Home
Unlabelled
modo dume
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sio mbaya ila inabidi afanye mazoezi ya tumbo (ABS). Hana tumbo la kuvutia kuwa model, hafai kuachia vifungo wazi, siku nyingine brother funga vifungo au la sivyo fanya mazoezi, sit ups, push ups au crunches zinasaidia kuleta sexy abs.
ReplyDeletehuyu kaka sio mwimbaji wa Twangapepeta kweli, ana sauti nzurii anaitwa Ige Muyaba kama sikosei n'nemuona kwenye DVD n'netumiwa kutoka bongo
ReplyDeletenot bad at all more workouts on his ABS will give him competitive advantage to fit in that category.
ReplyDeletekweli wabongo wazuri.... nani atatushinda!
ReplyDeleteBasi tuwe wajanja jamani!!!
Hajafikia U-supermodel kwa standards za West. Anahitaji six-pack au rippled abs. LOL! Mzuri lakini!
ReplyDeleteKaka umependeza and una body safi.achana na watu kwa wivu.
ReplyDeletehapo anacheka analia?
ReplyDeletehe is Patrick adolf , younger brother to mIss Tanzania 1995 Emily Adolf!
ReplyDeleteHe is married and has a child!
Mume wa Asha !! GUGU GAGAAAA!!
ReplyDeletehuyu jammaa vp,mambo kama mambo fulani!!! sio Riziki.......!!! analembua macho
ReplyDelete