niko na wazee wa sherfield

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 21 mpaka sasa

  1. Michuzi, I've fallen in luv wit the guy wearin' a blue/lilac tie.Kaoa...?
    Ukinipa jina lake tu mie ntamaliza kila kitu.
    Usiniangushe Michuzi,jina lake tu.

    ReplyDelete
  2. nawaona vijana wa UD deo,robert na julius.Mmependeza naona mambo ya ukerewe si mabaya

    ReplyDelete
  3. michuzi I forgot to tell you my name, I posted a first comment up there, my name is John Riwa. please pass my comment. I love the guy is cute and handsome...man he kills me!

    ReplyDelete
  4. Michuzi nashindwa kuelewa baadhi ya wa tz angalia huyo rIwa inaonekana ni muingereza nini? anaonekana anawapenda wanaume wenzake mambo gani hayo? hebu asituletee balaa akae ukerewe kwake na asirudi bongo kwa ufedhuli wake

    ReplyDelete
  5. Robert upo?Demu wako uliyemtolea mahari watu wanajisevia tu huku,pole ndio maisha usimind sana,si anaitwa Ema?Ana komwe flani hivi!!

    ReplyDelete
  6. sema Lashayo naona unarepresent.big up.Michuzi huyu Lashayo a.k.a Deo sijaonana naye longtime.cheers kwa kumuweka hewani!

    ReplyDelete
  7. julius nakuona na suti yako ya church, imekutoa si kitoto...

    ReplyDelete
  8. Hallo michuzi,nawaona hao vijana Watanzania pure ndani ya Ughaibuni,inapendeza kuona vijana wachache wenye mwamko kama hao wakijitokeza kuongea na Rais na zaidi ya hayo wakiwa wamependeza kama wanavyoonekana,KEEP IT UP MEN

    ReplyDelete
  9. John Riwa kasema ukweli hata mimi ningekuwa na dada ningempa mshikaji....duh ila Riwa unatuaibisha.

    ReplyDelete
  10. ee bwana kweli Ulaya hakuongopi yaani hao vijana ulionao hapo Michuzi wanang'a utasema wamezaliwa huku UK??!!Ila kilichonifurahisha ni mwamko wao,yaani kutaka kuonana na Rais,KWELI KAMA WALIVYOSEMA KUNDI LA WANAUME "NYUMBANI NI NYUMBANI",aminia

    ReplyDelete
  11. daaa jamani michuzi kweli hao vijana waliopiga suits ni Watanzania?kweli laiti ningekuwa na dada ningemshauri achague mmoja wao,kwani may be baadaye wanaweza wakawa kati ya tegemeo la taifa hili changa

    ReplyDelete
  12. Deo umetoka bomba sana,ulaya kutamu si mchezo!Picha nitaituma kwa wakwe zako, na demu wako yule ulioniachia nimlinde amenishinda watu wanajisevia,usipanic!hayo ndio maisha.

    ReplyDelete
  13. Tatizo lake watoa comment hapa ni hao wenyewe waliopo kwenye hiyo picha. AM sorry to say that, lakini inakuwa kama ya akina AMINA Chifupa.

    ReplyDelete
  14. huyo jamaa wa kwanza kulia vipi Michuzi mbona kama kiwili wili kinataka kuachana na miguu salama hapo au ndio suti hizo?!!

    ReplyDelete
  15. Wa bongo bwana kwa kupaka motope hawapo nyuma,bob demu wako yupo ametulia,wanock nock tumewazoea.bongo jua kali tu.

    ReplyDelete
  16. Duh,braza Michuzi hao washkaji wanawaka kinoma na suti za promotion sunday market!!Aminia baba,mkirudi bongo mtasumbua nazo si kitoto!Were were haina nginja

    ReplyDelete
  17. Acha uwongo wewe John Riwa,I posted that comment and I'm a woman.Shame on you kuwania wanaume wenzako.Huna hata aibu,kutaka kutuharibia wanaume sie.mshiiiiiii...nimekufyonza.Robert , you rock man!kama una mtu hongera,kama uko single baba....tutafutane.

    ReplyDelete
  18. nyie watoto msiwe wajinga JOHN RIWA tunamfahamu anatotoz za nguvu nyingi tu wala hakai london anakaa marekani kuna mtu ana jaribu kumharibia jina. Haendekezi mambo ya ugay huyo aliye post labda ndiyo anaendekeza.John is not crazy to post that kind of comment and put his real name, unless the names appears to be just simiral which is not the case here. Toweni comments za maendeleo siyo chuki...

    ReplyDelete
  19. mmmh!hizi suti za mtumba au?

    ReplyDelete
  20. I am curious to know what Michuzi is trying to tell us here. Was this the kind of responce you expected? I think people have gone off track.

    ReplyDelete
  21. Michuzi
    Ughaibuni lazima ung'ae macho maana picha zako za huko zote umevaa suit za homu umevaa vingine inawezekana tu ukitinga nguo ulizotinga ughaibuni hapa home utangaa tu macho.
    Asante hongera kwa kazi yako

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...