kidaladala kilichogongana na basi la skandinavia majuzi katika ajali iliyotoa roho za watu wanane hapo hapo huko dodoma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Mim nadhani, moja ya kazi kubwa aliyonayo Raisi JK, kupitia kwa Mangi, IGP MWEMA ni kupambana na madereva fake! Kuna watu wengi sana, mimi mwenyewe nawafamu hawana leseni za udereva lakini wako barabarani mwaka wa kumi huu! Kila mwaka wanakaguliwa na sijui huwa wanaweza kupata ridhaa ya kuendelea kuendesha magari! Matokeo yake ni kama haya kwenye picha. ROAD CARNAGE. Inatumaliza, kimya kimwa WABONGO. TUamke sasa tupambane na ajali.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...