Home
Unlabelled
tcra
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyo kati ni J.A Mpapalika (Jamp),kichwa kikali sana hicho. Alikuwa TTCL akaenda TRITEL na baadaye Tume ya mawasiliano. Jamp tuwasiliane @ gnrwela@hotmail.com niko hapa Dallas, TX.
ReplyDeleteBrop Michuzi,
ReplyDeleteHuyo wa Kati ni Uncle Mpapalika. Ni kweli hicho ni kichwa ndugu yangu kwenye mawasiliano halafu ni Mzalendo sana. Ni nadra kuongea hovyo hovyo. Ni mkweli sana,ana upendo na mchapa kazi. Zaidi ya yote ni mtu wa kujitolea sana. Nafahamu yuko UK anachukua PhD. Mwishoni mwa mwaka jana alirudi Tanzania kwa mapumziko. Achana nacho hicho kichwa Mungu amekijalia.
ninaungana mkono na anony wa hapo juu.
ReplyDeletehuyu jamaa anaitwa JOHN ANDREW MPAPALIKA .ni kichwa kweli kweli lakini majungu ya baadhi ya watanzania ni ndio sooo.alikuwepo pale TTCL wakamletea uzushi akaamua kwenda zake TRITEL then TUME YA MAWASILIANO na kama nitakuwa sijakosea sana kwa sasa anachukua PHD yake ndani ya chuo cha CAMBRIDGE hapo ukerewe.thanks michuzi
Pengine wataalamu wetu hawa watasaidia kuhakikisha kuwa minara ya simu za mkononi haijengwi hovyo kila mahala hapa nchini! wenzetu huko teknolojia jizi zinapotoka wako makini sana kuhakikisha kuwa athari kwao na kwa watoto wao zinapunguzwa- wanakataa kabisa ujenzi wa minara hii ndani ama karibu na maeneo ya shule! hapa Dar minara hii ipo kila kona (hata ndani ya shule ya sekondari Azania) utadhani hakuna wataalamu wa kuwasaidia wananchi waelewe athari ya baadhi ya hivi vitu ambavyo ni muhimu lakini vina athari zake!
ReplyDeleteThink you could spot a mobile phone mast near your home or office? Think again.
Some mobile phone operators are going to extraordinary lengths to conceal the masts that form their networks.
They are being disguised as chimneys, clocks, windows, drainpipes, even as weathervanes, all in an effort to meet the demands of planning departments.
Controversy often surrounds applications to site phone networks. Mobile operators were recently barred from putting the masts close to schools in the UK; many parents had said they were worried about health and safety implications.
Mast hidden in Bristol church window
But the number of masts around the country is set to increase, as networks upgrade to second and third generation mobile technologies.
Each British mobile network has about 8,000 cells, which means about as many masts, and the maximum size of a cell is 35km.
In third generation (3G) mobile networks the cell can be a maximum of 8km wide, which means they need lots more masts.
Mobile abuse
This, and the fact that masts are shrinking, creates problems.
"As we come down in size there is a requirement to be closer to your customer area," said Graeme Hill, a director of James Barr Consultants which advises firms seeking mast sites. "And that means in and around residential areas."
Mobile phone mast: Not a pretty sight
Masts used to be about 30 metres high but as technology improves they shrink. Now some are as small as 8 metres high, said Mr Hill.
Before now some firms have used fake trees as masts which resembled Scots pines.
It is a tactic that might work on a hilltop when it is concealed among other trees but a fake tree on a street corner would be like putting lipstick on a gorilla.
The difficulties are compounded by the fact that many neighbourhoods welcome phone masts with all the warmth they usually reserve for traffic wardens.
And it's not just the public who are critical of phone masts.
"We deal with visual atrocities," said Sue Lipscombe, spokeswoman for The Undetectables, a firm often employed by mobile operators to help them hide masts.
Ms Lipscombe said it let operators worry about the health and safety aspects of phone masts and The Undetectables worries about the visual pollution they cause.
"Some telecoms companies can be inconsiderate," she said. "They would rather use masts and are reluctant to come to us."
A Leicester chimney, disguising phone mast
The Undetectables grew out of a firm that used to build sets and scenery for Aardman Animations and it takes the same care with the fake chimney pots, drainpipes and flagpoles they create to hide masts.
"We put in the bird muck, the pollution, everything," she said.
The result is that phone masts become utterly invisible.
Losing sight
For instance, the support pole for the golden angel weathervane on Guildford Cathedral is actually a mobile mast and supports several antennas.
In return for using the site, which sits on a hilltop and is a coveted location, the angel was regilded.
More complicated was St Stephen's church in Edinburgh. This houses eight mobile antennas sitting behind fibreglass panels in its belfry. The panels forming corner pillars were painted to resemble the surrounding brickwork.
The set makers for Wallace and Gromit have moved on
The street sign for Northumberland Avenue in Westminster is also a plastic sign hiding a few antenna.
Dotted around Britain are fake chimney pots, fake flagpoles, fake drainpipes and fake signs all made of glass-reinforced plastic and concealing mobile antennas.
Possibly the most complicated concealment job was done on the Town Hall clock in Hungerford in Berkshire.
Antennas are mounted at the centre of each of the four faces of the clock next to the hands.
The four faces have been renewed and the clock hands themselves have been replaced with glass-reinforced plastic versions that have been balanced to ensure the clock keeps the right time.
They take such pains for good reasons, said Mr Hill.
"Concealment is not about trying to disguise the installations to fool the people living in the vicinity of them," he said.
"It's come from through planning officers and local authorities not wanting architecturally important buildings to be damaged from a visual point of view," he added.
If they did not take such trouble the landscape would be dotted with "architectural acne" said Ms Lipscombe.
And that is a growing pain that no-one wants to see and everyone is glad to see the back of as they mature.
Yeye kichwa kikali na nyinyi vichwa maharage au vimejaa maji kama vitunguu. Kheri yenu mnajijua
ReplyDeleteHaya sasa yeye Mpapalika kikali na nyinyi je? au ndo vichwa vya mwenda-wazimu lakini ni vizuri sometimes kusema ukweli.........
ReplyDeleteWatanzania wenzangu inaelekea tumesahau moja ya tatizo kubwa linalotusumbua.Nalo ni RUSHWAaaaaaaa. Kuna Watanzania wengi ninaowafahamu wana vichwa vizuri,akiwemo huyo Mr Mpapalika mnaemsifia.Tatizo ni rushwa iliyojikita kwenye baadhi ya safu za viongozi wanaotoa maamuzi!Watanzania kama Mpapalika hata wakitoa ushauri wao wakitaalamu,kamwe hawatasikilizwa,kisa 10%. Kama mmesahau hebu jikumbusheni kidogo undani wa mikataba hii michache!
ReplyDelete1.Rada ya jeshi
2.Ndege ya raisi
3.TANESCO&IPTL
4.MOBITEL na mitambo yao walipoanza
5.TANESCO&NETGROUP
6.NBC&ABSA
7.TTCL&...(sorry nimesahau)
8.Machimbo ya dhahabu
9.TANESCO&RICHMOND
Wazungu are tainting a picture that African leaders are corrupt,lakini sasa hii ya BAE ambayo the Prime Mr Blair pushed it to go through,jamani interest tuliyolipa kwenye hiyo $40 million sio kidogo tena tulikua kwenye kipindi kibaya cha ukame,hawana huruma hawa wazungu.Hapo kila mtu ana panga lake sio IMF,sio nani sasa wachumi wetu mnatusaidia nini?Muhindi kalamba hiyo bingo yote jamaani?
ReplyDeleteMpapalika you will do whatever you want to do lakini at the end of the day,who is paying for your shit?serkali.Utawabishia?Utakua corrupt like anybody else au unabisha?
ReplyDeleteHi!!!kaka Boniface Shoo,nimefurahi kukuona maana nimekutafuta nijuwe uko wapi kwa kweli japo kwa picha hii nimefurahi sana,nami niko hapa Ukerewe ni mdogo wako tulikuwa wote Makumira,pamoja na kaka Jesse.
ReplyDeletenakupongeza kuongeza phd,kwani degree ulizonazo ni nyingi mno,hongera kaka nasi tuko nyuma yako,nami napata masters mwezi Mei.
Tatizo la watu kama Mpapalika ni kwamba usomi wao hauna faida kwa jamii. Wako kamisheni ya mwasiliano, lakini bado milingoti(masts) ya mawasiliano inajengwa uwani kwa nyumba za watu na mashuleni, wananchi wanalipa pesa nyingi kwa simu kuliko chakula wanachokula ndani ya familia zao...na komisheni wapo tu! simu ni ghali mno watu wananyonywa mnafanya nini?
ReplyDeleteNafikiri Bwana Muttah hapo juu angependa naye ajulikane lakini bahati mbaya hana mchango wowote kwa jamii. Kwa asiye
ReplyDeletemjua Mpapalika siwezi kumlaumu. Lakini vilevile tungependa kuona vichwa vyote vinasifiwa(maana wote hatulingani) badala ya kuwa na wivu kama inavyojidhihirisha kwa watu kama akina Muttah.Hatutaendelea jamani! Ujenzi wa taifa ni teamwork usikae kulaumu eti kafanya nini bali jiulize mwenyewe umefanya nini kwa jamii inayokuzunguka? Halafu tufahamishe nasi hatutasita kukupa sifa utazositahili.
kwani kuna ubaya gani watu ku acknowledge kichwa cha Mpapalika? Kwani hiyo minara wamejenga mgongoni mwake? au mmeambiwa yeye ndio anatoa vibali vya ujenzi wa minara. Watu wenye shule ndogo utawajua tu...hawajui kuwa kuna gifted people hata kama humpendi!
ReplyDeletejamani wa tz , if your not gifted utaremain hivyo hivyo 2,kazi ya kublame wakati we mwenyewe una matatizo a lot"
ReplyDelete