ukerewe kuna jotooo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. kweli joto ndani ya winter hilo lazima liwe "joto la asili" ila huyo dada pembeni hapo kwenye skirt nyeusi kama vile ni jirani hapa bongo.michuzi pleaseeee mpe hii email publicly maddidy@hotmail.co.uk

    ReplyDelete
  2. misupu lazima usikie joto,naona umezungukwa katikati.

    ReplyDelete
  3. HAPO KWELI ULIPASHAPASHA, SI MCHEZO.. NDIO MAAN AHATA KOTI LAKO LA MCJIKICHINI UKALISAHAHU!

    ReplyDelete
  4. Hivi hata ulaya wanafanya Kitchen Party?
    Halafu yaelekea Misoup ulizamia kitchen party huko Ukerewe. manake ktk hiyo picha ni Mijimama mitupu, men peke yako! au tuseme ulipata deal ya Ushereheshaji - MC - huko Ukerewe?

    ReplyDelete
  5. Michuzi,
    Huyo dada cheupe uliemshika kulia kwako si mchezo.Wife material flani hivi.

    ReplyDelete
  6. Huyo dada wa kwanza kushoto anaonekana ni mtu wa miduara. hivi Ukerewe nako kuna Ukumbi ka Amana na East african Melody????

    ReplyDelete
  7. Jamani kwani mtu wa miduara ni mtu wa aina gani? hebu tuelimisheni na sisi wengine tusiojua maana ya mtu wa miduara

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...