wadau wa ukerewe wakila pozi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Namuonea huruma Rais kwa kupoteza muda wake hapo,kwani wote hapo ni wakimbizi toka burundi na somalia ila huyo jamaa mweupe ye ni mkimbizi toka Iraq.

    ReplyDelete
  2. Huyu Msichana mzuri sana aisee!.Kila mtu ataje jina lake au kama kuna watu anwajua hawa jamaa atuandike majina yao.

    ReplyDelete
  3. Aisee wacha uhuni yapaswa ufanye utafiti wa kutosha kwani sio wote tulio Ukerewe na kwenye picha hii ni wakimbizi. kama huna cha kuzungumza bora ukae kimya au katafute ngurumo au Uhuru usome!!

    ReplyDelete
  4. KUSEMA UKWELI WENGI WENU NI WAKIMBIZI TOKA RWANDA, BURUNDI,SUDAN NA HATA SOMALIA HII NI UKWELI AMBAO HATA NYIE MNAUJUA ILA HAMTAKI KUKUBALI NDIO MAANA MTATUKANA SANA JK HAJUI HILO INGAWAJE NI WATANZANIA KIUKWELI HIVYO TUKANENI MNAVYOTAKA LAKINI HUO NDIO UKWELI HALISI

    ReplyDelete
  5. ingawaje sio wote lakini asilimia 75 mlio hapo ni wakimbizi tusidanganyane

    ReplyDelete
  6. Hao wote ni wana CUF toka kule pemba hakuna mtu yeyote wa bara aliye mkimbizi huko UK halafu UK ni njaa tu huwezi kulinganisha na hata STATE moja ya huku USA.

    ReplyDelete
  7. Huyo dada hapo mbela anaitwa Glady Kweka.

    ReplyDelete
  8. Unapokuwa umezowea kuchukua wazungu 2, tena wazungu wenyewe koko aua wakubwa kaa friji unaanza kuona kila mwanamke mweusi mzuri,, noma mazee sasa huyo hapo ana uzuli gani wa kutisha? sijasema kama mbaya ama vipi, ila si wa ivo. Sio kama nalazimisha ama vipi, ila wanaume wa kibongo midomo yenu zege kutongoza wabongo au weusi ndio mahana mnahamua kuchukua wazungu.
    Peace Ya'all

    ReplyDelete
  9. tusidanganyane hapo sii tulioko huko tunajua hapo wakimbizi ni 80% ya waliopo london wengine wadada ndo wamekimbilia kwa vizee ili wapate makaratasi kama dada mmoja alieko huku alikuwa anauza mobitel Zanzibar Lucy Lawilo tupo nae huku mdada ana tabia chafu sana amemaliza waume za watu unguja mpaka akataka kuvunja ndoa ya manager mmoja mobitel wakamshitukia unguja,dada hata shule hajaenda,alikuwa house girl wa ndani kabla ya kuanza Mobitel(TIGO KWA SASA)ametoka familia maskini wala hajali mama yake mzazi anaweza kumkana mbele ya watu! kapata kibabu airport basi yupo nae huku na bado hajatulia anauza akiwa nae ndani.dada ameoza huyo angalieni wabongo msiingie hapo kichwa kichwa anatafuta makaratasi kwa babu huyu wa kizungu!michuzi tutemblee club huku utoe picha yakemaana ananuka hapa London na Zanzibar alipokuwa.Kaeni macho wenye waume zenu hapa maana keshaanza na weusi hapa.

    ReplyDelete
  10. Duu kweli bwana huyo dada LUCY LAWILO ni kiboko.wanaume tumeshapita hapo saaana.anapenda pesa wakati shule yenyewe zero.anaweza kukulaghai mpaka ukamsahau mkeo na watoto

    ReplyDelete
  11. tusidanganyane hapo sii tulioko huko tunajua hapo wakimbizi ni 80% ya waliopo london wengine wadada ndo wamekimbilia kwa vizee ili wapate makaratasi kama dada mmoja alieko huku alikuwa anauza mobitel Zanzibar Lucy Lawilo tupo nae huku mdada ana tabia chafu sana amemaliza waume za watu unguja mpaka akataka kuvunja ndoa ya manager mmoja mobitel wakamshitukia unguja,dada hata shule hajaenda,alikuwa house girl wa ndani kabla ya kuanza Mobitel(TIGO KWA SASA)ametoka familia maskini wala hajali mama yake mzazi anaweza kumkana mbele ya watu! kapata kibabu airport basi yupo nae huku na bado hajatulia anauza akiwa nae ndani.dada ameoza huyo angalieni wabongo msiingie hapo kichwa kichwa anatafuta makaratasi kwa babu huyu wa kizungu!michuzi tutemblee club huku utoe picha yakemaana ananuka hapa London na Zanzibar alipokuwa.Kaeni macho wenye waume zenu hapa maana keshaanza na weusi hapa.(MICHUZI MBONA COMMENTS ZETU HUZITOI?)

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...