karibu watu wote wa dar leo walivaa hivi... na katika kusherehesha goli hili la kisigino, kuna mdau kanitumia ujumbe ufuatao:
I thought you may be interested to know what the group of 77 and China had to say about the appointment of Hon. Dr. Asha-Rose Mtegeti Migiro. I believe as Tanzanians we need to be very proud of this appointment. It is an achievement for His Excellency the President of Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete and all Tanzanians.
We now have a duty to fully support her work.

STATEMENT ON BEHALF OF THE GROUP OF 77 AND CHINA WELCOMING THE APPOINTMENT OF DR ASHA-ROSE MTENGETI-MIGIRO TO THE POSITION OF DEPUTY SECRETARY-GENERAL OF THE UNITED NATIONS
New York, 5 January 2007

The Group of 77 and China welcomes the appointment by Secretary-General Ban Ki-moon of Dr Asha-Rose Mtengeti-Migiro to the position of Deputy Secretary-General of the United Nations.
Dr Mtengeti-Migiro is currently Minister of Foreign Affairs and International Cooperation of the Government of the United Republic of Tanzania.
“The Group of 77 and China is pleased that Secretary-General Ban Ki-moon has appointed a person from a developing country for such an important position. Having served in various important capacities, Dr Mtengeti-Migiro will bring a wealth of managerial and practical experience accumulated from addressing issues of development, peace and security.

The fact that Minister Mtengeti-Migiro is also a woman will contribute to the goal of improving gender balance in the Organisation, in particular at senior levels, as well as to ensure that staff reflects the international character of the Membership of the United Nations,” said Ambassador Dumisani S. Kumalo, Chairman of the Group of 77 and China.
The Group of 77 and China looks forward to working with Deputy Secretary-General Mtengeti-Migiro and wishes to assure her of our support throughout her term in office.
We also wish to pay tribute to the former Deputy Secretary-General, Mr. Mark Malloch Brown, for his dedication to the Organisation and we wish him well in his future endeavours.
*****
United Nations,
Room S-3953,
New York, NY 10017,
USAPhone: (212)963-3816/963-0192
Fax: (212)963-3515/963-1753

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. MIchuzi, fulana mshatengeneza mapema mapema namna hii?

    Basi Michuzi hapa napita kila kukicha. Ndio tovuti za mwanzo mwanzo kila ninapoamka. Lazima nichungulie, "leo michuzi katupa nini?" Nitaacha tabia ya kupita kimya wakati wenyewe mpo ndani.

    Tuendelee. Kazi umeikamata vyema. Wasomaji wako nao wanakuamini wanakutumia picha mbalimbali. Safi sana hii. Mara blogu inakuja kuwa taasisi. Utani utani tu...unadhani natania?

    ReplyDelete
  2. Mama atammiss Kikwete na Kikwete nae atammiss mama nasikia walikua wapenzi.Mama hongera kwa kazi mpya!!

    ReplyDelete
  3. Kaka Michuzi,nami naomba utembele blogu yangu.kazi yako naikubali na kila la heri.

    ReplyDelete
  4. jk sasa atakuwa anakula kwa ulaini.hata akina ridhiwani wataenda kufanya kazi huko un manake ndio hivyo tena mama kaukwaa.

    ReplyDelete
  5. Naomba mnieleweshe, hivi tangu lini umoja wa mataifa siku hizi unafupishwa kwa kuitwa UNO? mh, nadhani ilikuwa wakati bado nasoma shule ya msingi. Siku hizi ni UN pekee. naomba kuwasilisha

    ReplyDelete
  6. Huyu Asha Rose MTENGETI-MIGIRO ni dada yake wa damu AMINA MTENGETI, ambaye alikuwa anaishi Holland na Uingereza, lakini kama watu wote hasa wanawake wenye hekima hawazamii tu UGHAIBUNI, wanakumbuka kwao, tunamsifu sana tena sana AMINA MTENGETI, kwani ameishi sana tena sana UGHAIBUNI, na sasa ameamua kurudi nyumbani TANZANIA anaishi hapa na anafanya kazi datacome. Ni mwanamke poa sana HANA MAJIVUNO, akiwakuta hata sie walalahoi, anatusalimia bila maringo, sio kama yule dada yao mwingine RADHIA MTENGETI-MSUYA ambaye anaishi london, huwa ana maringo sana na hatambui walalahoi ambayo sio poa dada, na sasa dada yake ASHAROSE MTENGETI-MIGIRO amechaguliwa kwenye position kubwa hii ya UN naona basi ndio kwa Radhia tutakuwa hatusemi.
    HONGERA SANA DR. MTENGETI-MIGIRO. maana wewe kama mdogo wako AMINA MTENGETI, ni waungwana, mna roho nzuri, very down to earth ladies, ndio maana mola anawabariki, na tunaona matunda, tunakuombea mama, hongera sana, you have made us tanzanian's proud.

    ReplyDelete
  7. ASHAROSE MTENGETI, NI MAMA POA SANA HANA MARINGO NDIO MAANA ANABARIKIWA.
    HII FAMILIA YA MTENGETI WAKO KARIBU SAAAAANA NA FAMILIA YA KINA NYERERE.
    HONGERA SANA MAMA.

    ReplyDelete
  8. Hivi kuna aliyejiuliza kuwa hizi pesa za kuchapishia fulana zimetoka wapi? kuna kikao kilikaa? manake hii spidi ya kikao, maamuzi na utekelezaji kama ilivyojionyesha kwenye uchapishaji wa hizi fulana...NI MFANO HALISI WA MAMBO YA KASI MPYA, lakini ingependeza sana kama KASI hii na MATUMIZI ya FEDHA ZA SERIKALI yangeelekezwa kwenye shughuli za kijamii zaidi na sio show-off kama hizi wakati watu wanakosa hata PANADOL mahospitalini!
    Nawasilisha!!

    ReplyDelete
  9. Michuzi were these T-shirts really necessary? I believe it must have cost a great fortune to print them out,and its so surprizing that they were done so fast.The money that was spend on these t-shirts,why not donate it to an orphanage,poor people and all the like.I really hurts me.I think we should think twice before taking such actions.

    ReplyDelete
  10. Hongera to Mama Asha Rose! She deserves it!

    ReplyDelete
  11. Yaani tayari watu wanafikiria tuu kujinufaisha.."Ridhiwani ataenda kufanya kazi huko..mama kaukwa...." Radhia anaringa..sasa tutakuwa hatusemi..." Jamani hivi kweli are we serious? Ama kweli we Africans we have a serious problems na ubongo wetu...This appointment is good and good for her! Period. Ofcourse kama Watanzania, its good for our image in international affairs...She is just an international civil servant like any other person. Kofi amebadirisha nini Africa in his ten years? Jamani fanyeni kazi kwa bidii..mafanikio sio mpaka ubebwe!! Anybody can succeed, its just hard work and determination. Kwa wale wenzangu na mimi ambao hatuna wa "kutuvuta" tukaze msuli kama unaqualify..ukaaply for a post popote..utapewa kazi tuu..sio mpaka wote tuwe appointed!!! Especially ambao hatujulikani...Hongera Mwalimu Migiro. Its a personal achievement and I salute you. We are always thinking on how we can privately benefit!1 Its sad. Ndo maana umaskini utazidi kutunyemelea tuu sisi waafrika.......Lets work hard and always our efforts will be recognized.

    ReplyDelete
  12. Waswahili!!!! Why not just be happy for her? Why concerned so much about her sister in London, her sister in Tanzania, this and that? They are not the one who chosen for that position ….so chillin’ out guys. It shows how much some people don't like to see other people success. If she lend a hand to her family for anything due to this post that is even superb. It is her relatives and that is what family are there for. Fo those of you who couldn’t stop drinking water when you heard about this big success should work harder so you can pull your family out of that little shack.

    You guys don’t know who paid for those t-shirts. May be her close friends decided to put something for her but even if it is a Government that paid for it is okay too. We should be proud for someone to be selected from our nation among so many candidates out there. It is a big achievement for our country and for all women in this world in general. Those who compare her to Kofi don’t even know the difference between them. You have to remember she is a deputy secretary. Let us be proud of her instead of just sitting down and start talking nonsense.

    ReplyDelete
  13. Waswahili!!!! Why not just be happy for her? Why concerned so much about her sister in London, her sister in Tanzania, this and that? They are not the one who has being chosen for that position ….so chillin’ out guys. If she lend a hand to her family for anything due to this post that is even superb. It is her relatives. For those of you who couldn’t stop drinking water when you heard about this her success should work harder so you can be able to pull your family out of that little shack.

    You guys don’t know who paid for those t-shirts. If it is a Government paid for that it is okay too. We should be proud for someone to be selected from our nation among so many candidates out there. It is a big achievement for our country and for all women in this world in general. Those who compare her to Kofi don’t even know the difference between them. You have to remember she is a deputy secretary. Let us be proud of her instead of just sitting down and start talking nonsense. Congratulation Dr Asha Rose [Mrs] Migiro and Mungu ibariki Tanzania.

    ReplyDelete
  14. namsapoti eddie kintu, kweli kabisa ni mabesti hawa kina mtengeti na kina nyerere.
    na walikuwa wote kama wanaishi ikulu, hata kusindikiza mwili wa mwalimu nyerere kutoka london kina mtengeti walikuwa msitari wa mbele na hata majina kuingizwa kwenye list ya kusindikiza mwili wa mwalimu nyerere.
    pia ni kweli kabisa hawana majivuno, haswa amina mtengeti, rahma mtengeti ni dada poa sana hawa sio kama radhia mtengeti, ana roho mbaya sana. lakini ndio hivyo katika familia wote hamuwezi kuzaliwa na tabia moja, lazima atatokea mmoja mbaya.
    hongera dada asharose mtengeti-migiro.

    ReplyDelete
  15. WAPARE HOYEEEEEE, UREWEDI??? MCHAKA MCHAKA CHINJA, ADIMSELEMA ADIJA,
    ASHAROSE MTENGETI NI MPARE, TOKA USANGI KIJIJI CHA LOMWE.
    USANGI YOTE CHINI YA WILAYA YA MWANGA, TUNAJIVUNIA, HONGERA HONGERA NA HONGERA SANA,

    ReplyDelete
  16. all the best to Asha.R.M.Migiro kwa kweli cheo chako ni faraja kubwa kwa wanafunzi wa kike haswa kwamba hata wanawake wa nchi zinzo endelea we can make it.si kwa kuangalia cheo ulicho pewa sasa bali tangu mwanzo na pia kwa kuangalia hata ndani ya familia na kumtoa kiongozi bora mwana mama ni kama si kosei dada yake na mhe.Migiro aliyekua katibu mkuu elimu na mkuu wa chuo cha kiislam morogoro Bi.Mwantumu Mtengeti Malale...hongera kwenu nyote..

    ReplyDelete
  17. Nimeshituliwa sana na manoni mengine nilioyaona. Radhia Mtengeti ni mzalendo alijitolea nchi yake na aimwakilisha nchi hadi makao makuu ya Umoja wa Mataifa. Na sasa dada yake nae aimiimarisha familia yake kwa kuiwakilisha zaidi nchi yake. Pia familia nzima imejitolea nafsi yao kwa kuisaidia nchi kila iwezavyo. In niuma sana nikisikia Watanzania wenzangu wawashitumu wale wanao jihimili kuiimarisha nchi yao kwasababu nchi inamitihani mingi dhidi yake na ushirikiano ni muhimu kama jitihada zetu za kujibeba na kijisaidia zita zaa matunda. Hongera sana kwa ndugu Dr. Asha Rose Migiro na kwa wote watako jitolea mhanga kwa maendeleo ya jamii yetu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...