
nilibahatika kusikiliza nyuzi bin nyuzi za hayati ndala kasheba wakati akirekodi kibao chake cha mwisho 'yellow card' kilichotabiri kifo chake studio za makuti ilala shariff shamba mwaka 2004. soma makala yake hapa
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wee michuzi,angalia vizuri tarehe zako, mimi nina CD ya marehemu Ndala Kasheba yenye huo wimbo 'Yellow Card' ambayo niliinunua tangu mwaka 2003. Kwa hiyo mwaka 2004 siyo sahihi!!
ReplyDelete