mabenki kibao yamefunguliwa bongo na ushindani si wa kawaida

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. HUNA NEWS LEO BWEGE WEEEEEEE!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. nashukuru ndugu yangu. bure ghali...

    ReplyDelete
  3. Wakati mwingine wachangiaji wanakuwa na mawazo (frustrations) na kwa bahati mbaya hasira zao huishia kwa michuzi... Usishangae Michuzi ndivyo binadamu tulivyo ndugu yangu!!!

    ujumbe wangu kwake huyo hapo juu...
    'sorry, if this is not news to you, it is news to others'

    Afterall, wasomaji wengi tunafurahia up-dates zako kila siku, kwa hiyo wachache wasikukatishe tamaa kwani wengi tunakuunga mkono!

    ReplyDelete
  4. Michuzi ukubwa jalala. Huyu Anoni wa Saturday, February 24, 2007 1:35:00 PM analeta mambo gani tena humu. Hajui wewe huko unaona IP address yake pamoja na kuwa yeye ni anoni. Nitumie IP yake ni hack ki computer kake alijue jiji na mataa yake. Kalazimishwa kuja kuangalia hii blog? Si akaangalie blog anazotaka yeye. Uzuri mtu akitoa comment anarudi kuangalia kama iko imerushwa, na kufatilia reaction. We anoni nakusihi jione mjinga, na huta make it katika maisha kama unamalizia hasira zako kwa Michuzi. Better shut-up hata kama hukusema bali ulitaipu. Una freedom of speech but not that of authoring. Hii picha mie ndo nilikuwa naitafuta sana. Nilikua naandaa presentation ili nionyeshe katika picha moja mambo yafuatayo: 1. jinsi matangazo ya bongo yanavyopunguza view kwa wakazi wa majengo mkabala, 2.kuonyesha kuwa Tanzania hakuna cable, tunapokea data kwa madish, kila mtu ana lake, 3.ya kuwa mabango ya sigara bado yanaruhusiwa huko bongo, 4. pedestrians wanakatiza bara bara sehemu ambazo hakuna zebra crossing, 5. traffic lights zisizofanya kazi sababu ya tatizo la umeme au bulb zilizoungua, 6. Tanzania ni bilingual, matangazo yako kwa lugha ya kiswahili na kiingereza pia, 7. we drive on the left side of the road. Kwako kama picha si news we anoni ni news kwa mwingine, angalia kuna hits ngapi kwa Michuzi, and then kama wewe ni mjanja nitumie blog ya mtu yoyote hapa duniani iliyoanzishwa 2005 ilofikisha hits kama hizi. Big up Bro Michuzi achana na watu wa Milembe.

    ReplyDelete
  5. Ila ndugu yangu michuzi, inabidi ujiulize kwa nini huyo bwana katamka hivyo, huenda alikuwa anatarajia photo yake aliyokutumia utaipa nafasi leo sasa hakuiona. ila awe na subira atajiona tu kwani mi ninavyojua michuzi hana ubaguzi utajiona tu, ile ile picha yako ya naked uliyomtumia hataiweka kwa ajili ya maadili

    ReplyDelete
  6. anon hapo juu unaesema michuzi hana news leo, nashindwa hata kuku define, nafikiri una akili finyu or just'zero brain' sielewi ni news gani unazotaka wewe??? watu wengine bwana akili matope, kama unaona michuzi hana news zima pc yako na nenda kalale au kaswampe huko nje, hakuna haja yaku comment, ninakushangaa sana kuna pic nyingi sana zaku comment wewe una comment pumba tuu, elimu hakuna hapo, unaweza hata kucoment kuhusu pic za arusha declaration hapo juu ila kwa kuwa wewe ni mjinga huelewi hata azimio la arusha linamaanisha nini kwani ulivyokuwa ukifundishwa mwl wako pia ulikuwa unamwona 'hana news' nakwambia cha moto utakiona na maisha yalivyo magumu bila shule manake inaelekea shule yako ni ... hata sijui nisemeje so u'll continue be mpumbavu big time.

    michuzi nafikiri unamjukumu mengi sana and so sometimes don't waste ur time answering some stupid people who doesn't value ur work, hakuna haja ya kujibizana na mtu mpumbavu kama huyo hapo juu, you have alot to do and to think... so don't let people spoil ur day, just ignore them, and this will make them stupid 10 times,

    thanks for the nice pic, i appreciate ur work

    ReplyDelete
  7. Michuzi eeh, hili ni bonge la picha..Kwanini?

    Ebana Marketing Manager wa benki hiyo hapo inabidi awajibishwe. Kwanini?

    Marketing Manager au mhusika wa marketing hapo Barclays aangalie alivyovamiwa na mabango ya benki zingine i.e Citibank na StanChart..Kwa wale wanaojua marketing vizuri watakubaliana na mimi..Barclays ingebidi inunue space hapo na itangaze products zao, na sio kuwaachia rival banks wajitangaze mbele ya ofisi zao..

    Ni hayo tu!

    ReplyDelete
  8. Michuzi eeh, hili ni bonge la picha..Kwanini?

    Ebana Marketing Manager wa benki hiyo hapo inabidi awajibishwe. Kwanini?

    Marketing Manager au mhusika wa marketing hapo Barclays aangalie alivyovamiwa na mabango ya benki zingine i.e Citibank na StanChart..Kwa wale wanaojua marketing vizuri watakubaliana na mimi..Barclays ingebidi inunue space hapo na itangaze products zao, na sio kuwaachia rival banks wajitangaze mbele ya ofisi zao..

    Ni hayo tu!

    ReplyDelete
  9. Jamani mi ninapoona vitu kama vya hapo juu ninasikia huruma sana. Michuzi anafanya kazi nzuri sana tena sana hasa kwa wale waliko nje ya nchi sasa mtu anapo andika kama hapo juu inaelekea ana matatizo. Huko majuu kuna mifrastrution jamani mpaka mtu hajui anafanya nini poleni, anyway Issa usijali just keep up! huyo mi ntamwombea Holy Spirit ampe amani rohoni.
    Aurely

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...