Home
Unlabelled
ukerewe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
kina dada wana rangi adimu ila wako health kichizi(unene)
ReplyDeleteMichuzi hebu acha uswahili wako. Mambo ya Ukerewe Ukerewe ndo nini bwana hit straight to the point kama ni United Kingdom sema hivyo sio kutuacha watu tukitafuta maana ya ukerewe hiyo kwa namna nyingine ni ushamba wa aina fulani
ReplyDeletekulaaleki wallahi......... jamani madada zetu mnajua ni wazuri sana, hebu tusaidieni kidogo kwa kuvaa a lito biti mo disenti, kwa kuwa namna hii wazi wazi hamu zetu zinazidi na maambukizi jamani yanaogopesha!!! Nawapenda sana, Much love
ReplyDeleteMichuzi unatumaliza kaka.
ReplyDeleteWe anony wa tatu, hakuna kilicho wazi hapo. Kama nipples zimefunikwa, hamna noma. Waacha wazi ni wanawake wa kimasaai.
ReplyDeletehao wamechoka kishenzi! inabidi warudi bongo waone totoz za nguvu.
ReplyDeleteHao ni maluzi boli tu...naona watu hapo juu mnachachawa..
ReplyDeleteala ala mtoto, kidevu hicho...
ReplyDeleteMichuzi sijui kama huwa unasoma maoni maana watu wamekwishalalamika sana kuhusu kutumia maneno mmbadala ambayo unayajua peke yako(labda na wa karibu yako).Anonymous wa hapo juu anaendelea kuonyesha jambo hilo linavyotukera baadhi ya watu.Kwa nini usitumie majina sahihi? Au labda hayo ndio majina yanayotumika mitaani siku hizi kwa hiyo tusio Bongo tuumize vichwa?
ReplyDeleteKazi nzuri lakini!!
hapo.wanaume wenzangu kweli mu vipofu lakini ni choice ya mtu anataka wa aina gani.Michuzi hebu leta topic nyingine za huko london zinaboa sasa.kuna watu maarufu wako huko wengine si watu unawawaka hata hawajulikani tunataka ma star hapa,wanaojulikana tabia zao tuwachambue hapa ni mtambo wa kurekebisha tabia
ReplyDeleteDuh... kashika nini huyo? mike?
ReplyDeleteHe!, hivi kumbe hata kwa wa-English nako kuna BANTU figures. sasa lile neno la 'ENGLISH FIGURE' mbona linapotoshwa. ahsante misoup kwa kunifumbua macho.
ReplyDeleteMimi nilikuwa najua madem wengi UKEREWE wana 'english figa', au hapa ulikuwa sigara klab chang'ombe???
Hao akina dada ni MATUTUSA....
Jamani nyie wadada kwenye picha mmependeza. Wala msisikilize maneno ya haters hapa. Nyote ninyi ni warembo, tena mnavutia, anayekanusha ana roho ya korosho, na wivu. Hapa U.S. black sisters ambao ni BBW huwa wanasema "If it ain't thick, it ain't right" Na msemo mwingine ambao huutumia ni "Only dogs like bones". Hiyo size yenu ni poa sana wala msikubali mwanadamu mwingine awa put down.
ReplyDeleteMIMI NI MUDA MREFU HAPA LONDON YAANI TOKEA MWAKA 1985, LAKINI HAWA AKINA DADA HUWA NAWAONA ILA SIJUI SHUGHULI WANAYOFANYA KWANI HUWA NAWAONA WAKIZURULA NYAKATI HASA ZA USIKU KWENYE MABAA. SASA ANKUULIZA BW. MICHUZI HAWA UMEWAJUAJE ? MAANAKE HATA KWENYE MKUTANI TULIOKUTANA NA RAISI WETU MHESHIMIWA KIKWETE HAWAKUWEPO UKUMBINI. NAOMBA UNISAIDIE KWA HILO IKIWEZEKANA HATA KUNIPA ANUANI ZAO ILI BAADAYE NIWASILIANE NAO !!!!
ReplyDeleteWAZURI SANA DADA ZETU, LAKINI UNENE MPUNGUZE, NI HASARA KWA JAMII NA VILEVILE KI AFYA.
ReplyDeleteNA MKOROGO PIA PUNGUZENI, KUJICHUBUA, SIO POA. BLACK IS BEAUTY. STAY NATURAL PLEASE.
Akina dada mmependeza na mnaita kwa sana but ONDOENI HAYO MAKATANI HUKO KICHWANI
ReplyDeleteJAmani hizo nywele sizielewi...why dont you like your origin?
ReplyDeleteWe anony wa 4:15 pm. Unasema huwa unawaona wakizurula baa. Wewe huwa unafanya nini wakati huo ukiwaona, kama wewe si mmoja wa wazurulaji. Acha kuwanyooshea vidole wakati wewe unafanya hili hilo, vinginevyo usingewaona huko mitaani. Unawaona kwa sababu wewe na hao huwa mnaonana. Pili rais akija SI LAZIMA kila mtu akamsikilize, kwani watu wana mambo yao. Kuna kitu kinaitwa schedule, hau umesahau?
ReplyDeleteI love these girls maana wako poa kishenzi na kupendeza ndo kawaida yao. Wee unaye sema sijui unawona kwenye mabaa na wanazuruura utajiju. Wivu tu we ni hater tena hater hasa.
ReplyDeleteI love these girls maana wako poa kishenzi na kupendeza ndo kawaida yao. Wee unaye sema sijui unawona kwenye mabaa na wanazuruura utajiju. Wivu tu we ni hater tena hater hasa.
ReplyDeletehey nyamanyama ndo zenyewe, more cushion for the pushin..........hallo vp nyinyi!
ReplyDeleteIf it ain't thick, it ain't right. Only a dog loves bones. Wenye nyama ndio wenyewe. Unazishika hizo nyama wakati wa shughuli.....unajua tena. Wembamba na mimi mwembamba hakuna pleasure, ni kuumizana tu kwa sababu mifupa itakuwa inagongana.
ReplyDeletejamani sura zisiwasumbue ulizieni tabia zao, huyo wa kushoto kavunja ndoa ya mama yake mdogo kwa kutoka na baba yake mdogo, kaolewa na kuachwa within a month, kmaliza wanaume washamba wote huko ukerewe, na sasa anatoka na mwanaume ambaye ni mfiraji wa wanaume wenzie namba moja. tena huyo dada kwa kujjidaia profile yake kubwa, basi huyo mwanaume wake wa sasa di wa hali ya chini mno, maana majuu kwenyewe kapanda kwa msaada tu, kupiga kazi kiwandani kumempa vipaund vya kuvaa vizuri basi naye anajiona taifa kubwa. but ni mwanaume low class, hasa kwa sisi tunaomjua katokea wapi. tena huyo demu kazi yake kujipakazia katoka uzunguni kumbe katoka uwahilini kishenzi, hata mambo yake ni ya kiswahili chifupa ana nafuu. mengine namstahi. Na huyo wa kulia, yeye ni mbeya kama yeye hakuna ukerewe nzima.ukitaka taarifa yako ienee mpe yeye. na kwa wale wanaume wanaojisikia kupata uroda wamuone yeye haana tatizo kabisaaaaaaaaa kwa suala hilo, ila jiandae ukishamaliza tu habari zalo zipo nje. jingine ni mshamba wa kutupwa hajawahi kukaa mjini basi kawaona watoto wa mjini anajitia yeye ni namba moja wa mjini. basi kinachoendelea hapo ni anaboa watu kwa mambo yake ya kishamba. msione watu wapo ukerewe mkababaika, hawana lolote. wajanja na mastar tupo hapa hapa Tz. hao ni jogoo wa shamba. maana wakitua hapa mjini hawawiki. harafu kwani hamjajua tu kuwa asilimia kubwa ya waliopo ukerewe ni wale waliofeli maisha hapa home? ndiyo maana sura hizi huzikosi kwenye kila shughuli huko kwa sababu hazin kazi za kufanya. kama huamini ingia kwenye website yao www.tzuk.net uone wanavyolimbuka. wenyewe walioenda kwa shughuli zao wametulia kimya. mnatutia aibu.
ReplyDelete