Home
Unlabelled
seseme
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Omari Seseme, ni jina la kisanii alijipa baada ya kuwa na mapenzi makubwa na familia ya kina Seseme wa mtaa wa bukoba, Ilala ( Haji, Muharani n.k).
ReplyDeleteJina lake halisi ni Lovelace Maradufu, mtoto wa mtangazaji wa zamani wa RTD, Marehemu Dickson Maradufu. Huyu Seseme ni hodari wa mikono ya maguitarist wengi akipiga gitaa la Shaaban Yohana Wanted hutaona tofauti.
LOVELACE MARADUFU SINA HABARI KAMA ANAITWA OMAR SESEME KWANI NI MARAFIKI TU NA UKOO WAKINA SESEMA HAJI, MUHARAMI , HUGO N.K, BABA YAKE LOVELACE NI MWANDISHI WA HABARI SIO MTANGAZI WA R.T.D SIJUI ZAMANI KABLA SIJAZALIWA KWANI WADOGO WAKE LOVELACE KAMA MKAMA NA MAREHEMU MDOGO WAO WA MWISHO AITWAE LOVETT(R.I.P),
ReplyDeleteMUNGU AMLAZE MAHARI PEPONI AMINI MZEE DICKSON MARADUFU PAMOJA N A MWANAE LOVETTY MARADUFU AMANA ILALA
ReplyDelete