
washakaji wangu wakubwa hapa ukerewe. ngoja niwape zawadi toka kwa vu
mbi http://www.youtube.com/watch?v=RTC17L_8vr8
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
huyo mwanamke ndo nani michuzi amejipaka mkorogo hivyo na liwigi la mwanyele ya wau walokufa?
ReplyDeleteBro Michuzi jana hatujaonana ulikuwa umetingwa mimi pia ni shabiki wako hapa 'chamabilacho wewe mwenyewe Ukerewe'.
ReplyDeleteNilichotaka kusema tu ni mambo ya Vumbi nafikiri muziki tulifaidi sisi enzi za mwisho wa 80s na 90s. Muziki wa gitaa unaliona limekamatwa na nani sio hizi bogo flavour zao, za kuiga wamarekani kama matumbiri.
Watu wa majuu utawajua tu hebu muangalie Michuzi alivyochoka ukilinganisha na jamaa wengine hapo kwenye picha. Michuzi acha fegi midomo myeusi kama fisi.
ReplyDeletehuyo dada si mkorogo ni rangi yake halisi anaitwa Diana huyo pembeni yake ni mumewe Salehe hali ya hewa ya hapa imemkubali.
ReplyDelete