mdau kanitumia hii leo. ati bosi wa jamaa hawa alitangaza pati ya mwaka mpya kila mfanyakazi ataruhusiwa kunywa glasi moja tu ya bia - na tena kila mtu aje na yake....

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 16 mpaka sasa

  1. Hapa ni nchi gani?

    Halafu mbona kila mtu amebeba ndoo?

    ReplyDelete
  2. Michuzi, You should get serious now. Picture such as this ain't meant to be posted on the forum such as this for people to have a serious discussion.

    R u running out of materials to post on your blog??

    You are seriously getting boring and should reconsider what you are doing.

    There has been a number of issues raised on this blog with absolutely off the point comments. Lets get serious

    Michuzi andika kitu ambacho kitachangia in one way or another towards educating the society

    ReplyDelete
  3. wee anony wa 3:19:12pm unamatatizo yako mwenyewe. I see a lot of humour in this posting. You can not be serious all the time, the world will be so boring. Bring more pictures as long as they're not immoral.

    ReplyDelete
  4. sasa hao nani tena mbona unatutie kichefuchefu kwani hakuna glasi

    sammy teacher

    ReplyDelete
  5. Wee Michuzi kwani picha za PROF MAHALU zimeenda wapi na kwanini? Mpaka dakika hii nimeshikwa na butwaa wajameni. Nimezitafuita sana jamani nisaidieni nimechanganyikiwa. Bora angemwacha Mahalu kuliko hawa watu. Sasa uliziweka za nini kama ulijua utazitoa?Ina mana hauko serious na kazi yako.

    ReplyDelete
  6. Jamani Anonymous, there is a time for everything....a time to laugh and a time to cry.....a time to get serious and a time to have fun.....

    I like issues but sometimes we also need a break. Look at the humour in the picture. When serious issues come we shall see them.

    Imagine how their boss was shocked at the size of the tumblers!!! Its hilarious!!

    ReplyDelete
  7. KIJANA HUYO JUU MBONA ANAUA SANA ....NI KWELI KUNA HAJA YA KURAISE ISHU NZITO LAKINI BURUDANI NI MUHIMU PIA NDUGU ....VP WE UNATOKA WAPI ....?

    ReplyDelete
  8. Wewe anony wa hapo juu una akili timamu au ndio nyie watu wa miaka ya 47 kama unaona blogu hii haikufai nenda kwenye blogu nyingine ni jambo la kushangaza sana Michuzi anatuletea burudani kila siku tena kwa bure jamani anaangaika usiku na mchana kutafuta picha za wadauwake hivi mijitu kama wewe hapo juu umefanya kitu gani kwa wadanganyika kwa bure hebu ondoka zako.keep it up bro Michuzi.

    ReplyDelete
  9. yani, picha hii inachekesha...pombe will always control people!

    nice blogu Michuzi - I am linking u.

    ReplyDelete
  10. jaamaaa ni nyoko alienda kinyume na maadili ndio maana kamua kuitoa ile picha! anajifnya mshikaji ili apate taarifa. Michuzi

    ReplyDelete
  11. Michuzi kwa nini usilete picha za mzee balozi wa Itali aliye pandishwa mahakani ili watu wajadili?Watu kama akina Dito inatakiwa tuwachambue kuwa humiliate kwa matendo yao ya kinyama.2)Hapo juu huyo mzungu ana NIKON D70 ndiyo digital ambayo inaaminika saa hii kwa watu wengi anyways wanaofanya haya mambo professional.

    ReplyDelete
  12. You know tumeshaishi na waarabu na wahindi basi kila kitu ni kucontrol tu. Hat hamumlipi Michuzi hata penny. Hey mwacheni Michuzi hii ni blog yake. You don't want to see what his personality is just find another blog. Michuzi keep it up though you normally don't post my comments all the time but ain't of you. Still I am your big fan.

    ReplyDelete
  13. michuzi kamua ndugu yangu kama noma na iwe noma!

    ReplyDelete
  14. Michuzi, hii picha kiboko, kwanza ofisi hii haina wnawake, na pia hii party ya mwaka mpya hakuna mwanamke aliyealikwa hata mmoja? na Du natamani ningekuwepo nami nije na Mtungi wangu wa kuwekea Ugimbi.

    hahah, hahaha hahahaha, hahahaha.
    Acheni hasira wasomi, siyo wakati woote muwaseme watu, na kujidai mnataka issue serious, sometimes you need to take easy, and relax, with BEER, na UGIMBI, hahahahahaha.

    ReplyDelete
  15. Michuzi, hii picha kiboko, kwanza ofisi hii haina wnawake, na pia hii party ya mwaka mpya hakuna mwanamke aliyealikwa hata mmoja? na Du natamani ningekuwepo nami nije na Mtungi wangu wa kuwekea Ugimbi.

    hahah, hahaha hahahaha, hahahaha.
    Acheni hasira wasomi, siyo wakati woote muwaseme watu, na kujidai mnataka issue serious, sometimes you need to take easy, and relax, with BEER, na UGIMBI, hahahahahaha.

    ReplyDelete
  16. WANAKUNYA MAJI YA HEDHI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...