nilipokuwa berlin, ujeremani, mwaka 1992, nilikuwa nafuga afro....hahahaa! siku hizi nakata denge

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. MICUZI WEEK HII UMETUPA PICHA NYINGI SANA MBALI MBALI. Keep it up Kaka.

    ReplyDelete
  2. misupu hiyo miwani yako ipo kwenye fashion sasa hivi, duh kweli wewe mtu modern tokea back in the days kaka, in short hapo umetokea kitozi mno. Haya kaka miiida

    ReplyDelete
  3. WE MICHUZI HII PICHA NI 1992 AU 1982?KAMA NI KWELI 92 BASI WE KWELI MSHAMBA!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  4. Duh! ulikuwa mshamba sana Michuzi hapo. Angalau uliondoa tongotongo kidogo.

    ReplyDelete
  5. Na nyie mnakuwa ka vipofu bwana, huyo siyo michuzi

    ReplyDelete
  6. Hilo jengo nyuma yako kongwe? au ni makovu ya uharibifu wa vita kuu ya dunia 1939-1945, Michuzi tupe habari zaidi juu ya jengo hilo la mjini Berlin Ujerumani.

    ReplyDelete
  7. Hili jengo ni kanisa la zamani na liliharibiwa wakati wa vita vya 2 vya dunia. Karibu yake lio jengo lenye nembo ya Benz. Hapa ni west Berlin karibu na hotel Kempinski. Wajeruman wanaliita JINO LILILOMEGUKA kwani ni kweli kwa juu lipo kama jino ila sema limefunikwa. Angalia picha kwenye GOOGLE EARTH .. Sikonge.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...