huyu ndiye mrithi wa nyuzi dazani za hayati ndala kasheba. anaitwa omri seseme, yuko na bendi ya kasongo mpinda super tanza inayotesa kwa miziki ya bakulutu ya enzi hizo. kila ijumaa wapo ambassador plaza kusuuza wanaopenda kuykumbuka enzi za maquiz du zaire na safari sound

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Omari Seseme, ni jina la kisanii alijipa baada ya kuwa na mapenzi makubwa na familia ya kina Seseme wa mtaa wa bukoba, Ilala ( Haji, Muharani n.k).
    Jina lake halisi ni Lovelace Maradufu, mtoto wa mtangazaji wa zamani wa RTD, Marehemu Dickson Maradufu. Huyu Seseme ni hodari wa mikono ya maguitarist wengi akipiga gitaa la Shaaban Yohana Wanted hutaona tofauti.

    ReplyDelete
  2. LOVELACE MARADUFU SINA HABARI KAMA ANAITWA OMAR SESEME KWANI NI MARAFIKI TU NA UKOO WAKINA SESEMA HAJI, MUHARAMI , HUGO N.K, BABA YAKE LOVELACE NI MWANDISHI WA HABARI SIO MTANGAZI WA R.T.D SIJUI ZAMANI KABLA SIJAZALIWA KWANI WADOGO WAKE LOVELACE KAMA MKAMA NA MAREHEMU MDOGO WAO WA MWISHO AITWAE LOVETT(R.I.P),

    ReplyDelete
  3. MUNGU AMLAZE MAHARI PEPONI AMINI MZEE DICKSON MARADUFU PAMOJA N A MWANAE LOVETTY MARADUFU AMANA ILALA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...