rais wa zanzibar na mwenyekiti wa baraza la mapinduzi amani abeid karume akiongea na naibu katibu mkuu wa umoja wa mataifa dk. asha-rose migiro aliekwenda kumuaga leo zenj

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. mambo hayo mwanamke amependeza ile mbaya hatuna wasiwasi mama kwani wewe ni picha halisi ya Mwanamke wa kiafrica kutoka kwenye mavazi hata mtizamao wako umepita katika kura zetu hongera.

    ReplyDelete
  2. ni kweli kabisa, mama swafi wa kiafrika, sio mimama mingine, kazi kuweka mawigi au feki hair, na kuiga kuvaa kama visichana vidogo. huyu mama poa sana, hana makuu, hata nywele zake orijino.

    ReplyDelete
  3. yaani huyu mama kapewa vyote, the look and the brain! I am so jealous! May God keep blessing her!

    ReplyDelete
  4. Hata nywele zake ni naturally. That is what we call african lady. I love that..She is so her. Never want to be someone else...

    ReplyDelete
  5. mh mtasema yote na bado!!!!!!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...