Tausi Likokola sio jina geni kwa wa-Tanzania wengi. Mwanamitindo huyu ameshafanya kazi na designers wakubwa kama GUCCI, Escada, Tommy Hilfiger, Christian Dior na Issey Miyake. Lakini Tausi hajaishia kwenye mitindo peke yake bali anafanya kazi kubwa kuisadia jamii aliyotoka. Je Tausi Likokola katokea wapi? Nini kilifanya aitwe Goodwill Ambassador wa Tanzania? Nini kilimuingiza kwenye mitindo? Je ana ushauri gani kwa wasishana wanaotaka kuwa wanamitindo kama yeye?

Sikiliza zaidi katika www.RadioButiama.com



Tembelea tovuti zake:
www.TausiDreams.com , www.TausiAidsFund.org

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. CUTE AND WONDERFUL GIRL......
    Yes you really cute girl ..and so lovely and proud to have such wonderful girl like u ,as a Tanzanian.
    Looking at you as model is total luxury but your vision and instincts are so valuable to me...i appreciate your courage and strength to help other people . You are such an inspiration as a model and as a human being. i wish good luck for you future career.
    Doctor////////

    ReplyDelete
  2. Nimefurahia na kujieleza kwako bila kuonyesha maringo pia moyo wa kusaidia binadamu wenzio nakutakia mafanikio na mungu akutangulie

    ReplyDelete
  3. enheee, sasa ndo hayo tuliyokuwa tunayataka, maana kuna wakati alitangazwa mtu kuwa model Icon wa Tz na tukabishana sana, anyway samahani sipendi kurudisha mjadala, ila huyu sisi tulio wengi ndiye tunamfahamu ni Model Icon wetu.
    Shukrani kwa Gunza, kwa kumtafuta huyu, maana tulibishana sana. Shukrani kwa wengine woote akiwemo kaka Michuzi.
    Tuipende Tanzania na tuitangaze ilipo na mazuri si masifa yasiyo na maana.

    ReplyDelete
  4. any way! is the sitting style an invitation to treat?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...