wadau wa seveni sistaz nawashukuru kwa ukarimu. lile pilau mlilonipa (saa sita usiku!) sipati kulisahau. kaka saidi hongera kwa kuongeza namba juzi. anko ali noti vipi? mahusiano.com naona bado inakupa raha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hilo jibaba ni handsome limevaa shati lekundu, michuzi unajua jina lake? na number ya simu?

    ReplyDelete
  2. Mi nilishawahi kusema Michuzi ni Shehe UBWABWA.. na sasa kajidhihirisha mwenyewe. si mnaona kazamia pilau ya watu Ukerewe saa sita usiku.., Misoup noma hii mtu wetu....

    Mambo kama hayo ukifanya unafanya kimya kimya...

    ukijakuwa Mheshimiwa watajichukulia umaarufu na kulazimisha favour sababu ya hiyo pilau ya saa sita usiku. Angalia mbele Misoup, JK anaweza akakupa ubunge wa Viti Maalum - Presidential Seats na hatimae uwaziri wa Habari idara ya Picha.....

    ReplyDelete
  3. Michuzi nashindwa kuelewa baadhi ya wa tz angalia huyo rIwa inaonekana ni muingereza nini? anaonekana anawapenda wanaume wenzake mambo gani hayo? hebu asituletee balaa akae ukerewe kwake na asirudi bongo kwa ufedhuli wake

    ReplyDelete
  4. Wadau, nipeni maana halisi ya 'pilau' 'kisusio' 'kisamvu'. Yote yaana maana moja haya? au mengine ni tata? Nawasilisha.

    ReplyDelete
  5. huyo mwenye shati jekundu ni babu, Saidi John, mchezaji wa zamani Ushirika, Simba na Taifa stars, blaza mmoja poa sana.

    ReplyDelete
  6. wewe anon wa 10:54:47 ulijuaje kuwa riwa ni mwanamume? usidanganyike na jina bwana acha kujichora andika kinachoeleweka na elimu ni bure apo ulipo

    ReplyDelete
  7. Msingempa pilau huyu. Anawapaka mafuta kwa mgongo wa chupa. Akitoka hapo anawapiga picha sehemu mnazofanya kazi na kuzikandia kwenye blog yake. Sasa kama yule kijana aliyebebea bango la Subways amemuweka huku hata hamjui si ajabu ni ndugu na hawa seven sisters.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...