... Acheni kukatishana tamaa. Kwani kuwa producer lazima usomee. Wewe unafahamu first maana ya neno produce? Mkishakaa nje basi kila kitu ni kitabu...you can't walk a mile without reading a book for the direction.....brain wash....Use your own brain to go an extra mile without reading a book.

    Why don't we have an intelligent discussion here rather than bring people down. You haven't even see a movie yet....you start to talk....keepopen your big mouth while other people still walking. Nani anajali star wa film anatakiwa kuwa vipi...??? It it a first movie. Have you ever seen these movie stars before they hit big? Acheni ujinga bwana
    Michuzi. Mmeshakua na macho ya uizi tu vya kwenu hamvithamini mpaka viundwe na wengine.....

    Michuzi I will appreciate so much ukitafuta jinsi ya sisi huku kununua hiyo album pia tumsupport mwenzetu.

    Mngejua jinsi wazawa wanavyo support their local people na nyie kila siku kukatishana tamaa tu.....

    ReplyDelete
  5. kuchoka kwa mtu ni nini?? mavazi au? labda anony hapo juu atufafanulie..au ni kasumba tu ya utumwa wa kiakili tuliyonayo wengi,,kila kitu chetu kibaya kibayaa,,hivii unafikiri hao "wasichoka" walikurupuka tu toka nowhere hadi hapo?? tuache hizo....

    na kuwa serious ni nini?? kuact holywood au kuwa kama james cameroon au steve spielberg??pffffff tuache hizo pliiiiz,,, tunafanya mambo kutokana na uwezo wetu,,,,

    ReplyDelete
  6. hao masupa staa mtume!!!

    ReplyDelete
  7. Appearance yao inaonekana KAMA(zingatia kama) wezi tu, Bongo pipo need 2b serious,unaenda kutangaza filamu kwa media vaa vizuri basi atleast watu wakuchukulie serious. Yes people judge you from your appearance, UTAKE USITAKE.

    ReplyDelete
  8. movie production ni taaluma na inahitaji shule sio maamuzi! kweli jamaa wachafu wamechoka tuwe wakweli tuseme ile wabadilike hii ni aibu kwa nchi yetu msiteteee ujinga!
    angalia Movie za wanaigeria ambazo zimekamata soko Tanzania wapo serious na kazi zao wahakurupuki

    ReplyDelete
  9. we anon hapo juu acha kasumba hizo,vijana wako fresh wametulia,wakivaa kama hao wamarekani mtasema wanaiga,huo ndio uwezo waliokuwa nao,umesema wabaya,wabaya,shame4 ur self,na hao hao wamerekani wanakwambia be comfortable with ur ugly cause u can't b no body else,fool.

    ReplyDelete
  10. If it walks like a rat, talks like a rat, smells like a rat....it obvious a rat.

    Watu wote wanaowasema hawa vijana uliza wao wako wapi. Hiyo elimu unayoipata wewe unaifanyia nini....kila siku mkikutwa mitaani mimi nasoma...shuke haziishi...miaka mingapi mnasoma? Kila siku freshman...never sophomore malizeni basi hizo shule mje mtengeneze filamu...wamewasubiri wamechoka

    Anayesema kuwa lazima uende shule kusomea mwongo. Tatizo ni vifaa vya production ndio hatuna lakini ujuzi tunao....

    How many self taught maproducer, self taught maactor wako holiwoody.

    Bwana wabongo tumeshajizoesha majungu ndio maana inapunguza self confidence za watu wengine...lakini wenye thick skinny hao wanakupita tu na majungu yako....Wao wanaendesha landcruizer wewe unakaa na domo lako tu.

    Kama mna vyenu vya kujivunia kwanini mnatumia annonymous??? weka jina lako tukuone wewe mkosoa watu una nini...pumbafu mkubwa...vijana wa watu atleast wamejaribu na wametoa kitu kikaonekana...mwanzo mgumu.

    Tuwasupport watu wetu mtaishia filamu za kinaigeria tuu kumbe hata sisi tunauwezo wakutoa kitu kizuri...

    Kama unataka star wako avae vizuri nunua filamu yake apate hela...





    Kama kila filKama wewe unaabudu mastar wako lazima wawe sijui vipi pole sana.

    ReplyDelete
  11. Kama huna cha kuchangia unaweza kutazama na kuendelea na shughuli zako siyo lazima utuonyeshe jinsi ulivyo firisika kifikra.Ukitazama kwa makini na utagunduwa picha hii imepigwa wakati watu hawa wako kwenye mjadala wa jambo fulani na mkao wao hauonyeshi kwamba ni picha ya kutangazia biashara zaidi ya hapo hawa jamaa si kwamba hawako serious kama mnavyo dai kwani miongoni mwao wamekuwa wakitoka vizuri sana kwenye mabango ya biashara mfano AY kwenye tangazo la konyagi.kwa hiyo mimi sidhani kama hii picha ilikuwa kwa minajili ya kuuzia sura.Tukija kwa wale wachache mlio ughaibuni mnaosema tuwe wakweli hawajama ni washamba sijui nini?Lakini mkumbuke ni ukweli huu juzi ulileta mzozo kwenye ile makala ambayo Michuzi alimpiga picha mmoja wenu akiwa ameshika bango njiani Ukerewe mkidai sio vyema lakini ndio ukweli huo.Tuwe watu wa kueshimu na kuthamini vipaji vya wengine tusiwe wepesi wa kutupa lawama kwa kuwa wahusika tunawajua backgroung zao.

    ReplyDelete
  12. vipi jamaani mbona mnawasakama kwa kuwambia wamechoka, hamuoni kwamba nyie mlio jaliwa kuwa na hali hizo za uhakika muwasaidie hao wenzetu badala ya kuwasanifu, nawapa hongera vijana msikatishwe tamaa na maneno, kila kitu mwanzo wake ni mgumu, fanye kazi kwa bidii,najua shida ni uwezo. Nawatakia heri na mafanikio na mungu awasaidie

    ReplyDelete
  13. Tatizo letu Watanzania hatupigani tafu. Badala yake mtu akijaribu kujikwamua kimaisha, tutamchambua, kumkashifu na kumkatisha tamaa. Kwanini tusiwe kama watani wetu wa jadi, hapo Kenya. Hawa watu ni wazalendo, wananunua vitu vinavyotengenezwa na viwanda vyao, wanahudhuria konseti za wanamuziki wao na badala ya kukashifiana, wanapeana mawazo ya kujiendeleza. Wengi wao kinywaji chao ni Tusker, ukienda baa ni mara chache kusikia mtu akiagiza sijui Stella Artois ama Heineken ama nini, wao ni Tusker tu. Na huku kwetu utakuta Watanzania wanaangiza sijui Redds, ama yae mabia ya Afrika Kusini. Tutafika kweli?

    ReplyDelete
  14. acheni wivu jamani, hawa jamaa wamejitahidi sana labda mgewashauri waende shule ili kazi yao iwe nzuri zaidi.Kama huyu anayejiita shushushu, huyu kwanza sio Mtanzania anaonekana ni mtu wa gormahia sijui kwenye blog za kibongo anataka nini?

    ReplyDelete
  15. Jamani kusema kweli wanatia aibu. Wangeazima hata vivazi kwa ajili tu ya siku hiyo waliyoenda kutangaza movie yao kwenye vyombo vya habari. ni vizuri walivyokandiwa labda siku nyingine watavutia kidogo. Wanaonekana kama wezi bwana hapa nipo na rafiki yangu mjapan ananiuliza hao kina nani nimemwambia ni familia nyumba yao imeungua moto wanaomba msaada naona aibu kusema ni ektaz wa movie. Whatever mtakavyosema aibu bwana loh!

    ReplyDelete
  16. we ku** inaelekea huyo mjapani anakuna***** ndio unapata kujikimu kimaisha ni bora hawa vijana wanjifanyia shughuli zao ndio wanapata mshipo ,,kwa taarifa yako hapo hawakuwa tayari kupiga picha ,,just mmbea kawapitia tu,,,,big up vijana

    ReplyDelete
  17. jamani msema kweli mpenzi wa mungu,wako kama wezi kizimbani mahakama ya kisutu,kwa nini mnataka kufuga ujinga?Grow up wavae vizuri bwana,watanzania tunajipenda.period.

    ReplyDelete
  18. Hata kama mlivyopigwa picha mlikuwa hamjaenda kutangaza movie yenu, supa staa anatakiwa awe msafi saa zote sababu saa yoyote anaweza kupigwa picha na ikawekwa kwenye vyombo vya habari, ndio kama hivi aibu kila mtu anawaangalieni ndani na nje ya nchi mnaonekana kama vinyago!

    ReplyDelete
  19. kweli huyo mtoto wa kiume mkateni nywele inaelekea ana chawa wanamnyonya damu ndio maana kakauka!

    ReplyDelete
  20. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  21. Vipi mnasema hamkuwa mnatangaza movie yenu kwenye media wakati hapo inaonekana kabisa huyo mgonjwa aliyesimama na nguo nyeupe ya hospitali anaonekana ndio anaelezea???

    ReplyDelete
  22. Hawa watu wachafu tu bwana, mbona akina Cheni, Bishanga,Sandra, Waridi, Aisha na wengineo wengi tu wanaoekti michezo ni wasafi siku zote ukikutana nao mitaa tena wanajipenda sana tu maana wanajijua kuwa wao ni popular. Hawa sauti ya Manka ni wachafu tu bwana halafu hawajali!

    ReplyDelete
  23. hata mchonge vipi kuhusu hawa vijana bado watu tunapenda tu na kuwasuport na ipo siku watafika level mtayotaka halafu mnaokashifu leo hii ndio mtakuwa wa kwanza kujigonga kwao na kuomba picha nao ya pamoja kuku nyie!

    ReplyDelete
  24. Bwana eeh waswahili lini tutaacha uzushi. Jamaa at least they are making it out of bongo. I know for sure for AY to be billed in a concert lazima uweke millioni moja cash ndio anapanda, now WTF nyie mlioko huko ughaibuni mnachofanya? and yes na milupo kibao anapata, as the matter of fact hata dada zenu msikute kashawaharibia.

    Its not my intention to use disrespect anybody but it bothers me a lot kwa watu kujifanya wanajua saaaana kuhusu bongo wakati they have never been there for a long time, kama sio uzushi huo nini.

    Michuzi, I apologize kaka kwa maneno makali, ila watu acheni mambo ya kihanithi.

    Rudini bongo basi wazee mbona mwapigia kelele huko uzunguni tu.

    I should end this with KUMANNNA ZENU, but noma watoto wanasoma humu.

    ReplyDelete
  25. maoni yote kwakweli ni mazuri mno tu. Mimi niko Bongo, hawa vijana nawafahamu, ila kuna kitu kimoja, vijana wengi wa Bongo Flavour wanajisahau kuwa kuna wakati wao ni celebreties wetu, so wanatakiwa waangalie nini wanavaa. Mbona akina Snoop Dog, Tupac, P Didy, na wengine wakiwa kwenye wakati wa uzinduzi na utangazaji wa sinema zao, huwa atleast wanaonekana na Suits? au Atleast wamevaa kiheshima? Sasa Iweje wadogo zangu hawa wavae makofia yaliyokunjwa kwenye Press Conference? kama ni kuiga kwa nini hawaigi vitu vingine?

    Pia kuhusu production ya sinema, kwakweli na nyie mlioko huko ughaibuni, kama mnazo hizo skills kwanini msirudi mkatusaidia badala ya kumsakama Gwamaka na production yake ya kibongo bongo?

    Nasikitika sikuweza kuhudhuria ufunguzi wa hiyo sinema.

    Ushauri kwa East Coast. Siku nyingine ya kuitangaza sinema yenu, nadhani msifanyie pale Maelezo, kwani napajua pale, pamekaa ki-CCM mno, na hapana chachu ya kisanii, so panaonekana kama choo cha shimo tu. Ombeni kumbi mojawapo za hotel nzuri, nendeni muweke banner lenu zuri at the background, na muwaite waandishi wa habari, na mnajua tena kibongo bongo, mkiwanunulia some drinks, na wengine kama kaka Michuzi ukimuita bure tu anakuja na atatoa habari.

    Sioni sababu ya woote kutukanana humu ndani, woote mnaongea ukweli, ila vijana wanajitahidi, na sisi woote tuendeleee kuchangia mchango wao. kama ni kashfa ziwe za kuchangia na si za kubomoa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...