Home
Unlabelled
nesho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wanja lazidi kupendeza! Bila shaka muda si mrefu WATANZANIA kwa mara ya kwanza tutashuhudia kandanda na michezo mengine katika wanja la kisasa kabisa ambalo wadau wamelibatiza jina la utani "Emireti". Wasiwasi wangu ni je WATANZANIA wangapi watamudu viingilio kushuhudia mechi katika Wanja hilo?
ReplyDeleteDu wamechukua changa letu tulokuwa tunafanyia mazoezi karibu timu nne. Hope chuo cha ualimu kitaturuhusu tutumie uwanja wao. Kuna walimu wageni na wanafunzi wanaopita huwa wanajifanya wanoko, sisi tuende wapi?? Most of all, got to congratulate and appreciate Govn`t kwa wanja hili. Tulikuwa tunatia aibu.
ReplyDeleteYeah hilo watoto wa mjini wamelibatiza 'Emirates' au 'airport'. Kama pale alipoadhibiwa Manchester juzi.
ReplyDeleteVichwa 60,ooo kukaa kwa nafasi ni jambo zuri kwa watazamaji wa michezo. Ila, suala na "Parking" limeshughulikwa vipi jamani?...na imani kwamba wapo wadau waliokumbuka hilo au vipi. Then suala la barabara ambazo zinategemewa kuwahudumia huo msururu wa magari ambayo yatakuwa yanatoka/kwenda kwenye uwanja huu. Kama kuna mliosikia la neema kuhusu hilo tutoeni zahma!
ReplyDeleteUwanja utafanyiwa lini majaribio ya tbs na lini unategemewa kuanza kutumika kama utafaulu viwango vya tbs? ny,ny
ReplyDeleteYanga na Simba watabakia kuchezea huo uwanja wa zamani huu mpya hawana uwezo wa kuujaza kwa hiyo itakuwa hasara
ReplyDeleteYah kiwanja kinakuja kuja. Na hiyo migwaride tafadhali ikafanyiwe huko huko. Hey lakini kuna lile rigwaride lanafanyikaga siku za mechi za kimataifa? La yule mwanajeshi mrefu anaetembelea visigino!! Na yule anachangia sana kutia vipara uwanjani.Kuanzia sasa full stop. Anon wa hapo juu kuhusu watanzania kuhimiei viingilio sidhani kama ni tatizo.Viingilio vitakuwa vya chini sana hata maduu wa kibongo utawaona uwanjani eti ma footballer wives! Nyooo!! Bongo kwa fasion bwana!!
ReplyDeleteHivi wamejenga stadium mpaya, pale ndege ilipoanguka sikukuu ya mashujaa 1979. Walikufa watu wawili.
ReplyDeleteAnon 7:24:08, please usizungumzie kuhusu "Emirates stadium", Michuzi anaweza kupata Blood Pressure,akifikiria siku Liverpool ikikanyaga pale hali itakuwa vipi.Emirates stadium hakuna timu inayokanyaga na kutoka salama.
ReplyDeleteHuo uwanja wa zamani naona wanaogopa kuuvunja maana umejaa mizoga huo na maiti za watu kutokana na ma-uchawi ya Yanga, Pan na Simba. Wakivunja watavurumua majini-watu, Dar hapatakalika.
ReplyDeleteDuu watu wamesha kula "dili" kama vile Rada, Richmond, Ndege ya Rais kila kitu bonge ni Mchongo tu je kunafedha zimebakia, Je uwanja huu ni Bilion ngapi?
ReplyDelete