
almanusra jah kimbute anifanye kuwa mwanamuziki enzi hizo. hapa anajaribu kunifundisha kupiga drams pale ymca. bahati nzuri ama mbaya nikachomoa na kubeba kamera. la sivyo saa hizi ningekuwa kama awilo...samahani picha haioneshi vizuri, lakini ndo hivyo tena. teke linalokujia la wakati huo lilikuwa bado linabipu
Brother Michu!
ReplyDeleteAma hakika umetoka mbali. Bila kukimbilia kamera, tungekuwa tunakuona jukwaani kama mwanamuziki muhamasishaji. Hujatudokeza! Hivi ulijaribu kufuga rasta?. Luihamu upo?
Michuzi,
ReplyDeletetumwagie picha kama hizi kwa wingi...
zinatukumbusha mbaali saaaanaaaaaa
Hata mimi nazimaindi sana picha hizi za "zilipendwa."
ReplyDeleteTumetoka mbali!
Huyo mtoto atakuwa alifanikiwa kuipiga ngoma aliporefuka
ReplyDeleteMichuzi sema kweli, ulikimbia kujavuta mche nini?
ReplyDelete