mwenyekiti wa ccm wilaya ya ilala mikidadi mahmoud, mmoja wa watangazaji na waandishi kibao waliojikita kwenye siasa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. mtangazaji mzuri wa mpira mzee fanya mazoezi sasa, oho !

    ReplyDelete
  2. mtangazaji mzuri wa mpira mzee fanya mazoezi sasa, oho !

    ReplyDelete
  3. bado wewe mipesa,lini na wapi utagombea uenyeketi wa ccm?

    ReplyDelete
  4. Im sure he can afford a gym membership for at least a month, what the hell is he waiting for, atakufa mapema kaka Miki, bado twamuhitaji.

    ReplyDelete
  5. hujui bongo moja ya ethics za uongozi ni pamoja nakua na afya mbovu bila kiambi utagombea uongozi weee hupati! na ole wako upate bila kitambi baada ya muda utaskia kala hela yetu mpka kajitambi kameanza kumtoka!!! jamii hii bado sana tunahitaji kuelimika kikwelikweli!

    ReplyDelete
  6. Unajua tena mambo ya bongo mtu akinenepa na kitambi anaonekana mambo yake yamemnyookea ile mbaya!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...