mdau emmanuel toka australia akiwa kazini na canon 5d yake kwenye shoo ya mustafa hassanali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Kwani wewe Michuzi Canon yako ni model gani? Inaelekea jamaa kakufunga magoli hapo.

    ReplyDelete
  2. HIYO NI CAMERA YA DOLA 2000+ HILO NI GOLI LA KISIGINO..

    ReplyDelete
  3. men you are not geeks, michuzi counts canon eos-1D mark II N as one of his machines,it costs over 4000 usd brand new.

    forget about hiyo canon 5d, hapo ni kama michuzi anamkebehi jamaa, pia kumbuka lens inagharimu pesa mingi zaidi ya camera body.vitu vina wenyewe hivi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...