
nimepokea ujumbe huu toka newala sasa hivi. wenye kujua kimombo watanisaidia....
Internationally acclaimed urban singer, Tembelea WWW.MAHUSIANO.COM KWA MUZIKI WA BONGO
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi mbona unatuwekea MKENYA humu ndani. huyu demu hana lolote, anatafuta publicity tu kwa wabongo, inabidi tutafute details zake tumchambue!
ReplyDeleteni mbongo ila aliwahi kaa sana kenya...alikuwa demu wa mike tyson not sure labda it was just a one night stand
ReplyDeleteHivi wewe anon hapo juu mbona mshamba sana? basi mwenyewe ulivyoweka hiyo comment yako ulijiona ni mjanja saana!!, kuna maana gani kusema hivyo kwani hata kama ni mkenya hawezi kuwekwa kwenye blog ya michuzi?, ni ubaya gani kama atapatiwa poblicity? basi ukiuliza utaambiwa eti na wewe uko ughaibuni kwa nini mnakuwa washamba mkishakua huko badara ya kuelimika? eti hana lolote anatafuta publicity wewe mwenyewe hapo ulipo una nini? acheni chuki binafsi ndiyo maana hatuendelei, mnatumia asilimia 98 za akili zenu kufikiria vitu visivyo na msingi na kusema watu eti hizo asilimia mbili zilizobaki ndiyo unataka zikuendeleze hazitoshi akili pia kama hauzitumii vizuri huwa zinachoka wewe kama hautachange ujue hautoendelea kwa chochote jiulize mwenyewe unamda gani huko ughaibuni na amefanya nini nadhani hata kama una diploma sijui!! na kama huna basi tumia akili yako vizuri kila kitu kitaenda vizuri, kama hujui watu wanalipa pesa nyingi sana kwa publicity sasa huyo dada yetu kama ataipata ya bure basi yeye ndiye mjanja kama hujui wewe ni mjinga nenda shule ukasome. kwa taalifa yako hata hii blog pia ni publicity ya michuzi wewe usingelimjua kama siyo hii blog na sasa michuzi anajulikana na wabongo wengi duniani.
ReplyDelete”Wema unawaponza wenzako”
ReplyDeleteWakati ile dhana ya kusema urembo ni uhuni inaanza kuwaondoka wazazi na jamii kwa ujumla kwa mafanikio na faida zake kwa jamii kuonekana sasa Wema anaanza kuharibu
Tangia mrembo huyo anayeshikilia taji la Tanzania avikwe taji kukubalikwa kwake kwa jamii na jinsi anavyoitumia imezidiwa na yale mabaya yake yanayosikika
mwaka jana mrembo huyo alitangazwa kapotea,lakini baadae akaja sema alikuwa kwa shangazi kitu ambacho jamii haikukubaliana nacho
Kabla hilo halijasahaulika kuna gazeti limetoa picha akiwa na msanii wa muziki wa kizazi kipya TID zikiwa zinaonyesha kuwa ni wapenzi, pamoja na kuimbwa na msanii mwengine Mr Blue kuwa yeye na wema tu...ikimaanisha wanamahusiano.
Hivyo basi kwa matukio hayo tayari imeshakuwa gumzo mtaani wakidai hilo taji alilonalo ndo linamjanjarusha na kumhamasisha kupotoka.
....Huyu Wema atawaponza wenzake ,wazazi watakuwa wanawakatalia kushiriki wakijua wakishapata taji watawehuka...ilisema sehemu ya barua pepe iliyotumwa na kreketwa wa urembo.
Haya dada Wema rekebisha hiyo ili umpata mrithi mkali.
Jamani hujapata hela za kufungua hata website. Kujiadvertise kwenye myspace it is so low.. Nyumbani kwangu myspace imekua blocked kwa sifa mbaya iliyonazo. Sasa kama unategemea wateja wako wakuchukulie serious tafuta legitimate website ambayo watu watairespect and put your things there and maybe from there we will listen or even buy if we like it. That is my opinion
ReplyDeleteWewe Mutombo umeishiwa nini? we are talkin about dis Kenyan chic tryin' to sell herself kwa wabongo but aint workin at all. Na wewe unakuja na story yako from nowhere, get ur act right dude.
ReplyDeleteSasa na wewe michuzi, hii mahusiano.com mbona imechoka namna hii. Hebu waambie washkaji watengeneze tena kwa sababu hamna kitu. Video na nyimbo tuu haipendezi, hebu get this site out of the internet and build it again. Tunahitaji habari ziwekwe vile vile ziendane na hizo video na audio!
ReplyDeletewewe from texas, wewe unapigwa nini?. Sasa huo ujanja ni utoe wapi. Nini sababu ya kuwa na comment section, KUTOA MAONI sio. Basi mimi nimetoa ya kwangu na ni kweli demu anataka kujipendelea tu, yuko US anabeba mabox halafu anajifanya BIG TIME. Bitch got nothin', inabidi apige tour bongo kwanza, sio kumpelekea Michuzi emails. I didn't come here to brag about myself, i got all the qualifications, workin and living a normal life. Na kwa taarifa yako Michuzi namjua tokea bongo na sio kwenye site yake. Girl better get her act right, not bringing her little shit in here
ReplyDelete...duh naona mama kujilemba unaweza ingawaje in real life ni mzuri vilevile...anyway Mike tyson mliachana au ilikuwa just one night stand
ReplyDeleteJaan huyu ndiye yule demu wa Mike Tyson wa zamani ambaye ni half Mbongo half Mkenya wa DC? lakini Baddy ni bomb zaidi huyu sijui kazeeka
ReplyDelete