Home
Unlabelled
malinzi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hivi jamani watu wazima kama hawa nao UK hapa wanafanya nini ni hizi box au?mi niko hapa na naona tu vijana tunavyostruggle je hawa watu wazima hivi?
ReplyDeleteWe anonymous hao ni wafanyabiashara maarufu huku bongo (Wacheki katika www.cargostars.com)Mmoja wao ni mfadhili mkubwa wa mchezo wa golf(si unajua mchezo wa matajiri).UPO HAPO?
ReplyDeleteHao ni wafanyabiashara maarufu sana Dar, pia ni wafadhili wa michezo. watakuwa wamekuja na raisi hapo. Si unajua Visa za urahisi ni kuwa katika msafara.
ReplyDeleteAnon 1:31:36am Hao akina Malinzi (Dioniz na Jamal) sio wabeba mabox wenzio. Ni wafanya biashara wenye mafanikio yao makubwa tu hapa Bongo. Huku huwa wanakuja kusanifu tu na kutumia hela yao!
ReplyDeleteWe anony hapo hauwafahamu,huyo Dionis ana mkwanja wa kuotea mbali,yeye ndiye mmiliki wa kampuni kubwa hapa bongo inaitwa CARGO STARS,sio dizaini za mabox kama wengine walioko huko,atakuwa kaenda kibiashara au matembezi.
ReplyDeletewewe hapo juu shika adabu..wakina malinzi ni wafanyabiashara wakubwa sana bongo..hapo wamesindikizana na rais sio kama wewe mchovu...do ur research kabla ujafungua mdomo wako..
ReplyDeleteAcheni kubabaika nyinyi. Malinzi anaweza kufanya biashara gani huku? Hata Mohamed Enterprises au Reginald Mengi hawana uwezo wa kushindana na big Corporations za Western World.
ReplyDeleteJamani hivi mtanzania ambaye ana ufahamu wa mambo ya kijamii ya tanzania anaweza kuwa hajawahi kumsikia Jamal Malinzi,potelea mbali naweza kukubaliana naye kwamba hamjui Dioniz Malinzi kwasababu siyo mtu wa makelele lakini ni mmoja kati ya Local Investors ambao wako juu! Kikwete anawabeba hao watu watafute watu wa kuingia nao ubia (joint venture) ili kuja kuwekeza tanzania! mabox mabox unabeba peke yako mabox usitafute support!
ReplyDeletedioniz ni nyamiela .naona kachana sana siku hizi
ReplyDeletehiyo mzee ni DJB LIMITED usiuwe ovyo sababu uko ukerewe wanaweza kukununua hao
ReplyDeleteDionisi ni nyamiela kweli,kwani hata Saida Kaloli alimfagilia kweny wimbo wake mmoja unaokwenda kwa jina la "Ndombolo ya solo"
ReplyDeleteok nyie wote nyamazeni maana vyote mlivyosema kunavyaukweli na uongo ndyo usiseme. those three men u all see hapo ni makaka wapili,watatu na nawa nne. dioniz ni kaka yao,then james alafu jamal. na wan kampuni yao ya kifamilia ambayo ipo dar,tanzania itwayo DJB ikitambulisha majina yao na cargostar limited ya ki office zaidi. dioniz na jamal wanishi dar,tanzania na james uingereza toka mdaa. na kama kuwa na kampuni nje wanayo kwani DJB ni multinational company. sasa kama mtaka mnabishana kwavitu ambavyo hamjui ni bora mjanyamaze jaswa nyie msiojua kuhusu kazi yao na makazi yao....
ReplyDelete