hawa jamaa niko nao hapa bongo. nawahi kuwapa dina mahali, habari kamili baadae...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 27 mpaka sasa

  1. Si Mchezo ama kweli Jack Pemba kaamua kufanya kweli sasa! Haya sasa mlimsema sana kuwa jamaa ni tapeli na hawezi fanya mambo hii nini sasa. Jamaa alihitaji muda tuu. Hao ni John Barnes na Les Ferdinand, moja ya wanasoka maarufu sana wa uingereza wa zamani. Si mchezo Michuzi umeonana na mliverpool original.

    -Mbumbumbu

    ReplyDelete
  2. duh, unao maveterani wa Uingereza!!! Les Ferdinands na John Barnes, sio mchezo. Hawa ndio wanaotufaa kukuza soka letu Bongo!

    ReplyDelete
  3. Huyo ni somebody Barnes alichezea Uingereza na baadhi za timu UK...

    ReplyDelete
  4. Anony hapo juu huyo ni Juma Mgunda na Athuman China

    ReplyDelete
  5. No way huyo ni mkongwe Stevie Barnes wa England alivuma sana miaka ya 80-90s

    ReplyDelete
  6. Michuzi tuwekee picha za wakongwe akina Mogella,China,Masha,Masatu tupe status wanafanya nini na wako wapi?Nteze John huwa nakutana nae mara nyingi uwanja wa ndege yeye kutwa safari za kutafuta vilabu vya kuchezea au nae ni mtu wa unga?

    ReplyDelete
  7. Ndio kina nani hao mbona wamechoka? Vitambi na mpira wapi na wapi?

    ReplyDelete
  8. nenda kawepe ze food of the lunch night! wewe mishuzi siunajidai haujui kizungu sisi ndio hatujui kabisa na tumedata huku temeke

    ReplyDelete
  9. Michuzi, Ndugu yako Hasheem anatangaza nchi vibaya sana, hamna mtu aliyewahi kufanya hivi kwa nchi yetu.Anahitaji kupewa ubalozi wa heshima, na akija Bongo apewe ulinzi wa serikali.ESPN, CBS, soma Hartford Courant, USA Today. Muulize Dick Vitale [ a leading college basketball analyst}

    ReplyDelete
  10. Enjoy your dinner. By the way how was it and what did you eat? I hope it wasn't chips mayai

    ReplyDelete
  11. Kwani ni kina nani hao?

    ReplyDelete
  12. Woow natafuta mume hao wapo wapi??? NJ hapa

    ReplyDelete
  13. Michuzi yupo na wachezaji wakongwe wa Uingereza. Kulia kwa Michuzi ni Les ferdinand sasa anachezea timu ya Watford pamoja ya kwamba ana miaka 40 sawa na Teddy Sheringham wa West Ham, Les ni ndugu wa Rio Ferdinad wa Man Utd na Anton Ferdinand wa West Ham United . Kushoto kwa Michuzi ni John Barnes mchezaji wa zamani wa Liverpool iliyokuwa timu kabambe Uingereza na Ulaya Miaka ya 1990,kwa sasa John Barnes ni mtangazaji mwongozaji wa kipindi cha soka katika kituo cha TV Uingereza cha Channel Five.

    ReplyDelete
  14. annony hapo juu umechapia,Les Ferdinand hana undugu wowote na Rio au Antony Just wazazi wao wote kwa Rio/antony-father, they're origin from West Indies thats it.usiwaongopee watu.

    ReplyDelete
  15. ni kweli sir les ana uhusiano na rio na anton ferdinand. Anon 11:34 nipe mechi moja tu ambayo les amechezea watford msimu huu! doh! better check your facts first you dumb!

    ReplyDelete
  16. les hana undugu na kina Rio, angalau umepatia John Barnes,LFC legend Big BUMP ~

    ReplyDelete
  17. les na akina rio na anton sio ndugu wa damu ni kama cousin kwa mbali walikuwa hawajuani until 2001 ndipo waligundua kuwa ni cousins

    ReplyDelete
  18. Annony, Tuesday, Jan 23, 07. 11.15.51pm. Unatafuta mume. Kwa nini uende mbali mbona nami natafuta mke mpenzi. MA hapa

    ReplyDelete
  19. hahaha mnanichekesha ma-annon hapo juu,sasa cousins siyo ndugu?? hao jamaa baba zao wanazaliwa pamoja sasa undugu nyie mnataka uweje?? Les Ferdinand ametundika madaruga na hachezi tena mpira wa kimashindano kwa sasa! cousins wake Rio na Anton wanaendelea kusakata kabumbu kwenye EPL au siyo!

    ReplyDelete
  20. OYAAAAAAA LES FERDINAND NA RIO NA ANTHONY NI COUSINS WA MBALI LAKINI UKWELI NI WANA UHUSIANO SASA WEWE ANNON WA JUU HAPO 12:57:32 KUMSHAMBULIA MWENZAKO NA KUJIFANYA WEWE WAJUA MAMBO NI NINI HASWA WEWE NDIO UNAHITAJI KUCHEKI FACTS ZAKO. KELELE WAKATI HATA GOOGLE IPO INAWEZA KUKUREKEBISHIA FACTS KABLA HAUJAROPOKA NA KUANZA KUWAKANDIA WATU. SISI WENGINE TUMEISHAKUCNYA NAO KILAJI KATIKA VILABU VYA USIKU KAMA VILE PENTAHOUSE PALE PICADILLY TWALIJUA HILO KUWA NI NDUGU.

    ReplyDelete
  21. Michuzi,

    Huyo wa kushoto kwako ndiyo JOHN BARNES. Kwa kweli huyu ni John Banzi kutoka Matombo, Morogoro. Si unajua tena Morogoro wanavyosakata kabumbu? Lakini kwa sababu mwenzetu tena amezaliwa na kukulia huko majuu hata BANZI linaandikwa "BARNES" lakini wanatamka BANZI. Hakika huyo ni Banzi Mluguru. Nitakwenda kumuona Uwanja wa Taifa Leo.

    ReplyDelete
  22. hii staili mpya ya mascout wa soka.Titaona kama kuna mtu atachezea Newcastle.

    ReplyDelete
  23. Jamani mbona mnabishana jambo ambalo lipo wazi kabisa. Les Ferdinand, Rio Ferdinand,Anthony Ferdinand, Michuzi Ferdinand, Benitez Ferdinand, Arsene Wenger Ferdinand na Jakaya Mrisho Ferdinand wote hawa ni ndugu wa damu kabisa....Acheni ubishi usio na msingi jamani.

    ReplyDelete
  24. This is not true on ESPN. Hasheem Thabeet was born in Texas!!!
    http://sports.espn.go.com/ncb/player/profile?playerId=31559

    ReplyDelete
  25. They are legends man ! they are both Ex England stars Get an autograph for me Issa, will you ?

    ReplyDelete
  26. thats a dream come true, wish ningepata nafasi ya kupiga picha kama hiyo na Barnes YNWA

    ReplyDelete
  27. Mama yao kina Rio na Antony Ferdinand ni dada yake Les Ferdinand.....FACT.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...