rais amani abeid karume wa znz akiongea na balozi wa zimbabwe nchini aliyemaliza muda wake chippo zindoga aliekwenda zenj kuaga leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Nci yao hao maji mara moja hao halafu ngoma nje nje ! tuliopo juu tuangalie jamani !

    ReplyDelete
  2. Kwa hakika ni huzuni kubwa kuondoka kwa mama huyo, namkumbuka sana, tumefanya nae kazi sana,hapo nyumbani, ni miongoni mwa akina mama wajasiri sana, wenye uwezo wa kujieleza bila kujali wewe ni nani, una umri gani, una cheo gani au rangi gani,nafikiri kaka utakubaliana na mimi kwa hilo, unakumbuka siku ile usiku Royal Palm baada ya baadhi ya watu kumsema vibaya Komred jinsi huyo mama alivyolipuka? Ni wachache sana wenye uwezo ule, namtakia maisha mema

    ReplyDelete
  3. Kujieleza sidhani ,maana huwa ana kwama kwama utadhani English ni kajifunza ukubwani ana mbinu nyingi sana za kukwepa maswali, ni ukali nakukunja uso , hana chochocte ni mmoja wa wale wale tuu!

    ReplyDelete
  4. Arudi kwao Zimbabwe, ziki zimekithiri hadi masikioni, ukitaka kununua mkate hadi ubebe toroli la pesa, petroli ni kama almasi, ikipatikana mara moja kwa wiki. Mugabe ameiua kabisa hii nchi. Nasikia amejichimia handaki la chini kwa chini kutoka Ikulu hadi uwanja wa ndege, mambo yakichacha anapita chini kwa chini na kuishia zake na ndege ya Air Zimbawe.

    ReplyDelete
  5. HAKUNA WATU MATAPELI KAMA WAZIMBABWE SIKU HIZI, KUZIDI HATA WANAIJERIA NA WAGHANA. SIO SIRI.

    ReplyDelete
  6. well... huyu mama kama kikisto (English) kiliwakuwa hakipandi tunaweza kumlinganisha na Morgan Tsvangirai ambaye alikuwa mbangaizaje fulani pale Harare, halafu kwa nguvu za washikaji akaibuka kuwa mpizani!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...