mzee wa tzuk yuko bize sana siku mbili tatu hizi. hataki mchezo katika kutafutia wadau wake matirio

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 18 mpaka sasa

  1. MICHUZI ACHA HIZO. MATERIAL GANI?, HIYO TZUK HAINA CHOCHOTE ZAIDI YA KUCOPY MATERIAL SEHEMU ZINGINE. HATA HIZO PICHA ZA MATUKIO HAZINA MPANGILIO. PICHA ZA KIKWETE ZIMEZURUDIWARUDIWA, NA ZINAONYESHA WATU WALE WALE. JAMAA INAONEKANA ANAJIPENDEKEZA SANA KWA BAADHI YA WANAWAKE.

    ReplyDelete
  2. Nani huyu?

    ReplyDelete
  3. Abou liendeleza keep it up bro
    Zedi

    ReplyDelete
  4. razima riwe ri muchunguzi hiri rimesoma mpaka no class ahead

    ReplyDelete
  5. KWELI TZUK BADILIKENI HABARI ZENU NI ZA KUPASTE TU.FANYENI UTAFITI TUNTAKA HABARI ZA UCHAMBUZI KAMA ZA KUKOPI KILA MTU ANAWEZA KUFANYA.

    ReplyDelete
  6. Wewe habari za TZUK ni up to date ukilinganisha na Darhotwire ambao kila siku habari zao hizo hizo. Angalia katika section ya muziki, wasanii ni wale wale wanaandikwa kila siku sijui East Coast yaani wanarudia sana.

    Hata kama TZUK ina copy/paste lakin habari inakufikia on time. Hamna website yoyote ya habari Tanzania ipo upto date kama TZUK

    ReplyDelete
  7. Abuu,
    Keep up the good work. TZUK has become the number one website for news related to Tz residing in the UK as well as news from home as well as international news. Keep up the good coverage.
    Mugi.

    ReplyDelete
  8. Wee Mzee wa TZUK, site iko slow saana, fanya mavitu bwn!

    ReplyDelete
  9. Tzuk.com ni moja ya ugly tanzanian websites. Design yake ni mbovu sana kama vile imetengenezwa na mtoto wa darasa la tatu. Hivi mnashindwa hata kutengeneza site nzuri??

    Michuzi hebu tuwekee Top 10 Tanzanian Websites bomba.

    ReplyDelete
  10. Na wewe uliyeandika site ni ugly. What is the purpose of a site?. Kukupa information, interactivity na zaidi. Sasa hapo kimekosana nini katkia hiyo site, habari hupati, links hazifanyi kazi??????????

    ReplyDelete
  11. Wewe anony (Tuesday, January 16, 2007 6:25:27 PM)
    Mbona sijaona ya kwako? Unapenda kusagia lakini kutoa constructive criticism ....sifuri. Nahisi Hata website iweje bado usingeridhika nayo you don't appreciate any good effort. You talk like wewe ni mwekezaji lakini from the sound of it una 'Typical Mtanzania Syndrome' yaani kuyachukia maendeleo ya mwenzie for no good reason..Shut it.

    ReplyDelete
  12. Wewe Mtz acha kuropoka bila ya kujua unaongelea nini. Muulize mtu yeyote anayejua mambo ya web designing atakwambia ile website ya Tzuk has been poorly designed tena aliye-design sio rookie bali ni kama mtoto wa chekechea ambaye hajafikia hata level ya kuitwa amateur. Graphics mbaya, layout mbovu na mpangilio mzima wa website ni mbaya. Kuna vitu kibao vimejazwa katika main page bila ya mpangilio mzuri. Hili ndio tatizo lenu wabongo mara nyingi mnakuwa hamjui kitu (VIHIYO) na mkikosolewa mnakuja juu baada ya kuchukua criticism na kuifanyia kazi. The bottom line is, there is zero creativity on that site.

    Na kwa anon 8:29:53 PM, Web designing sio kuwa na links tu na kuweka info ambazo zinasomeka. Site inahitaji creativity na kitu kitakacho mfanya hata msomaji asichoke kuja kwenye hiyo site. Ingekuwa unaweka links tu, kila mtu basi angekuwa mtaalamu wa kutengeneza site. Hiyo site ya Tzuk ni ya kitoto na ni one of the most ugliest Tanzanian websites.

    Webmaster wa TZUK, Cha kufanya hakikisha unaweka graphics nzuri zinazoendana na community like sites. Layout iwe na mpangilio wa kuvutia. Halafu punguza kujaza vitu vingi katika main page kwani inaboa sana kuitembelea site yako.

    ReplyDelete
  13. huyu bwana ni shushushu tu. yani mimi siwaelewi watu wenye hiyo kazi, ndio dili gani kuspend all ur life tryna know other people's business??? Si umbea mtupu tu huo, Mungu awalaani mashushushu wote nyie

    ReplyDelete
  14. anony Wednesday, January 17, 2007 1:24:20 AM
    sasa kwa kweli kuna jinsi ya kutoa constructive criticism na kusagia ovyo. Wewe katika comments zako zote mbili umetoa criticism ambazo kwa mtu wa kawaida ataona ni kama vile you have something personal against that site. ...k.m." Hili ndio tatizo lenu wabongo mara nyingi mnakuwa hamjui kitu " seriously kuna haja ya kuyasema haya hii ni self destructive statement kwani wewe ni mbongo pia. Kingine "Hiyo site ya Tzuk ni ya kitoto na ni one of the most ugliest Tanzanian websites." That is not sensible, wewe sio shareholder owner or in any way contributing to the development of the site just a hater no reason. Tatizo sio site ila ni wewe. Why is that kila kitu Mtanzania anayejitahidi kufanya kinasagiwa na Watanzania wenzake (of all the people). FYI how do you ni Mtz ame design hiyo website? Unataka urembo then what?If you don't like it go elsewhere.

    ReplyDelete
  15. Michuzi site ya TZUK ipo down au kuna tatizo lolote??? inasema forbidden to visit this site

    ReplyDelete
  16. Nilishawaambia site TZUK ni ya kichovu mkabisha, sasa mnaona hata haipatikani toka majuzi. Mtz imekuwaje ndugu yangu na site yako mbona haipatikani au umeshindwa kulipia enough bandwidth??

    ReplyDelete
  17. Mimi nimewasiliana na admin wa TZUK na nikapata taarifa kwamba site inafanyiwa maintenance na TZUK.com itarudi hewani within 24-48 hours.

    Ya'll gotta stop hatin and start being positive about Tanzanians doing things for the Tanzanian community.

    Mijitu inaonekana kuwa na wivu na chuki binafsi na ndio maana hatuendelei ebu tizama kuna mtu amecomment kwenye picha ya Dioniz na Jamal Malinzi kuwa wamekuja kubeba box...this shows how uninformed we are alafu tunajifanya wajuaji.

    Ndugu zangu mnaotoa kommenti za chuki acheni chuki na tutumie muda wetu kuwaza na kufanya mambo ya maendeleo si kutumia muda wetu kwa uchochezi usiokuwa na Maana. Hapo tutaendelea lakini inaelekea watu tuna muda mchafu mwingi sana.. Naomba Tubadilike kama wayahudi na wadosi Watanzania tuwe kitu kimoja na kuungana mkono sio kila mtanzania anapofanya jambo sisi tunakuwa mstari wa mbele kupiga madongo...kama anavyosema Rais Kikwete Charity Begins at Home, sasa kama sisi wenyewe hatuungani mkono unafikiri watu wa nje watatuunga mkono....

    Lets change and hopefully we can move our country forward sio viongozi peke yao wenye jukumu la kuleta maendeleo, viongozi kazi yao ni kuongoza sasa kama na sisi mawazo yetu yana ufinyu na kujawa na chuki hatutaona "The Bigger Picture" Tuache Uswahili Jamani na tufanye vituuuz kama nchi za wenzetu...Maana inaelekea Mzee Kichaka na Blair wamemkubali JK na Dr. Migiro ni mfano mzuri wa kukubalika huko sasa tuachw majungu na tufuate njia ya Dr, Migiro

    ReplyDelete
  18. Kati yenu mnaoipiga hii sute majungu kuna aliyemcontact webmaster kujaribu kumpa ushauri au mnachonga tu???

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...