mtangazaji juma mkamia akisalimiana na mh. suleiman kumchaya huko masasi juzi. mkamia, ambaye alinguruma bbc, sasa yuko bongo akisherehesha fani na redio ya taifa. mh. kumchaya, ambaye sasa ni mbunge, aliwahi kuwa mtangazaji na kisha mshauiri wa siasa wa rais mkapa kabla ya kuukwaa uheshimiwa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Huyo ndiye Juma Selemani Nkamia.Jamaa alikuja juu kuwania ubunge katika jimbo la Kondoa kusini lakini mara zote amekuwa akiishia patupu chini ya mbabe wake Paschal Degera.Bado ni kijana na nafasi anayo.Nasikia Michu nawe una huo mpango na huenda mkakutana bungeni miaka michache ijayo.Kalaghabao!!!

    ReplyDelete
  2. michuzi, huyo ni Nkamia na siyo Mkamia. Be accurate with people's name.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...