Home
Unlabelled
soko
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
michuzi si ilisemwa kuwa kandoro ameondoa watu woote wanaouza kandokando ya soko,,au hii ilikuwa kabla ya kandoro kuja??
ReplyDeleteMichuzi kulikoni tulisikia kuwa kandoro kaamuru hizi vurumai hapa nje ziondoke maana vibaka wamezidi, biashara ndani tuu?!
ReplyDeleteHata ukerewe masoko ya vyakula - na mbogamboga ni kama hayo yanayoonekana hapo nje ya soko kariakoo. michuzi nipe email yako nikutumie picha ya masoko mjinga toka ukrewe tena naenda kuipiga picha sasa hivi. nipe email au sanduku lako la posta nikutumie. tusidharau vya nyumbani jamani!
ReplyDeletesasa kama marekani kuna vurugu kwenyea masoko yao basi lazma na kwetu ziwepo???
ReplyDeletesi tunataka utaratibu uwepo basi hatufatishi marekani! acheni utumwa kwani hatuwezi kujiwekea taratibu zetu wenyewe mpaka tufate za watu